RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Yes naamini pia hivyo. Lakini pia naona ndio njia sahihi yakutoka kimaisha. Maana kama unaanzisha biashara uliyo na uzoefu nayo ndio rahisi kutoboa.Binafsi, nahisi, jambo walilokosea ni kuanzisha kampuni inayofanya kazi zile zile za TBS huku bado wakiwa ni wafanyakazi wa TBS. CONFLICT OF INTEREST...!!!
Ukisemacho ni kweli kabisa, nami nakiunga mkono. Lakini, shida ni kuwa stori nzima haipo wazi sana hasa kwenye sababu ya/za hao jamaa kuondoka TBS.Yes naamini pia hivyo. Lakini pia naona ndio njia sahihi yakutoka kimaisha. Maana kama unaanzisha biashara uliyo na uzoefu nayo ndio rahisi kutoboa.
Wakisubiri mpaka wastaafu ndio tunabaki tunawacheka.
Wamefukuzwa TBS, unajua maana ya kufukuzwa kwenye shirika. Hawa wamefukuzwa kwa makosa makubwa yanayohusu utapeli kwa jina la TBS, kuhamisha workshop, na kudanganya umma. Hamna shirika hutoa sababu, hutoa majina kutangaza hao si wafanyakazi wao kama wanavyoyotoa wakati wa recruitment.Ukisemacho ni kweli kabisa, nami nakiunga mkono. Lakini, shida ni kuwa stori nzima haipo wazi sana hasa kwenye sababu ya/za hao jamaa kuondoka TBS.
Kitu gani kigumu hapo, hawa walikuwa wanafanya kazi hizo hizo za TBS kwenye kampuni yao.. maana yake wanaiba wateja wa TBS kupeleka kwao, wana tengeneza conflict of interest.. inaonekana wamegundulika ndio maana wamefukuzwa kazi.Caltes Company LTD. ukiingia hapa utaona, na kwanini 2024 ndio wasemekane sio waajiriwa Tena.
Wewe badala uwapongeze unawapa pole kwani wamesema wamekwama baada ya kufukuzwa kazi?Duu poleni
Kampuni yao nayo imefungiwa au bado inafanya kazi?Kitu gani kigumu hapo, hawa walikuwa wanafanya kazi hizo hizo za TBS kwenye kampuni yao.. maana yake wanaiba wateja wa TBS kupeleka kwao, wana tengeneza conflict of interest.. inaonekana wamegundulika ndio maana wamefukuzwa kazi.
Miaka kumi ya nini?Baada ya Miaka 10 ndo tutaona Wanafaa kuigwa au la!!!????
Acha uongo wako baana Mimi nawafahamu wote watatu, na nafanya nao kazi kwenye mradi wa EACOP.Wamefukuzwa TBS, unajua maana ya kufukuzwa kwenye shirika. Hawa wamefukuzwa kwa makosa makubwa yanayohusu utapeli kwa jina la TBS, kuhamisha workshop, na kudanganya umma. Hamna shirika hutoa sababu, hutoa majina kutangaza hao si wafanyakazi wao kama wanavyoyotoa wakati wa recruitment.
Hao mabwana mimi nawafahamu wawili, hawana shida ila wamekosea Shirika na shirika likawa na wajibu wa kuwafukuza kazi baada ya muda mrefu wa uchunguzi.
NIlitaka kuuliza swali kama hili umeniwahiHivi TBs wanapima ubora wa bidhaa za wapi??
Inafanya kazi hata taasisi za Serikali zinafanya nao kazi, maana wako ACCREDITED na ndio issue kubwa kwenye issue za testing & calibrations.Kampuni yao nayo imefungiwa au bado inafanya kazi?
Unajua kusoma au unaropoka., baadhi ya shughuli walihamisha kwenye workshop yao, plus baadhi ya kazi. Wametumia ofisi kukuza ofisi yao. Soma vizuri babu, wewe unawajua vzuri sawa, mimi siwajui vizuri ila habari yao ninayo, na. Nimewahi fika hata makabe mara kadhaa.Acha uongo wako baana Mimi nawafahamu wote watatu, na nafanya nao kazi kwenye mradi wa EACOP.
Hawajahamisha workshop, Bali ni conflict of interest baada yakuanzisha kampuni inayofanya shughuri sawa na muajiri wao. Wakaitwa wajieleze hawakuja kujieleza tangu mwakajana Sept, wakaendelea kufanya issue zao na kampuni yao. Wakaandikiwa barua zakuitwa kwenye vikao lakini hawakuja. Kwahio Tangu last year Sept hawapo TBS. Na hio nibaada yakua accredited, SADCAS walivyo publish nyaraka kwenye website yao ndio walifahamika.
Wengekua wamehamisha workshop wangekua uraiani?.
