Vijana wampongeza Rais Samia na Serikali yake kwa kuwasha taa ya matumaini katika mioyo yao

Vijana wampongeza Rais Samia na Serikali yake kwa kuwasha taa ya matumaini katika mioyo yao

Mama ndiye rais anayejal maskin Kwa kufungua mipaka ili vyakula vipande bei wauze mazao Yao Kwa bei nzur yule rais wa wasukuma alikuwa anajali maskin Kwa kubana mipaka ili maskin wauze mazao Yao Kwa asara, ndo maana nasema Yule alikuwa ni rais wa wajinga
 
Kilimo Ni Biashara,kwa hiyo unataka wakulima wawe watu wa kupata hasara kila mwaka? Unataka jasho la wakulima liwe linaliwa na waliokaa kimvulini? Unajuwa Bei ya mbolea msimu uliopita ilikuwa shilingi ngapi? Kwanini na wewe usiende shambani kulima ili uje uuze kwa Bei unavyotaka wewe
Kama hauelew Kiswahili unaelewa lugha gan au uko vyombo
 
Back
Top Bottom