Hiyo biashara ya marketing nertwoking sio mbaya sana kwa nchi za wenzetu zinafanyika kiurahisi zaid lakin kibongo bongo ni kaz za kufanya kiujanja ujanja uwongo mwingi, nimeshuhudia wengi wanazilaumu na kuishia kupata hasara kubwaa, vijana weng wanazikimbilia mwisho wanarud wanalaumu lait ningalijua tatizo la hii business ukielezewa kwa Mara ya kwanza unashawishika sana na kuona ni biashara nzuri yenye faida sana lakini unapoanza kuifanya na baada ya kuweka mtaji wako unagundua n jamii ya utapeli? Kuna wachache sana wamefanikiwa ila wengine ndio wanageuzwa kuwa mtaji ya wengine. THEORY ya hii business ni rahisi kueleweka na wengi lakini PRACTICALY ni ngumu sana hivyo kupelekea wachache kufanikiwa na kuwaacha members wengine wengi wakilaumu kuwa ni UTAPELI.