DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Sep 8, 2022 #1 Naomba kujua, hawa vijana wanaomuwaza Harmonize na CCM na kutafta connection za pornography, ndiyo hawa hawa job seeker or wapo tofauti tofauti kimakundi?! Kama ndiyo hawa hawa naomba serikali iendelee kupiga msumali wa kichwa!
Naomba kujua, hawa vijana wanaomuwaza Harmonize na CCM na kutafta connection za pornography, ndiyo hawa hawa job seeker or wapo tofauti tofauti kimakundi?! Kama ndiyo hawa hawa naomba serikali iendelee kupiga msumali wa kichwa!
Mr simple M JF-Expert Member Joined Sep 18, 2020 Posts 2,202 Reaction score 4,653 Sep 8, 2022 #2 Sikia huyu mbukoba
Notorious thug JF-Expert Member Joined Dec 29, 2021 Posts 2,817 Reaction score 10,667 Sep 8, 2022 #3 Tanzania ina vijana watatu tu Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye na December Makamba
The only JF-Expert Member Joined May 19, 2011 Posts 10,805 Reaction score 14,181 Sep 8, 2022 #4 Wanahitaji ajira wapate hela wakafanye ngono ni kibaya hapo, au unataka wakanunulie rozari
Lamzettttt JF-Expert Member Joined May 28, 2020 Posts 1,218 Reaction score 3,481 Sep 8, 2022 #5 Ndio sisi mkuu... Wala tunda kimasihara
Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 2,278 Reaction score 3,960 Sep 8, 2022 #6 Ww utakua mwiguru.
DungaMawe JF-Expert Member Joined Jul 31, 2022 Posts 1,522 Reaction score 4,630 Sep 8, 2022 #7 BILA KUSAHAU KULA TUNDA KIMASIHARA NA SIMBA NA YANGA NDO VITU TUNAWAZA
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 48,052 Reaction score 104,677 Sep 8, 2022 #8 The only said: Wanahitaji ajira wapate hela wakafanye ngono ni kibaya hapo, au unataka wakanunulie rozari Click to expand... Kisiasa tunawaita vijana, ingekuwa mpira tungesema washazeeka, kijamii wameshavuka ujana.
The only said: Wanahitaji ajira wapate hela wakafanye ngono ni kibaya hapo, au unataka wakanunulie rozari Click to expand... Kisiasa tunawaita vijana, ingekuwa mpira tungesema washazeeka, kijamii wameshavuka ujana.
The only JF-Expert Member Joined May 19, 2011 Posts 10,805 Reaction score 14,181 Sep 8, 2022 #9 ERoni said: Kisiasa tunawaita vijana, ingekuwa mpira tungesema washazeeka, kijamii wameshavuka ujana. Click to expand... Waachie watu maisha yao hatuwezi kuwa wote wanasiasa wengine sisi ni wapenda bata na hatuibi wala kubaka imetosha kuitwa walipa kodi
ERoni said: Kisiasa tunawaita vijana, ingekuwa mpira tungesema washazeeka, kijamii wameshavuka ujana. Click to expand... Waachie watu maisha yao hatuwezi kuwa wote wanasiasa wengine sisi ni wapenda bata na hatuibi wala kubaka imetosha kuitwa walipa kodi
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Sep 9, 2022 #10 Ndio sisi hakuna wengine