Muwe mnaandika vitu mlivyo naushahidi navyo.
Acha kutetea upumbavu. Mfanyakazi anaitwa kwenye kikao haendi ina maana gani? Tena hao washukuru hawajapewa kesi ya uhujumu wahangaike nayo miaka kadhaa. Hao vijana sio mfano wa kuigwa. Ni vijana wezi, jeuri na wahujumu. Ukifukuzwa serikalini ina maana umeshindikana kabisa.Acha uongo wako baana Mimi nawafahamu wote watatu, na nafanya nao kazi kwenye mradi wa EACOP.
Hawajahamisha workshop, Bali ni conflict of interest baada yakuanzisha kampuni inayofanya shughuri sawa na muajiri wao. Wakaitwa wajieleze hawakuja kujieleza tangu mwakajana Sept, wakaendelea kufanya issue zao na kampuni yao. Wakaandikiwa barua zakuitwa kwenye vikao lakini hawakuja. Kwahio Tangu last year Sept hawapo TBS. Na hio nibaada yakua accredited, SADCAS walivyo publish nyaraka kwenye website yao ndio walifahamika.
Wengekua wamehamisha workshop wangekua uraiani?.
Muwe mnaandika vitu mlivyo naushahidi navyo.
Huu uzi utazidi kuwavua nguo hawa vijana badala ya kuwaongezea thamani.Unajua kusoma au unaropoka., baadhi ya shughuli walihamisha kwenye workshop yao, plus baadhi ya kazi. Wametumia ofisi kukuza ofisi yao. Soma vizuri babu, wewe unawajua vzuri sawa, mimi siwajui vizuri ila habari yao ninayo, na. Nimewahi fika hata makabe mara kadhaa.
Unaona sasa ulivyo mjinga, ofisi yao mbona haipo makabe?.Unajua kusoma au unaropoka., baadhi ya shughuli walihamisha kwenye workshop yao, plus baadhi ya kazi. Wametumia ofisi kukuza ofisi yao. Soma vizuri babu, wewe unawajua vzuri sawa, mimi siwajui vizuri ila habari yao ninayo, na. Nimewahi fika hata makabe mara kadhaa.
Kwani nilazima kufanya kazi Serikalin?. Wewe mjinga ndio unaona niheshima kwako kufanya kazi Serikalini watu wanahitaji wafanye mambo yao ambayo vizazi na vizazi vitakuja kukuta watu washatengeneza njia.Acha kutetea upumbavu. Mfanyakazi anaitwa kwenye kikao haendi ina maana gani? Tena hao washukuru hawajapewa kesi ya uhujumu wahangaike nayo miaka kadhaa. Hao vijana sio mfano wa kuigwa. Ni vijana wezi, jeuri na wahujumu. Ukifukuzwa serikalini ina maana umeshindikana kabisa.
Kwa hiyo kufukuzwa kazi kwa utovu wa nidhamu na kuihujumu TBS ndo ujanja? Wangekuwa waadilifu wangeacha kazi kwa kufuata utaratibu na kwenda kufungua kampuni yao. Ila kufukuzwa imejaa ukakasi. Ni suala la muda tu kabla hawajaanza kuhujumiana wenyewe kwa wenyewe na kujivuruga. Hao vijana ni wahujumu na mafisadi.Kwani nilazima kufanya kazi Serikalin?. Wewe mjinga ndio unaona niheshima kwako kufanya kazi Serikalini watu wanahitaji wafanye mambo yao ambayo vizazi na vizazi vitakuja kukuta watu washatengeneza njia.
Kuwapa kesii ya uhujumu uchumi kama wamehujumu sio vibaya, lakini kama ni kwa uonevu Mungu atawasimamia. Magufuli kawapa watu kesii za uhujumu uchumi Leo yupo wapi?.
Wageni wanakuja kufanya kazi za testing and calibrations mnawalipa mamilion yahela, Sembuse vijana wamejiongeza kutumia taaluma zao mnataka muwape kesii za uhujumu uchumi.
BVC, sgs,intertake, wanachukua tenda za Serikali wanaleta makampuni yakikenya kufanya kazi, ambazo watz wanauwezo wakuzifanya. Sasa wanatokea watu wanaamua kufanya hizo shughuri mnawaoana wezi?.
Kama nihivyo mbona hao hao TBS baadhi ya kazi ambazo hawaziwezi kama kufanya calibrations za survey equipments wanaomba hao vijana kampuni yao wafanye kazi.
Unaweza hamisha.Unaona sasa ulivyo mjinga, ofisi yao mbona haipo makabe?.
Unahamishaje shughuri kwenye ofisi yako kwa namna TBS wanavyofanya kazi?.
Jaribu na wewe kama rahisi.Unaweza hamisha.