Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia hapo kuna swift codes za mabank yote ya Tanzania SWIFT Code for all Banks in TanzaniaMtoa post naomba kujua jinsi ya kujaza kipengele cha SWIFT/BIC
PC muhimu maaana kazi nyingi zitakuhitaji kutumia pc kuzifanya japo kuna hata app za simu kwa ajiri ya alerts, kubid kucontest na kuwasilaina na clients wako na kufanya mambo mengineVifaa vya kufanya kazi mkuu ni lazima uwe na PC??
Iiiiisshh hapo kwenye PC ndo ma gape yanaanziaPC muhimu maaana kazi nyingi zitakuhitaji kutumia pc kuzifanya japo kuna hata app za simu kwa ajiri ya alerts, kubid kucontest na kuwasilaina na clients wako na kufanya mambo mengine
Mkuu ni unafanya kazi kweli siyo kwamba ela unapewa tu sasa kwa simu ni ngumu kufanya kazi nyingi bora hata tablet.Iiiiisshh hapo kwenye PC ndo ma gape yanaanzia
Sawa mkuu ngoja tutafute PCMkuu ni unafanya kazi kweli siyo kwamba ela unapewa tu sasa kwa simu ni ngumu kufanya kazi nyingi bora hata tablet.
Kuna platform mpya imezinduliwa leo ya kujiajiri. Kama unataka kujiajiri, hii platform ndo penyewe. inatwa Ajiras kuna app ya simu pia. Ni ya hapa hapa bongo.
Bado sijaacha Kazi ila ndoto zangu za kuacha Kazi naona zitatimia muda so mrefu.Update kwa walio acha kazi tayari wakuu..
Hongera saana mkuu.. Huo ndo upambanaji wenyewe. Umenitia moyo saanaBado sijaacha Kazi ila ndoto zangu za kuacha Kazi naona zitatimia muda so mrefu.
Kabla ya kuuona huku Uzi nilikuwa nimeshaanza mikakati ya kutema kazi ikiwa ni pamoja na
1) Kulima kilimo cha maharage. Namshukuru mungu wiki tatu zilizopita nimevuna magunia zaidi ya target yangu. Kwa sasa bei ya shamba kwa gunia ni 130,000. Nimepanga niuze walau ikifika 180,000 ambayo naamini mpaka mwishoni Mwa mwezi Wa 10 being hiyo itafika.
Sasa nikiwa nasubiri kuingiza huo mzigo sokoni nipo kwenye maandalizi ya project ya ufugaji nitakayoitekeleza kwa Pesa ya maharage. Maandalizi yote na pilot study ya project iko sawa sawa. Nasubiri tu nipush mzigo sokoni.
Ni mengi ila kwa ufupi Uzi huu ulinipa moyo sana mpaka hapa nimefika ni jitihada za huu Uzi. Inshaallah mwakani siku na mwezi kama huu nitakuwa somewhere kama self employee.
Amin.
Hatuwezi kuendelea kwa kuajiriwa, Never. Ni utumwa tu. Ni bora uwe mtumwa Wa kazi zako.Hongera saana mkuu.. Huo ndo upambanaji wenyewe. Umenitia moyo saana
Good move mkuu, naomba kujua aina ya ufugaji unao taka kuufanya.. ni wa mbuzi katoriki?Hatuwezi kuendelea kwa kuajiriwa, Never. Ni utumwa tu. Ni bora uwe mtumwa Wa kazi zako.
Tena sasa hivi mambo ndio balaa hakuna mafao wala nini. Yaani MTU unahenyeka weeee siku mkataba ukiisha unazungushwa mafao yako. Mimi ni mhanga Wa mafao najua uchungu wake sitaki initokee tena Mara ya pili.
Tupambaneni ndugu zangu
Mbuzi, kukuGood move mkuu, naomba kujua aina ya ufugaji unao taka kuufanya.. ni wa mbuzi katoriki?
Umeshajikatia tamaa masikini ya mungu.Inategemea umeajiriwa wapi. Mm sehemu ambayo nimeajiriwa Kamwe siwezi Acha maana nina elimu ya kawaida hata diploma haijafika ninaliowa mshahara take home ni 1.5 milion kwa mwezi na kama ntatia figisu za safari na kazi za nje na night allowance na extra duties napata minimum laki 5. Yani katika mwezi nikikosa kabisa napata laki 2. Sasa naanzaje kuacha kazi??? Nikifikiria watanzania wengi kwenye ajira mf. Walimu na watumishi wa halmashauri manesi, na wengine mshahara haufiki hata Laki 6.
Mimi binafsi nina kila sababu za kuendelea kubembeleza ajira maisha yaende. Japo najua faida ya kujiajiri ila kwa sasa Maisha ni magumu. Unaweza anzisha business entity yako na ikafa huku unaiona. Vikwazo ni vingi mara Kodi, ushuru, Tozo na Chuma ulete humohumo mdororo wa uchumi na vingine vingi