Vijana wanaosemekana kufukuzwa kazi TBS iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine

KALINZI NYUMBANI

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2015
Posts
1,797
Reaction score
1,594
Hawa vijana iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine. Vijana Hawa wanaosemekana kufukuzwa wana kampuni yao ya CALIBRATIONS, TESTING pamoja na Automations watu tuliopo kwenye constructions industry tunawaona sana. Na bahati nzurii kampuni yao ipo accredited inaruhusiwa kufanya kazi nchi yeyote Ile.

Kipindi wazee wamejazana TBS wakiogopa kustaafu, vijana hawa wameacha kazi kwenye shirika kubwa na kwenda kujiajiri.

Kampuni yao inaitwa CALTES COMPANY LTD.

Hongereni vijana kwa kuachia vijana nafasi, na wazee & vijana wengine waige mfano wa hawa.

Snapinsta.app_461192945_18351511924188948_691485424779809490_n_1080.jpg
 
Hawa vijana iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine. Vijana Hawa wanaosemekana kufukuzwa wana kampuni yao ya CALIBRATIONS, TESTING pamoja na Automations watu tuliopo kwenye constructions industry tunawaona sana. Na bahati nzurii kampuni yao ipo accredited inaruhusiwa kufanya kazi nchi yeyote Ile.

Kipindi wazee wamejazana TBS wakiogopa kustaafu, vijana hawa wameacha kazi kwenye shirika kubwa na kwenda kujiajiri.

Kampuni yao inaitwa CALTES COMPANY LTD.

Hongereni vijana kwa kuachia vijana nafasi, na wazee & vijana wengine waige mfano wa hawa.

Mmefanya makosa gani hadi mkafukuzwa kazini??
 
Unasema wamefukuzwa tena hapo hapo wameachia vijana wengine na wazee
Hakuna picha ya bidhaa wanayozalisha Wala kazi yake ila Kuna picha za sad niggas wakifukuzwa kazi
Kazi sana
 
Caltes Company LTD.
 
Wazee wamekukosea nini? Mpaka useme wanaogopa kustaafu? Umekalia kusifia wenzio tu mbona wewe hujaacha kazi? Kwanza mimi nilifikri wameacha kazi kwa mapenzi yao, kumbe mpaka walipokula rushwa wakafukuzwa?
 
hakuna mahala niliposema wamefukuzwa, "wanaosemekana kufukuzwa" pia mm nipo kwenye industry ya constructions nakutana nao sana Tangu 2020 wakiwa wanafanya kazi kama walizokua wanafanya TBS lakini kwenye kampuni yao. Kwahio nawasifu kwa kujiongeza.

Unasema wamefukuzwa tena hapo hapo wameachia vijana wengine na wazee
Hakuna picha ya bidhaa wanayozalisha Wala kazi yake ila Kuna picha za sad niggas wakifukuzwa kazi
Kazi sana
"Wanaosemekana kufukuzwa". Lakini mm nafahamu hawajafukuzwa maana nawaona wakipiga kazi zilezile kama walizokua wanafanya TBS. Lakini kwa sasa wakiwa private company, nimeshangaa kuona tangazo Jana, haliyakua wapo wanafanya kazi private company Tangu 2020 baada ya kuchunguza nikagundua nikampuni yao.
 
Hawa vijana iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine. Vijana Hawa wanaosemekana kufukuzwa wana kampuni yao ya CALIBRATIONS, TESTING pamoja na Automations watu tuliopo kwenye constructions industry tunawaona sana. Na bahati nzurii kampuni yao ipo accredited inaruhusiwa kufanya kazi nchi yeyote Ile.

Kipindi wazee wamejazana TBS wakiogopa kustaafu, vijana hawa wameacha kazi kwenye shirika kubwa na kwenda kujiajiri.

Kampuni yao inaitwa CALTES COMPANY LTD.

Hongereni vijana kwa kuachia vijana nafasi, na wazee & vijana wengine waige mfano wa hawa.

Hakuna Mchaga wala Mpare hapo hiyo kampuni itaendaje au wao wapo ila hawakuwa TBS?
 
hakuna mahala niliposema wamefukuzwa, "wanaosemekana kufukuzwa" pia mm nipo kwenye industry ya constructions nakutana nao sana Tangu 2020 wakiwa wanafanya kazi kama walizokua wanafanya TBS lakini kwenye kampuni yao. Kwahio nawasifu kwa kujiongeza.

Kwahiyo walianzisha kampuni huku wakiwa bado ni wafanyakazi wa TBS? Kwamba kwenye kampuni yao, wakati huo, walikuwa wanafanya kazi zilezile zinazofanywa na TBS?
 
Hawa vijana iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine. Vijana Hawa wanaosemekana kufukuzwa wana kampuni yao ya CALIBRATIONS, TESTING pamoja na Automations

Kipindi wazee wamejazana TBS wakiogopa kustaafu, vijana hawa wameacha kazi kwenye shirika kubwa na kwenda kujiajiri.

Wamefukuzwa au wameacha kazi kwa hiyari?

Sounds more like you're one of em fellas...
 
Back
Top Bottom