Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Hii naitaka, itanifaa
 
Mkuu Just tengeneza uoneshe ujuzi wako, na elimu yako, sample ya kazi zako ulizowai kufanya, videos, reports etc, zaidi check PM yako nimekutumia sample
sample ya kazi zipi boss kwa mfano mie ambaye sijawahi fanya kazi yoyote itakuwaje sasa?
 
Mkuu Just tengeneza uoneshe ujuzi wako, na elimu yako, sample ya kazi zako ulizowai kufanya, videos, reports etc, zaidi check PM yako nimekutumia sample
mkuu naomba ntumie sampuli zako
 
sample ya kazi zipi boss kwa mfano mie ambaye sijawahi fanya kazi yoyote itakuwaje sasa?
Unaweza ukawa katika pitapita zako umewai kufanya sio lazima iwe umefanyia kule, kwa mfano unaweza ukawa uliwai kufanya editing ya picha, au uliwai andika article fulani, ay umewai kumanage blog etc
 
Kujiajiri ni lazima uwe na mtaji na istoshe kabla hujaacha kaz mbinu niliyotumia nilianza biashara kabla ya kuacha kaz baada ya kuona biashara inanilipa kuliko ajira ndiyo nikaamua kuacha kaz
 
Kama kuna mtu mwenye softcopy ya 101 ways to make money in africa aitume hapa jaman na kama kunauwezekano kukitafuta kwa wale wenye uwezo wafanyehivyo
 
E-myth na the millionaire next door unasoft copy
 

Biashara haijawahi kua rahisi kiasi hicho aisee.
 
Tunaomba mnaoacha kazi mtuambie kabisa sehemu mliyokuwa mnafanyie na position mliyotoka na ili kutusaidia kabisa na barua ya kuacha kazi kwa hiari ili tukiomba hiyo nafasi tuambatanishe na barua yako ya kuacha kazi, maana tumechoka mambo ya kutangazwa kazi nafasi 3 watu wanaomba elfu moja. Huu utakuwa mchezo wa kimya kimya
 
nlikua namuibia muda mwajiri kwenye kilimo kiliponipa hela nkajenga kiliponipa hela tena nkaaaza kufanya biashara zilipobambq nkaacha usiache kama huna plan B
 
We umeshawah kudraw izo hela toka umejiunga... mana amna hela inaweza kupatkana kirahisi ivo maisha
Nisha draw ela mara nyingi sana na ijumaa iliyopita nimedraw tena ela nyingine na mwisho wa week nita draw tena na mpaka nimeandika hapa nimeanza fanya hii kazi toka mwaka 2013 mpaka leo ninaendelea. Ningekuwa na lengo la kutaka kupata chrap money ningeweka link ya watu kujiunga via referal link kule ili kila atakayejiunga akafanya kazi nipewe percent atakapolipwa lakini sijafanya hivyo maana siko hapa kupata ela via referal links.
 
mkuu..nimeipenda hii lakini nahisi ni kwa watu wenye elimu kubwa...sasa wale wengine....
Huhitaji kuwa na elimu kubwa mambo mengi ninayofanya huko siyo niliyosoma mkuu. nafanya article rewriting,na pia nafanya graphic designing wakati mimi nimesoma economics mambo mengine unayaelewa ukiwa katika kazi mfano mimi masuala ya article nimeyajua nikiwa kazini tayari hapo uwa nina employ platform za kuchek grammar na panctuation na pia plagiarism maana lazima unayemwandikia article ataipitisha copyscape premium kuangalia kama umeiba sehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…