Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Tangu nihitimu nimekuwa mtu wa kujitolea pasipo kupewa hata sumuni ila Mungu kanishika mkono na sasa nimeanzisha mradi wangu wa kuuza dagaa wabichi kutoka bukoba.

Ni mwezi mmoja tangu nianze kazi hii ila ugeni katika biashara siwezi sema ni biashara mbaya kimasilahi ila inalipa, Nipo Arusha kwa yeyote atakayetaka dagaa nitamletea popote na maeneo jirani.....Dagaa ni wazuri sana Hawana mchanga......

Kwa biashara nitafute kwa namba hii....069240789.....

Tusisubiri ajira..... Kidogo huleta kikubwa
c5150c1e2120f42a7db80011edf01bd0.jpg
32ce772bb33ee4c64023c0dc30d0f08a.jpg
0b3015822a336c61dd5602a236859e23.jpg
 
Nakupongeza, umechukua uamuzi wa maana sana! Ninachokushauri usibweteke na faida utakayoipata, wekeza zaidi na zaidi, tanua biashara mpaka umiliki vitega uchumi vikubwa vitakavyokuhakikishia mapato ya uhakika katika maisha yako yote.
 
Hongera mkuu! Pole pole ndio mwendo. After five years hautokuwepo hapo. Tofauti na mtu anayepokea milioni moja sasa, baada ya miaka mitano kwa increment ya 10, hata mshahara wa M1.5 atakuwa bado hajavuka...
 
Naam!! Najua mwanzo ni mgumu ila nitabidi mimi niwe mgumu zaidi ya mwanzo wenyew
 
Nichumu Nibebike said:
Hongera mkuu! Pole pole ndio mwendo. After five years hautokuwepo hapo. Tofauti na mtu anayepokea milioni moja sasa, baada ya miaka mitano kwa increment ya 10, hata mshahara wa M1.5 atakuwa bado hajavuka...
Uyasemayo ni kweli kikubwa ni malengo tu mkuu
 
Big up kamanda, nikirudi chuga ntakuungisha, nimesha subscribe.
 
Back
Top Bottom