Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
unaweka namba ili wanunuzi wa mazao yako wakupigie siyoPunguza makasiriko Mimi Ni mkulima ndugu yangu na kilimo ndio ajira yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaweka namba ili wanunuzi wa mazao yako wakupigie siyoPunguza makasiriko Mimi Ni mkulima ndugu yangu na kilimo ndio ajira yangu
Kuusema ukweli siyo uchawaImagine unakuwa na taifa la vijana kama hawa wanaoamini katika uchawa, hopeless kabisa
Ndugu zangu ,
Katika Taifa lolote lile Vijana wakiwa na Matumaini Katika mioyo Yao ndio Amani ya Taifa,Ndio utulivu wa Taifa,Ndio ustawi wa Taifa,Ndio upendo waTaifa.Hakuna utulivu ,amani ,mshikamano ushirikiano, upendo Wala utulivu ikiwa vijana wamekata Tamaa ya maisha,ikiwa vijana hawajuwi juu ya kesho yao,ikiwa hawajuwi hatima ya maisha yao,ikiwa hawaelewi na kuwa na uhakika juu ya kula Yao,ikiwa hawaelewi Ni vipi watatimiza ndoto zao za kielimu na kimaisha.
Ni ngumu kongoza Taifa lenye vijana ambao matumbo Yao hayana matumaini ya kupata Milo mitatu,Wala uhakika wa kupata ajira au kibarua Cha siku,Wala kuwa na uwezo wa kumudu mbolea,Wala kuwa na uwezo wa kuanzisha biashara ndogo ndogo,Vijana hawatulii na kupata utulivu wa akili na moyo ikiwa ndani ya Taifa kumetamalaki uonevu na upendeleo,Ni Rahisi Sana kuwarubuni vijana waliokata Tamaa ili wavuruge amani ya Taifa na kujiunga na makundi ya kihalifu.
Tangia Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani Ashike madaraka ya Urais ameleta nuru katika mioyo ya Vijana,amewasha Taa ya Matumaini kwa vijana, ameleta amani ya moyo kwa vijana. Rais Samia Mara tu baada ya kushika madaraka ya Urais alianza kutoa ajira kwa vijana wa kada mbalimbali Takribani ajira Elfu 42 zikiongozwa na kada ya Elimu na Afya.
Mh Rais Samia aliendelea kuimarisha secta Binafsi ili ikue na kuweza kutoa fursa za ajira kwa vijana wengi kwa kutambua ukweli kuwa Ni lazima serikali ishirikiane na secta binafsi katika utengenezaji wa fursa za ajira kwa kuwa serikali peke yake haiwezi ikatoa ajira kwa vijana wote wanaokuwa wamemaliza na kuhitimu masomo katika ngazi mbalimbali.
Rais Samia pia alifungua milango kwa wawekezaji kwa kuimarisha diplomasia yetu ya uchumi ili wawekezaji wengi Zaid waje inchini ambao watasaidia katika kutengeneza fursa za ajira kwa vijana pamoja na kuongeza wigo wa Kodi ambazo zitasaidia kuwekeza Katika miradi mbalimbali itakayogusa maisha ya watanzania hususani vijana ambao Ni wengi, Rais Samia na serikali Yake pia aliweka mazingira mazuri kwa biashara na hata kilimo Jambo lililowavutia vijana kujiunga na kujishughulisha katika secta hizo ambazo Sasa zinatoa matumaini ya kuinuka na kujikwamua kiuchumi kwa vijana kutokana na Hali kuwa nzuri na ya kutia moyo na faraja.
Kutokana na hayo na mengine mengi vijana wengi wamempongeza Rais Samia na serikali yake kwa kuwajari na kuwathamini vijana na hata kuwekeza mabillioni ya pesa katika miradi mingi inayotoa ajira za moja kwa moja kwao lakini pia inayochochea mzunguko wa pesa, wanaishukuru serikali kwa kuwapatia pesa kupitia halmashauri zao Hali Inayowasaidia kupata fedha zinazowasaidia kupata mitaji ya kuanzisha shughuli za kuwapatia vipato kwa ajili ya kujikwamua kiuchumi na kuondokana na Hali ya umaskini na utegemezi wa kiuchumi.
Hakika Rais Samia ameiteka mioyo ya Vijana wa kitanzania kutokana na utendaji kazi wake na juhudi kubwa anazozifanya katika kuinua uchumi wa Taifa letu lakini pia namna anavyowajali vijana, Sasa vijana huwaelezi kitu juu ya mama Samia,wote wanamuunga mkono na kuridhishwa na uchapa kazi wake na namna anavyojitolea kulitumikia Taifa hili kwa moyo wa uzalendo na upendo.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu:

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Lazima achanganyikiweLisu kasikia mvua inanyesha nchi nzima eti kavuta mdomo, kisa anaona bwawa la Nyerere litajaa
Unatafuta kuolewa tu wewe huna loloteNaandika kwahiyari yangu mwenyewe na sinkwa ajili ya kulipwa fadhila ya aina yoyote
Mwanangu unanifurahishaga hapo unapoweka namba ya simuNdugu zangu ,

