KALINZI NYUMBANI
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 1,797
- 1,594
Mmefanya makosa gani hadi mkafukuzwa kazini??Hawa vijana iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine. Vijana Hawa wanaosemekana kufukuzwa wana kampuni yao ya CALIBRATIONS, TESTING pamoja na Automations watu tuliopo kwenye constructions industry tunawaona sana. Na bahati nzurii kampuni yao ipo accredited inaruhusiwa kufanya kazi nchi yeyote Ile.
Kipindi wazee wamejazana TBS wakiogopa kustaafu, vijana hawa wameacha kazi kwenye shirika kubwa na kwenda kujiajiri.
Kampuni yao inaitwa CALTES COMPANY LTD.
Hongereni vijana kwa kuachia vijana nafasi, na wazee & vijana wengine waige mfano wa hawa.
😂😂😂Mboga hudokoa watoto tu.
Akidokoa mama ANAONJA chumvi
Caltes Company LTD.Hawa vijana iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine. Vijana Hawa wanaosemekana kufukuzwa wana kampuni yao ya CALIBRATIONS, TESTING pamoja na Automations watu tuliopo kwenye constructions industry tunawaona sana. Na bahati nzurii kampuni yao ipo accredited inaruhusiwa kufanya kazi nchi yeyote Ile.
Kipindi wazee wamejazana TBS wakiogopa kustaafu, vijana hawa wameacha kazi kwenye shirika kubwa na kwenda kujiajiri.
Kampuni yao inaitwa CALTES COMPANY LTD.
Hongereni vijana kwa kuachia vijana nafasi, na wazee & vijana wengine waige mfano wa hawa.
Wazee wamekukosea nini? Mpaka useme wanaogopa kustaafu? Umekalia kusifia wenzio tu mbona wewe hujaacha kazi? Kwanza mimi nilifikri wameacha kazi kwa mapenzi yao, kumbe mpaka walipokula rushwa wakafukuzwa?Hawa vijana iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine. Vijana Hawa wanaosemekana kufukuzwa wana kampuni yao ya CALIBRATIONS, TESTING pamoja na Automations watu tuliopo kwenye constructions industry tunawaona sana. Na bahati nzurii kampuni yao ipo accredited inaruhusiwa kufanya kazi nchi yeyote Ile.
Kipindi wazee wamejazana TBS wakiogopa kustaafu, vijana hawa wameacha kazi kwenye shirika kubwa na kwenda kujiajiri.
Kampuni yao inaitwa CALTES COMPANY LTD.
Hongereni vijana kwa kuachia vijana nafasi, na wazee & vijana wengine waige mfano wa hawa.
hakuna mahala niliposema wamefukuzwa, "wanaosemekana kufukuzwa" pia mm nipo kwenye industry ya constructions nakutana nao sana Tangu 2020 wakiwa wanafanya kazi kama walizokua wanafanya TBS lakini kwenye kampuni yao. Kwahio nawasifu kwa kujiongeza.Wazee wamekukosea nini? Mpaka useme wanaogopa kustaafu? Umekalia kusifia wenzio tu mbona wewe hujaacha kazi? Kwanza mimi nilifikri wameacha kazi kwa mapenzi yao, kumbe mpaka walipokula rushwa wakafukuzwa?
Hata kwa waliyoyafanya sasa, wanafaa kuigwa. Yatakayoyotokea kuanzia sasa hadi mwaka wa kumi, nayo yana sehemu yake ya kuyatafakari..!!! Tunatafakari hatua, then matokeo..!!Baada ya Miaka 10 ndo tutaona Wanafaa kuigwa au la!!!????
"Wanaosemekana kufukuzwa". Lakini mm nafahamu hawajafukuzwa maana nawaona wakipiga kazi zilezile kama walizokua wanafanya TBS. Lakini kwa sasa wakiwa private company, nimeshangaa kuona tangazo Jana, haliyakua wapo wanafanya kazi private company Tangu 2020 baada ya kuchunguza nikagundua nikampuni yao.Unasema wamefukuzwa tena hapo hapo wameachia vijana wengine na wazee
Hakuna picha ya bidhaa wanayozalisha Wala kazi yake ila Kuna picha za sad niggas wakifukuzwa kazi
Kazi sana
Hakuna Mchaga wala Mpare hapo hiyo kampuni itaendaje au wao wapo ila hawakuwa TBS?Hawa vijana iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine. Vijana Hawa wanaosemekana kufukuzwa wana kampuni yao ya CALIBRATIONS, TESTING pamoja na Automations watu tuliopo kwenye constructions industry tunawaona sana. Na bahati nzurii kampuni yao ipo accredited inaruhusiwa kufanya kazi nchi yeyote Ile.
Kipindi wazee wamejazana TBS wakiogopa kustaafu, vijana hawa wameacha kazi kwenye shirika kubwa na kwenda kujiajiri.
Kampuni yao inaitwa CALTES COMPANY LTD.
Hongereni vijana kwa kuachia vijana nafasi, na wazee & vijana wengine waige mfano wa hawa.
Siamini kama Kuna jambo, Bali nimeanza kuwaona Tangu 2020 wakiwa wanafanya kazi private company. Kwahio naamini walijiongeza wakafungua kampuni yao.Huwezi kufukuzwa tu ..kuna jambo watakuwa wamefanya
Kwahiyo walianzisha kampuni huku wakiwa bado ni wafanyakazi wa TBS? Kwamba kwenye kampuni yao, wakati huo, walikuwa wanafanya kazi zilezile zinazofanywa na TBS?hakuna mahala niliposema wamefukuzwa, "wanaosemekana kufukuzwa" pia mm nipo kwenye industry ya constructions nakutana nao sana Tangu 2020 wakiwa wanafanya kazi kama walizokua wanafanya TBS lakini kwenye kampuni yao. Kwahio nawasifu kwa kujiongeza.
Caltes Company LTD.
Caltes Company Limited is a Tanzanian private company registered in 2018 as a business name and in 2020 become a Limited Company, established by experts in Metrology with years of experience in Measurement Science. The establishment of Caltes Company Limited intends to service Manufacturing and...caltes.co.tz
Hawa vijana iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine. Vijana Hawa wanaosemekana kufukuzwa wana kampuni yao ya CALIBRATIONS, TESTING pamoja na Automations
Kipindi wazee wamejazana TBS wakiogopa kustaafu, vijana hawa wameacha kazi kwenye shirika kubwa na kwenda kujiajiri.
Caltes Company LTD. ukiingia hapa utaona, na kwanini 2024 ndio wasemekane sio waajiriwa Tena.Kwahiyo walianzisha kampuni huku wakiwa bado ni wafanyakazi wa TBS? Kwamba kwaenye kampuni yao, wakati huo, walikuwa wanafanya kazi zilezile zinazofanywa na TBS?
"Wanaosemekana".Wamefukuzwa au wameacha kazi kwa hiyari?
Sounds more like you're one of em fellas...