Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Umelima wapi mkuu
 
Wakuu kuacha kazi kabla hujapata kazi nomaaa siwafichi hasa kama Una michongo na pesa ya matumizi madogo dogo

Kwa sasa nashinda mtandaoni mambo yanaenda kama kawaida japo namiss pesa za mwisho Wa mwezi

Ni hivi ukitaka kuacha kazi hakikisha Una mtaji Wa kutosha katika wazo LA biashara ulilo nalo na pesa ya kula bila ya hivyo utaipata fresh ya shamba
 
Tuko hapa kusaidiana, feel free kupost swali... Naiman majibu yatapatikana. [emoji120][emoji120][emoji120]
Asanteni sana kwa ukarim....naomba nipate kujua namna ya kubid kwenye freelancer plz na namna ya kudroo kihela nitakachokuwa napata hata kama ni 5000 nijue inanifikiaje plzzzz
 
Safi sana mkuu, hizi mambo zinanifanya nakaaga ndani uwa ninatoka jioni kufanya manunuzi kiasi kwamba jirnai na watu uwa wanashindwa kunielewa ningekuwa mtu wa kutoka usiku wangeshanisema mimi jambazi.
Dah! napenda sana kujishughulisha na kuwa bize nadhan nitaziweza hiz kaz.....plz nimekuuliza namna ya kubid na kucontext kwenye freelancer na pia kutambua thaman ya shilling ktk mataifa mengine na pia namna ya kudroo kihela nitajachokuwa napata!! plz help!! ww umeniinspire sana and you're my role model ktk hiz kaz plz help I need your help!!!!
 
Asanteni sana kwa ukarim....naomba nipate kujua namna ya kubid kwenye freelancer plz na namna ya kudroo kihela nitakachokuwa napata hata kama ni 5000 nijue inanifikiaje plzzzz
Wakati wa kujisajiri freelancer kuna sehemu utajaza information za credit card yako (viza au mastercard).
 
Kutokana na skills ulizojaza ukiingia freelancer kuna sehemu imeandikwa work , ukigusa hapo itatokea sub menu chagua browse projects kubid au browse contest kushindana.
Narudia note kuna mataperi hasa kazi za typing na data entry na utaziona zina ela nyingi uwa wanaziondoa wao freelancer wanaweza tambua lakini ukibid kabla hawajaondoa usikubari mtu akupe email mkapate nje ya platform au akwambie sijui tuma ela paypal ya kusignup na database yao kila kitu kinafanyanyika na kumalizika mle.
Pili utaweza jua kujua rates za ela kwa kutumia google kuna tools nyingi ya kuconvert ela unaandika ela yoyote unaiconvert kwa ela nyinginge mfano ukiandika AUD into Tshs itakuletea calculator ya kuconvert australian dollar kuwa tshs.
Mwisho kabisa siyo kila kazi utakayobid utapata inahitaji kuwa mvumilivu na kubid kwa akili na ni vizuri ukipata cllient ambaye akikupa kazi ni endelevu kwa muda mrefu sana.
Kutoa ela njia rahisi ni money wire wanaituma kwenye account yako sasa tatizo njia hii hawawezi kukutmia ela ndogo walau kuanzia hata dollar 15 nadhani ndiyo better.
Na mwisho kabisa kuna charges hapo freelancer, unapewa mwezi mmoja free ila baada ya hapo utatakiwa kulipa ama urudishe kwenye free account ambayo inakupa uwezo wa kubid bids 4 kwa week so hakikisha ukijiunga unapambana upate kazi ili uwe na ela mwezi utakapoisha upate kulipia fees. Na pia kila kazi unayopatana na wao wanaongeza 5% kwenye ela mfano ukipata kufanya kazi kwa $25 wataongeza $5 itakuwa $30. so wakati wa kubid keep that into your mind.
 
Site ya freelancing kama fiverr ipo bongo. Umezinduliwa juzi tu hapa, jumatatu. Inaitwa ajiras.com
Ipo poa kichizi. Na tena ina app ya simu pia inaitwa Ajiras.
Tatizo wabongo wazito sana kuchangamkia fursa. Yaana watu wanaitazama tu, wanasubiri ichanganye ndo waanze ingia, wakati huo wakongwe wamepiga hela na wanaendelea kupiga hela hatari.
Na pia ina mpaka hiyo ishu ya referral, ukiitangaza site unapata commission na pia ukitangaza kazi ya freelancer pia unapata commission. Yani kuna mambo mengi tu.
 
So skills unajaza mwenyewe na unaweza jaza zaid ya moja?
 

Naomba ufafanuzi kwenye hiyo para ya mwisho
 
kulipa sana, kulipa kiasi na utapeli sio platform , ni mtu mwenyewe binafsi, nna mda sasa natumia freelancer(ndio maskani),guru na upwork, kote scammers wapo ni wewe mwenyewe kuweza kusoma mazingira
 
Nimejaribu nimeona wanataka jufanya verification ya kadi yangu ya VIZA...hii ikoje wakuu..hii ndiyo njia ya bank account?
 
kulipa sana, kulipa kiasi na utapeli sio platform , ni mtu mwenyewe binafsi, nna mda sasa natumia freelancer(ndio maskani),guru na upwork, kote scammers wapo ni wewe mwenyewe kuweza kusoma mazingira
Cheki ajiras.com ipo kama fiverr, ndo imeingia sokoni jumatatu
 
Nimejaribu nimeona wanataka jufanya verification ya kadi yangu ya VIZA...hii ikoje wakuu..hii ndiyo njia ya bank account?
Kuna hii ya bongo imeanzishwa, ikichanya hii itakuwa [emoji91] ajiras.com
 
Reactions: Cyb
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…