Vijana wanasema hadharani kabisa kwamba wananunua sex

πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ"Mimi sio Gen Z, nimezaliwa na kukua katika generation ambayo wanaume walikua comfortable with chesting billing from women whom they liked so they could have sex, ni generation ambayp iliamini ukimpenda mwanamke basi bill zake zinakua ni wajibu wako".
 
Thamani ya mwanamke huku uswahilini kwetu kwa maana ya kustirika inashuka kwa kasi sana, viashiria ni vingi.
Hadi maboss wanaagiza kontena.
 
I wasn't talking about the daughter, I'm talking about the men; most people don't invest in relationships because it's too expensive to do so
I agree with you, buying is less expensive than maintaining a relationship. But what about our future generation, will it be safe if this trend goes on?
 
Hayo ni maamuzi yake, Maisha ni Maamuzi Binafsi kumshauri mtu ni kupoteza mda wako, hata mtu akikufuata kuomba ushauri, anakua Tayari ana majibu yake ila anakuuliza kama mtego Ili aone mawazo yake.
Lakini mzazi pia ana nafasi kubwa katika ku-influence maamuzi ya mtoto wake
 
Kwani wanawake hawauzi
Asilimia kubwa ni pesa unawagonga

Ova
Busara itumike kidogo. Hawa Gen Z boys nimewakuta wanajadiliana mpaka bei elekezi ya yas na wanawapoint kabisa wauzaji
 

We mwenyewe unanunua sex kwa mkeo, hao vijana wamakosea wapi?
 
Then, why these Gen Z young men did not inherit this patience or threshold of tolerance and endurance?

Sio wanawake wa miaka hii!
 
Kwa hiyo hii sio habari?
imetokea tu akili ikajikuta imetafakari zaidi baada ya kuona suala lililokua linafanyika kidiplomasia zaidi sasa hivi linajadiliwa kwa uwazi na kwa lugha ngumu na inaonekana sawa
 


Mbona huu ni muandiko wa kike?
 
MKE wako mweneyewa anakudangia mazaoo anamdangia babako kwa miaka...kinachokushangaza NI uwazi walionao ma gen z...hakuna longolongo wanajua anachotaka mwanamke NI hel a na mwanaume anataka tundu so nope nikupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…