Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen to thatMtaani kugumu...... Haya ndio Majibu ya walio wengi kwenye ushauri wa kuacha kazi, Kama unataka kuacha acha usiombe ushauri, Nakuomba ufanye kautafiti. Tafuta watu kama kumi ambao wako mtaani na unawaamini, waombe ushauri.
Kama wakitokea wawili wakakubaliana na wazo lako njoo nidai vocha ya 500(joke)
Kimsingi haya maamuzi yanategemea tu utashi wako, Unapokua na Biashara huku bado uko kwenye ajira watumishi huwa wanakupiga sana, mwisho wa siku biashara inakufa na ndoto yako ya kuacha kazi inakufa
Mimi nakushauri anagalia mfuko wako na uwe na uhakika wa biashara ambayo unataka kufanya, Kumbuka challenges hazipo maofisini peke yake hata kwenye biashara pia kuna challenges.
Biashara ambayo unaweza kuanza nayo kama bado hujabuni biashara jaribu kuangalia Mazao, Mazao hayana hasara jaribu ku avoid perishable things kama viazi na mboga mboga.
Mazao kama mahindi yakiharibika utauzia wanaotengeneza byakula vya kuku.
suala kubwa ni mfuko wako na utayari wako wa kuishi kigumu.
acha kazi uone ugumu wa kupata kazi.MI MWENYEWE NIMECHOKA KUAJIRIWA
Mkuu unaweza kushare nasi ..tunaweza kusaidiana kwa namna moja au nyingineNdugu zangu. Swala LA kuacha kazi linahitaji kujipanga sana, huwa siwashauri watu wakurupuke kwani yaliyonipata sipendagi na wengine yawapate
Endelea kuvaa tai huku ukisubiria increment na pensheniacha kazi uone ugumu wa kupata kazi.
chezea mshahara sio kazi.
bro vitu vya kwenye movie ni funzo toshaa bt tatizo kwetu ni udhubutu3 idiot napenda sana kuiangalia hii muvi inani encourage sana
ha ha ha ukijiajiri huoti kitambi ndugu afu mikopo ya magari atapata wapi?Endelea kuvaa tai huku ukisubiria increment na pensheni
Hahaaaah ukijiajiri huwezi kupata mkopo wa kununua ka passoha ha ha ukijiajiri huoti kitambi ndugu afu mikopo ya magari atapata wapi?
Hahaaaa... tunapojiajiri huwa tunahitaji sana watu kama wewe....H
Hahaaaah ukijiajiri huwezi kupata mkopo wa kununua ka passo
Mh elimu zetu ni shida sanaNna mwaka sasa toka niache kazi na kufanya shughuli zangu binafsi
Kwa kweli Niko vizur sana na nna amani sana tena Sana,japo kujiajiri kunachangamoto zake lakini kuajiriwa zimezidi
Kwa nini niliacha kazi
Niliacha kazi baada ya mambo matatu makubwa
1#nilipokua naanza kazi kwenye ofisi flani ivi nilibahatika kupata rafiki yangu wa kichaga maeneo Yale yeye hakua na elimu yoyote alikua tu mfanyabiashara
Tena wakati uo ana mtaji wa miliona moja nakumbuka nilikua nikimwazima sana mshahara akunulie mzigo baadae anirudiahie
Baada ya miaka mitatu mtaji wake ukapanda toka milioni moja hadi milioni tisini
Wakati huo mwenzangu na Mimi ndo kwanza nimeongezwa kamshahara toka laki nane hadi laki Tisa
Baada ya mwaka moja kupita jamaa kajenga nyumba nzuri,anagar zur,na anaagiza mzigo kutoka China anamtaji ya milioni mia sita,wakati huo Mimi naangaika tu na laki Tisa yangu
Nikanza kujichukia nikaanza kuichukia elimu niliyoipata maana bado sijaona umuhimu wake kwenye maisha yangu
Dalasa LA saba ameweza kumanage business from 1m to 600m ndani ya miaka minne tu
Inaendelea
HAYO NI MANENO YAKO.................................acha kazi uone ugumu wa kupata kazi.
chezea mshahara sio kazi.
Hivi teacher ulishaacha kazi?Endelea kuvaa tai huku ukisubiria increment na pensheni
Mkuu mimi nimeacha kazi jana hapa sijui ata naanzia wapiAisee mwanzilishi wa huu uzi nimekuelewa sana....hapa tutatiana moyo sana sisi ambao tunataka kujiajiri au am ambao tayari tumejiajiri,binafsi nimejiajiri. .
And am happy being my own boss...karibuni wakuu kwenye ulimwengu mpya wa kujitegemea..
Sababu za kuacha kazi ni zipi hasa mkuu kama umeacha kwa kuamua kujiari sema wazo lako la tushaurianeMkuu mimi nimeacha kazi jana hapa sijui ata naanzia wapi
Kwa ajir ya kujiajir mkuu sikua na mtaj sana hila ndo nataka nifanye mambo yangu mkuuSababu za kuacha kazi ni zipi hasa mkuu kama umeacha kwa kuamua kujiari sema wazo lako la tushauriane