Kwani nilazima kufanya kazi Serikalin?. Wewe mjinga ndio unaona niheshima kwako kufanya kazi Serikalini watu wanahitaji wafanye mambo yao ambayo vizazi na vizazi vitakuja kukuta watu washatengeneza njia.
Kuwapa kesii ya uhujumu uchumi kama wamehujumu sio vibaya, lakini kama ni kwa uonevu Mungu atawasimamia. Magufuli kawapa watu kesii za uhujumu uchumi Leo yupo wapi?.
Wageni wanakuja kufanya kazi za testing and calibrations mnawalipa mamilion yahela, Sembuse vijana wamejiongeza kutumia taaluma zao mnataka muwape kesii za uhujumu uchumi.
BVC, sgs,intertake, wanachukua tenda za Serikali wanaleta makampuni yakikenya kufanya kazi, ambazo watz wanauwezo wakuzifanya. Sasa wanatokea watu wanaamua kufanya hizo shughuri mnawaoana wezi?.
Kama nihivyo mbona hao hao TBS baadhi ya kazi ambazo hawaziwezi kama kufanya calibrations za survey equipments wanaomba hao vijana kampuni yao wafanye kazi.