Vijana wanasema hadharani kabisa kwamba wananunua sex

MKE wako mweneyewa anakudangia mazaoo anamdangia babako kwa miaka...kinachokushangaza NI uwazi walionao ma gen z...hakuna longolongo wanajua anachotaka mwanamke NI hel a na mwanaume anataka tundu so nope nikupe
Kuna mambo ambayo sio busara kuyajadili hadharani
 
Lamomy tujajie bei bwana watu hatutaki mambo ya baba anaumwa mara bby umekula nini
 
Lamomy tujajie bei bwana watu hatutaki mambo ya baba anaumwa mara bby umekula nini
Kwa mujibu wa Gen Z nilivyosikia story zao pisi ya kiwango cha kawaida ambae sio mtu maarufu mjini bei elekezi ni 20k-30k kwa usiku mmoja zaidi ya hapo umepigwa. Bei ya yas ni makubaliano ila inaongezeka kidogo kutoka iyo bei tajwa hapo juu
 
Huwa nilipita pale sinza
Malaya:20k wewe ndo mteja wangu wa kwanza unaenda kuifungua
Mimi:Sitaki kifo cha mende nataka unipe mbong'eo
Malaya:Usijali na parachute ipoπŸ˜…
 
Mfano una mtoto wa kiume amefikiaha umri wa kujitegemea na ameondoka nyumbani. Wewe kama baba utamshauri aoe au abaki single na utakapobanwa na upwiru anunue dadapoa?
Inategemea Ila mimi kama mzazi nitampa hela za kuhonga Ila sio kununua wale wanaogongwa sana
 
Hii ni kweli mkuu
 
MKE wako mweneyewa anakudangia mazaoo anamdangia babako kwa miaka...kinachokushangaza NI uwazi walionao ma gen z...hakuna longolongo wanajua anachotaka mwanamke NI hel a na mwanaume anataka tundu so nope nikupe
Uzi ufungwe.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Huwa nilipita pale sinza
Malaya:20k wewe ndo mteja wangu wa kwanza unaenda kuifungua
Mimi:Sitaki kifo cha mende nataka unipe mbong'eo
Malaya:Usijali na parachute ipoπŸ˜…
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hii road ya kuanzia kumekucha mpaka ustawi wa jamii sijapita miaka mingi sana. Pale mori giza likiingia tu walikua wanajipanga pembeni ya bmax club. Siku moja niliingia kwenye atm ya pale sheli ya upande wa pili ile natoka si wakaniona bhana ilikua balaa
 
Asee wananusa hela wale mamazi
 
Siku hizi wamewageza mademu kama bidhaa,anajule pale nikimpangia laki,ndani ya wiki mbili na mla na kutambaa na kweli huwaga hawachomoki (japo wapo ila wachache mno).Siku hizi hata ule ufundi wa kutongoza hamna na kama ukiwa na mzigo unasahau hata kutongoza.

Kwa kifupi pesa imerahisisha sana upatikanaji wa ngono, japo wanawake wanaona kama wanatukomoa.Kuthaminisha ngono pesa,kumewafanya wanawake wawe na grade, kuna wa buku,buku mbili, buku tano,buku kumi,elfu 20,laki na kuendelea.So kinacho bakia ni mfuko wa mwanaume,ndio utakao amua aende na grade ipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…