Unazungumzia vijana wa UVCCM au vijana qa nchi hiiNdugu zangu ,

Nazungumzia vijana wa nchi hii walioridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais wetu mpendwa aliyejitoa na kujitolea kwa ajili ya watanzaniaUnazungumzia vijana wa UVCCM au vijana qa nchi hii
Karibu Sana mkuuMwanangu unanifurahishaga hapo unapoweka namba ya simu
Mama Ni Moto wa kuotea mbali kwa namna anavyo hapa kazi kuwatumikia watanzaniaNi ukweli mtupu kwenye kipengele cha ajira mama kaupiga 100% akiendelea hivi 2025 ni kishindo sioni wa kufukuza moto
Hata rais mwenyewe anajua unaandika ujinga,...vijana wa wapi hao, tafuta kazi ufanye ili usiwe na muda wa kuandika hizi mambo za ovyo.Mama Ni Moto wa kuotea mbali kwa namna anavyo hapa kazi kuwatumikia watanzania
Mimi Ni mkulima na hiyo ndio kazi na ajira yanguHata rais mwenyewe anajua unaandika ujinga,...vijana wa wapi hao, tafuta kazi ufanye ili usiwe na muda wa kuandika hizi mambo za ovyo.
UpuuziNdugu zangu ,
Katika Taifa lolote lile Vijana wakiwa na Matumaini Katika mioyo Yao ndio Amani ya Taifa,Ndio utulivu wa Taifa,Ndio ustawi wa Taifa,Ndio upendo waTaifa.Hakuna utulivu ,amani ,mshikamano ushirikiano, upendo Wala utulivu ikiwa vijana wamekata Tamaa ya maisha,ikiwa vijana hawajuwi juu ya kesho yao,ikiwa hawajuwi hatima ya maisha yao,ikiwa hawaelewi na kuwa na uhakika juu ya kula Yao,ikiwa hawaelewi Ni vipi watatimiza ndoto zao za kielimu na kimaisha.
Ni ngumu kongoza Taifa lenye vijana ambao matumbo Yao hayana matumaini ya kupata Milo mitatu,Wala uhakika wa kupata ajira au kibarua Cha siku,Wala kuwa na uwezo wa kumudu mbolea,Wala kuwa na uwezo wa kuanzisha biashara ndogo ndogo,Vijana hawatulii na kupata utulivu wa akili na moyo ikiwa ndani ya Taifa kumetamalaki uonevu na upendeleo,Ni Rahisi Sana kuwarubuni vijana waliokata Tamaa ili wavuruge amani ya Taifa na kujiunga na makundi ya kihalifu.
Tangia Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani Ashike madaraka ya Urais ameleta nuru katika mioyo ya Vijana,amewasha Taa ya Matumaini kwa vijana, ameleta amani ya moyo kwa vijana. Rais Samia Mara tu baada ya kushika madaraka ya Urais alianza kutoa ajira kwa vijana wa kada mbalimbali Takribani ajira Elfu 42 zikiongozwa na kada ya Elimu na Afya.
Mh Rais Samia aliendelea kuimarisha secta Binafsi ili ikue na kuweza kutoa fursa za ajira kwa vijana wengi kwa kutambua ukweli kuwa Ni lazima serikali ishirikiane na secta binafsi katika utengenezaji wa fursa za ajira kwa kuwa serikali peke yake haiwezi ikatoa ajira kwa vijana wote wanaokuwa wamemaliza na kuhitimu masomo katika ngazi mbalimbali.
Rais Samia pia alifungua milango kwa wawekezaji kwa kuimarisha diplomasia yetu ya uchumi ili wawekezaji wengi Zaid waje inchini ambao watasaidia katika kutengeneza fursa za ajira kwa vijana pamoja na kuongeza wigo wa Kodi ambazo zitasaidia kuwekeza Katika miradi mbalimbali itakayogusa maisha ya watanzania hususani vijana ambao Ni wengi, Rais Samia na serikali Yake pia aliweka mazingira mazuri kwa biashara na hata kilimo Jambo lililowavutia vijana kujiunga na kujishughulisha katika secta hizo ambazo Sasa zinatoa matumaini ya kuinuka na kujikwamua kiuchumi kwa vijana kutokana na Hali kuwa nzuri na ya kutia moyo na faraja.
Kutokana na hayo na mengine mengi vijana wengi wamempongeza Rais Samia na serikali yake kwa kuwajari na kuwathamini vijana na hata kuwekeza mabillioni ya pesa katika miradi mingi inayotoa ajira za moja kwa moja kwao lakini pia inayochochea mzunguko wa pesa, wanaishukuru serikali kwa kuwapatia pesa kupitia halmashauri zao Hali Inayowasaidia kupata fedha zinazowasaidia kupata mitaji ya kuanzisha shughuli za kuwapatia vipato kwa ajili ya kujikwamua kiuchumi na kuondokana na Hali ya umaskini na utegemezi wa kiuchumi.
Hakika Rais Samia ameiteka mioyo ya Vijana wa kitanzania kutokana na utendaji kazi wake na juhudi kubwa anazozifanya katika kuinua uchumi wa Taifa letu lakini pia namna anavyowajali vijana, Sasa vijana huwaelezi kitu juu ya mama Samia,wote wanamuunga mkono na kuridhishwa na uchapa kazi wake na namna anavyojitolea kulitumikia Taifa hili kwa moyo wa uzalendo na upendo.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
😁😁😁Utakufa kwa uchawa. Rais ameshasema hataki kusifiwasifiwa wewe umekaza fuvu.
Ushamba mzigo kweli
Njarambaya jamaniNdugu zangu ,