Vijana wanaosemekana kufukuzwa kazi TBS iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine

Vijana wanaosemekana kufukuzwa kazi TBS iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine

Hawa vijana iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine. Vijana Hawa wanaosemekana kufukuzwa wana kampuni yao ya CALIBRATIONS, TESTING pamoja na Automations watu tuliopo kwenye constructions industry tunawaona sana. Na bahati nzurii kampuni yao ipo accredited inaruhusiwa kufanya kazi nchi yeyote Ile.

Kipindi wazee wamejazana TBS wakiogopa kustaafu, vijana hawa wameacha kazi kwenye shirika kubwa na kwenda kujiajiri.

Kampuni yao inaitwa CALTES COMPANY LTD.

Hongereni vijana kwa kuachia vijana nafasi, na wazee & vijana wengine waige mfano wa hawa.

Ikifikia hatua unafukuzwa kazi serikalini wewe umeshindikanika kabisa yaani ni sikio la kufa
 
Hivi TBs wanapima ubora wa bidhaa za wapi??
hapo sasa! Zimejaa bidhaa hatarishi kwa afya ya watumiaji wao wanachojali ni pesa tu wanaipitisha... Angalia utitili wa energy drinks na pombe za kwenye makopo zinamaliza vijana. Juzi tu tumemzika homeboy wetu kapiga ambiance akazimia barabarani usiku roli mbili zikamvaa.. Tuliokota chapati hatamaniki
 
Hawa vijana iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine. Vijana Hawa wanaosemekana kufukuzwa wana kampuni yao ya CALIBRATIONS, TESTING pamoja na Automations watu tuliopo kwenye constructions industry tunawaona sana. Na bahati nzurii kampuni yao ipo accredited inaruhusiwa kufanya kazi nchi yeyote Ile.

Kipindi wazee wamejazana TBS wakiogopa kustaafu, vijana hawa wameacha kazi kwenye shirika kubwa na kwenda kujiajiri.

Kampuni yao inaitwa CALTES COMPANY LTD.

Hongereni vijana kwa kuachia vijana nafasi, na wazee & vijana wengine waige mfano wa hawa.

Unasifia vipi watu wanaohujumu taasisi kwa kufanya kazi kama hiyo walioajiriwa nayo kwenye kampuni yao binafsi..
Hapo kuna conflicts of interest tns wamefanya vizuri kuwaondoa sasa uwanja ni wao wakasimamie kampuni yao huko vizuri.
 
Nimefanya kazi kampuni flani kubwa tu bungi ya vinywaji nikaacha kazi nilifungua own company ya clearing and forwarding 5 years back kabla sijaacha, sikufukuzwa kazi, kupitia kampuni yangu, nilipeleka. Mizigo mingi sana pale. Before and Present.
Hao wamefukuzwa, hao ni recruits wa tbs toka 2015 metrologists II, Sasa usilete siasa, wewe na wenzako mnaofanya kazi nao, endeleeni hamjakatazwa ila wasije kwa mgongo wa TBS. Ukitaka tuseme wamefanyaje tutasema tu, ila kwa sasa waache watu waendelee, Caltes ni ya wishega na ndiye signatory, nishafanya nae kazi.
Ww ungekuja na funzo lako sio hao.
 
Hata kwa waliyoyafanya sasa, wanafaa kuigwa. Yatakayoyotokea kuanzia sasa hadi mwaka wa kumi, nayo yana sehemu yake ya kuyatafakari..!!! Tunatafakari hatua, then matokeo..!!

Huwezi Naelewa Sababu una hisia za motivation speakers who are never motivated
 
Nimefanya kazi kampuni flani kubwa tu bungi ya vinywaji nikaacha kazi nilifungua own company ya clearing and forwarding 5 years back kabla sijaacha, sikufukuzwa kazi, kupitia kampuni yangu, nilipeleka. Mizigo mingi sana pale. Before and Present.
Hao wamefukuzwa, hao ni recruits wa tbs toka 2015 metrologists II, Sasa usilete siasa, wewe na wenzako mnaofanya kazi nao, endeleeni hamjakatazwa ila wasije kwa mgongo wa TBS. Ukitaka tuseme wamefanyaje tutasema tu, ila kwa sasa waache watu waendelee, Caltes ni ya wishega na ndiye signatory, nishafanya nae kazi.
Ww ungekuja na funzo lako sio hao.
Basi kama Wishega ndio signatory nahapo yupo nijambo jema.
 
Hawa vijana iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine. Vijana Hawa wanaosemekana kufukuzwa wana kampuni yao ya CALIBRATIONS, TESTING pamoja na Automations watu tuliopo kwenye constructions industry tunawaona sana. Na bahati nzurii kampuni yao ipo accredited inaruhusiwa kufanya kazi nchi yeyote Ile.

Kipindi wazee wamejazana TBS wakiogopa kustaafu, vijana hawa wameacha kazi kwenye shirika kubwa na kwenda kujiajiri.

Kampuni yao inaitwa CALTES COMPANY LTD.

Hongereni vijana kwa kuachia vijana nafasi, na wazee & vijana wengine waige mfano wa hawa.

Sio jambo LA ajabu, na nikisikiaga hz Mambo, huwa kuna vitu vimejificha, na wasifiaji kama wewe,huwa hawasemi ukweli, kampuni Yao ilianzishwa 2018,je walikuwa ni waajiliwa tangu kipindi hicho? Au walikuwa na kampuni, lakini ikawa haikidhi fwedha,ikabidi waombe ajira serikalini? Au ni waajiliwa wa kitambo Sana, wakaanzisha kampuni wakiwa bado wanakula salary ya serikali, na huku wanaendesha kampuni Yao, lakini kuacha kazi hawaachi, wanatumia connection Yao, na inside info kuhujumu serikali kunufsisha kampuni Yao(hawa ni mafisadi kama wengine tu),
Kwa nini baada ya ksmpuni kukua, wasingeacha kazi? Mpaka wafukuzwe!? Walikuwa makupe tu, walitumia nafasi zao kujinufsisha binafsi, kwa ufupi ni wezi, vibaka kama unaiba, iwe muda, Mali, taarifa za serikali kujenga kitu binafsi, huo ni wizi, na mgongsno mkubwa wa kimaslahi, ingekua America, hawa ni jera tu, na wengi serikalini wanaishi hivyo, maofisa wengi wa Bsndari TPA, ndio walikuwa wanamiriki Bsndari Navy na ma go down, sasa jiulize kama ni vidume kweli sio makupe walioigsnda serikali, kwanini wasiache kazi, waendeshe biashara zao za Bsndari kavu? It's no brainer anyone can do it.
"Sie tulipunguzwa kazi kampuni ya kusimamia minara,2015, tukalipwa chetu kirefu tu, tukaona hapa, at 40+hatuwezi kutembeza bahasha tena,tukaanzisha, BV engineering, Horizon, "
Sio upo serikalini, una ka side hustle kako,unainyonya serikali, siku ukigundulika, na kutimuliwa, unasema nilifukuzwa, nikatumia ujuzi wangu, kuanzisha kampuni, pambaf
 
Back
Top Bottom