Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu ,
Katika Taifa lolote lile Vijana wakiwa na Matumaini Katika mioyo Yao ndio Amani ya Taifa,Ndio utulivu wa Taifa,Ndio ustawi wa Taifa,Ndio upendo waTaifa.Hakuna utulivu ,amani ,mshikamano ushirikiano, upendo Wala utulivu ikiwa vijana wamekata Tamaa ya maisha,ikiwa vijana hawajuwi juu ya kesho yao,ikiwa hawajuwi hatima ya maisha yao, ikiwa hawaelewi na kuwa na uhakika juu ya kula Yao,ikiwa hawaelewi Ni vipi watatimiza ndoto zao za kielimu na kimaisha.
Ni ngumu kongoza Taifa lenye vijana ambao matumbo Yao hayana matumaini ya kupata Milo mitatu,Wala uhakika wa kupata ajira au kibarua Cha siku,Wala kuwa na uwezo wa kumudu mbolea,Wala kuwa na uwezo wa kuanzisha biashara ndogo ndogo,Vijana hawatulii na kupata utulivu wa akili na moyo ikiwa ndani ya Taifa kumetamalaki uonevu na upendeleo,Ni Rahisi Sana kuwarubuni vijana waliokata Tamaa ili wavuruge amani ya Taifa na kujiunga na makundi ya kihalifu.
Tangia Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani Ashike madaraka ya Urais ameleta nuru katika mioyo ya Vijana,amewasha Taa ya Matumaini kwa vijana, ameleta amani ya moyo kwa vijana. Rais Samia Mara tu baada ya kushika madaraka ya Urais alianza kutoa ajira kwa vijana wa kada mbalimbali Takribani ajira Elfu 42 zikiongozwa na kada ya Elimu na Afya.
Mh Rais Samia aliendelea kuimarisha secta Binafsi ili ikue na kuweza kutoa fursa za ajira kwa vijana wengi kwa kutambua ukweli kuwa Ni lazima serikali ishirikiane na secta binafsi katika utengenezaji wa fursa za ajira kwa kuwa serikali peke yake haiwezi ikatoa ajira kwa vijana wote wanaokuwa wamemaliza na kuhitimu masomo katika ngazi mbalimbali.
Rais Samia pia alifungua milango kwa wawekezaji kwa kuimarisha diplomasia yetu ya uchumi ili wawekezaji wengi Zaid waje inchini ambao watasaidia katika kutengeneza fursa za ajira kwa vijana pamoja na kuongeza wigo wa Kodi ambazo zitasaidia kuwekeza Katika miradi mbalimbali itakayogusa maisha ya watanzania hususani vijana ambao Ni wengi, Rais Samia na serikali Yake pia aliweka mazingira mazuri kwa biashara na hata kilimo Jambo lililowavutia vijana kujiunga na kujishughulisha katika secta hizo ambazo Sasa zinatoa matumaini ya kuinuka na kujikwamua kiuchumi kwa vijana kutokana na Hali kuwa nzuri na ya kutia moyo na faraja.
Kutokana na hayo na mengine mengi vijana wengi wamempongeza Rais Samia na serikali yake kwa kuwajari na kuwathamini vijana na hata kuwekeza mabillioni ya pesa katika miradi mingi inayotoa ajira za moja kwa moja kwao lakini pia inayochochea mzunguko wa pesa, wanaishukuru serikali kwa kuwapatia pesa kupitia halmashauri zao Hali Inayowasaidia kupata fedha zinazowasaidia kupata mitaji ya kuanzisha shughuli za kuwapatia vipato kwa ajili ya kujikwamua kiuchumi na kuondokana na Hali ya umaskini na utegemezi wa kiuchumi.
Hakika Rais Samia ameiteka mioyo ya Vijana wa kitanzania kutokana na utendaji kazi wake na juhudi kubwa anazozifanya katika kuinua uchumi wa Taifa letu lakini pia namna anavyowajali vijana, Sasa vijana huwaelezi kitu juu ya mama Samia,wote wanamuunga mkono na kuridhishwa na uchapa kazi wake na namna anavyojitolea kulitumikia Taifa hili kwa moyo wa uzalendo na upendo.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627