Lio 002
JF-Expert Member
- May 10, 2014
- 436
- 68
mm yangu ni shukurusimba@ymail.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
baada ya kusolve sana calculus nikiwa chuo nilirudi mtaani na kujikuta siwezitumia calculus mtaani kwetu...nkiangalia mifuko inazidi kutoboka kila siku........then nimeamua kujiajiri ifuatavyo
nimetafuta kijifremu around tegeta.........jengo la mwarabu...
nimeset ITLAB
their i do eveything about IT from data recovery,password recovery,laptop and desktop maintainance,information system development, programming na makorokoro yote ya ufundi wa IT. my dream is to have a number one software firm in africa..
kama una tatizo lolote la kiteknolojia nipigie simu 0654262419 or pm then i will be on you promptly
wassalaaaaaaaaaam.
tungekuwa na vijana wengi wenye mawazo kama yako tungesogea hatua mbele, hongeraBaada ya kusolve sana calculus nikiwa chuo nilirudi mtaani na kujikuta siwezitumia calculus mtaani kwetu...nkiangalia mifuko inazidi kutoboka kila siku. Then nimeamua kujiajiri ifuatavyo.
Nimetafuta kijifremu around Tegeta jengo la mwarabu.
Nimeset ITLAB
Their i do eveything about IT from data recovery,password recovery,laptop and desktop maintainance,information system development, programming na makorokoro yote ya ufundi wa IT. my dream is to have a number one software firm in africa..
Kama una tatizo lolote la kiteknolojia nipigie simu 0654262419 or pm then i will be on you promptly.
Wassalaam.
kweli mkuu mtaji wa maskini ni nguvu na akili zake mwenyewe.......usisahau laptop yako ikizingua nilnyanyulie waya.....0654262419Kanyaga twende, vizuri kuanza na ulicho nacho mkononi?
thanks for your inspirationSafi tunataka vijana kama wwe, sio kulia lia tu ajira hakuna
yeah matajiri wote dunian ni wajasiliamali na wakulimaHakuna tajiri aliyeajiriwa...
ajira hakuna kama unachagua ofisi ya kufanyia kaziSafi tunataka vijana kama wwe, sio kulia lia tu ajira hakuna
thanks for your inspirationhongera sana mkuu wangu umefanya jambo la busara yaani maamuzi mazuri nimeyapenda bigup utafika juu zaidi
usikate tamaa nasi tutaiga mfano huu yes mzuri
inshaallahbest wishes in every thing na mungu aongoze kazi za mikono yako
Bahati mbaya sana kwamba naweza ku-LIKE mara moja tu basi, lakini pokea like nyingi tu toka kwa mjasiriamali mimi. Umefanya la maana sana kujiajiri. Mie mwenyewe niliamua kujiajiri, ingawa ni sekta tofauti na wewe. Naona mabadiliko kadhaa ya namna ya utendaji kazi wangu, nikilinganisha na nilipokuwa nimeajiriwa. I enjoy it. Kama alivyosema mwenzangu mmoja hapo juu, hakuna tajiri aliyeajiriwa! All started from scratch, like what you are doing! KEEP IT UP!Baada ya kusolve sana calculus nikiwa chuo nilirudi mtaani na kujikuta siwezitumia calculus mtaani kwetu...nkiangalia mifuko inazidi kutoboka kila siku. Then nimeamua kujiajiri ifuatavyo.
Nimetafuta kijifremu around Tegeta jengo la mwarabu.
Nimeset ITLAB
Their i do eveything about IT from data recovery,password recovery,laptop and desktop maintainance,information system development, programming na makorokoro yote ya ufundi wa IT. my dream is to have a number one software firm in africa..
Kama una tatizo lolote la kiteknolojia nipigie simu 0654262419 or pm then i will be on you promptly.
Wassalaam.
thaks mkuu for your inspirationBahati mbaya sana kwamba naweza ku-LIKE mara moja tu basi, lakini pokea like nyingi tu toka kwa mjasiriamali mimi. Umefanya la maana sana kujiajiri. Mie mwenyewe niliamua kujiajiri, ingawa ni sekta tofauti na wewe. Naona mabadiliko kadhaa ya namna ya utendaji kazi wangu, nikilinganisha na nilipokuwa nimeajiriwa. I enjoy it. Kama alivyosema mwenzangu mmoja hapo juu, hakuna tajiri aliyeajiriwa! All started from scratch, like what you are doing! KEEP IT UP!