Vijana wanasema hadharani kabisa kwamba wananunua sex

Huu ni uandishi gani, acha egoism, kujua kiingereza siyo utaalam, acha ulimbukeni. Tumia lugha moja ijulikane hadhira yako ni ipi.
Katika miongozo ya jf hakuna masharti ya kuandika., muhimu tu usitumie lugha ya matusi
 
Na kila mwanamke ana bei ndio maana akipata anayeprovide bei kubwa zaidi yako unapigwa chini mapema kiufupi wanawake Wana price tag siku zote
shida sio price tag shida ni unapata value gan in return baada ya kulipia. Batch ya wanawake wa kizazi cha nyuma angalao walikua wanaoffer value in return ya uwekezaji wa mwanaume. Sasa leo mrija wa pesa ukikata na huduma inakata halafu end game ya hayo yote ni sex. Gen Z wanaona bora muuziane tu kila mtu achukue njia yake
 
Biashara ya Mitambo Hiyo, Leta Price Tag. Kila mtu asipate asala we upate utakacho na yeye apate atakacho....Win win situation
 
Ndio maana tukasema wanawake Asilimia 95 hujiuza either direct or indirect so ukifahamu hilo hutoumia kichwa kamwe juu yao,
 
Ipo kitambo lakini sio kwa kasi ya sasa
Kumbuka hata mke kuandaliwa. Kinachobadika ni majina tu , kwa mke ni maandalizi na pesa unazompa ni matumizi. Kwa hawara au kimada ni hongo hiyo kusudi upate ngono. Na wanaume rijali ni waandalizi/wahongaji wazuri sana kasoro mbakaji tu.
 
Tàtizo lako nini? Hujui kiswahili au unataka tujue wewe ni wa kishua umeishi hukooo àu ..,.
Ila wauzaji miili wanauza hàdharani sasa unashangaa nini kuongea hàdharani?
 
Biashara ya Mitambo Hiyo, Leta Price Tag. Kila mtu asipate asala we upate utakacho na yeye apate atakacho....Win win situation
Kwaiyo ni wakati wa serikali kuihalalisha sasa, ili ijulikane nani mpenzi nani mteja.
 
Mkuu kumbuka na wao cha moto wanakutana nacho. Vijana wanawapakia vumbi la kongo
Sawa tu,zaman kipindi hawajaanza hii mbinu ya kuomba omba kuna wajinga walikuwa wanawatumia vibaya,unakuta mfano wkend jamaa anawagonga mpaka kumi kwa siku afu bure tu na wengine wanamfumania anawafukuza na kuwatukana lakin sahv huo ujinga huwez fanya maana kila anaekuja anataka kuondoka na hela au kabla hajaja umrushie hela
 
Ni sahihi..
Kikubwa vipimo vya damu usikose kila muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…