Vijana wampongeza Rais Samia na Serikali yake kwa kuwasha taa ya matumaini katika mioyo yao

Lucas naamini taa ya matumaini moyoni mwako wewe mwenyewe ilishakwisha kuzima muda mrefu sana, pengine toka wakati wa JPM. Ila sasa umeona kuna kadalili fulani ya kuwaka upya kupitia maisha ya uchawa ambayo umeamua kuyachagua.

Ila kumbuka Ibilisi hana rafiki wala ndugu. Humu jukwaani tumewashuhudia watu wengi kama wewe; wenye mitazamo, njia, fikra, na hata unafiki kama wako. Wote wameishia kukaa kimya na kuwaachia ulaji wa mema ya nchi kwa wale wenye chama chao.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumbafu tumechoka na ushamba wako
 
Kipindi Cha kina Ritz lizabon kuja Kwa kina stroke na manyaunyau wenzako walishanyamaza hata yeye Hana mda atanyamaza
 
Naandika kwahiyari yangu mwenyewe na sinkwa ajili ya kulipwa fadhila ya aina yoyote
 
Huyu jamaa ni fyatu kweli kweli unaacha kufanya kazi unaandika ujinga na kuweka namba za simu.
kama unafanya kwa nia njema namba za simu za nini sasa?

CCM hovyo kabisa
Halafu huwa anaandika insha ndefu ,huku contents zikiwa uchawa tupu na ujinga.Halafu anaweka namba yake ili atafutwe apewe uteuzi.Hapo ndipo vijana wa Tanzania walipofikia.Mama Kama unasoma nyuzi za mapambio Kama haya,achana nae kabisa usimteue.Huyu sio mkweli ni mtafuta uteuzi.Hana idea mpya ya kukusaidia.
 
Wewe anzisha nyuzi kila siku kutafuta umaarufu, lakini umaarufu hauji kwa wingi wa nyuzi.
 
Kama kweli vile kumbe ni chawa kadhaa tu ndio wamekuja na pongezi
Vijana Wana Imani kubwa Sana na uongozi wa mh Rais ,Ndio maana huwezi ukawarubuni kwa lolote,wapo bega kwa bega na mh Rais kwa kuchapa kazi kwa kwenda mbele
 
Hii siyo barua ya maombi ya uteuzi Bali Ni maoni yangu yanayohusu vijana kumkubali mh Rais kutokana na kazi kubwa aliyoifanya Tangia alipoapishwa kuwa Rais wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…