Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante, hatutembezi vitu barabarani na maranyingi tunanunua kwa oda ni uamuzi wako umpelekee mteja (sio lazima ww waweza muagiza hata bodaboda coz mteja analipia usafiri) au aje ofisini kuchukua bidhaa....kuna level ukifika kampuni inakuruhusu kufungua sales point(branches ndogo ndogo) hapa unakuwa na leseni pamoja na sehemu. So mtu akihitaji bidhaa nirahisi kumdirect ofisini kwako mojakwa moja. Mengi tutaeleweshana zaidi lakin pia inategemea mkoa uliopo.Hongera maana watu wanalaumu tuuuuuuu na wanaleta utozi kufanya business kama hizo.nijibu aseee!
Karibu sna.nitakutafuta dada kwa hii ishu
Ahsante AshurayOriflame kweli ukiwa serious inalipa, na pia kikubwa uwe na networking,, inalipa hii issue
Karibu sn, ntafurahi kuwa nawe.Kweli kabisa huwezi jua utatokea wapi,nitakutafuta
Ahsante sn, nataman kuona tatizo la ajira linapungua.Hongera sana hope wengine watajifunza kutoka kwako
yaani watu wanaona si kweli lakini ukiwa na nia.Ahsante Ashuray
Kwanini utunge usiseme ukweli? Mimi ukija nakwambia hali halisi ilivyo full stop if you like utafanya if you don't basi hakuna anayekuwa forced kufanya kitu.Mimi nitafungua genge kwa sababu sina uwezo wa kushawishi watu
Wakati mwingine yakubidi utunge hata story ili tu upande level kwenye pyramid