Msela Baharia
JF-Expert Member
- Jun 12, 2016
- 766
- 1,104
Ntumie na mm MkuuMkuu Just tengeneza uoneshe ujuzi wako, na elimu yako, sample ya kazi zako ulizowai kufanya, videos, reports etc, zaidi check PM yako nimekutumia sample
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntumie na mm MkuuMkuu Just tengeneza uoneshe ujuzi wako, na elimu yako, sample ya kazi zako ulizowai kufanya, videos, reports etc, zaidi check PM yako nimekutumia sample
Nitafrahi pia ukinitumia mkuuMkuu Just tengeneza uoneshe ujuzi wako, na elimu yako, sample ya kazi zako ulizowai kufanya, videos, reports etc, zaidi check PM yako nimekutumia sample
Hii naitaka, itanifaaFreelancing kuna ushindani mkubwa ila ukifanikiwa kupata kazi ya kwanza tu, then kila kitu kita flow...
Nnashangaa sana watu wa IT wanazunguka na bahasha wakati huko nje kuna mapesa mengi tu ya programming, graphics nk...
Kuwa freelencer sio lazima iwe na degree au masters maana kuna watu fiverr wanapiga ela kwa kutafsiri english to swahili... Kitu ambacho hata mtu wa la saba anafanya!!
sample ya kazi zipi boss kwa mfano mie ambaye sijawahi fanya kazi yoyote itakuwaje sasa?Mkuu Just tengeneza uoneshe ujuzi wako, na elimu yako, sample ya kazi zako ulizowai kufanya, videos, reports etc, zaidi check PM yako nimekutumia sample
mkuu naomba ntumie sampuli zakoMkuu Just tengeneza uoneshe ujuzi wako, na elimu yako, sample ya kazi zako ulizowai kufanya, videos, reports etc, zaidi check PM yako nimekutumia sample
Tayarimkuu naomba ntumie sampuli zako
Unaweza ukawa katika pitapita zako umewai kufanya sio lazima iwe umefanyia kule, kwa mfano unaweza ukawa uliwai kufanya editing ya picha, au uliwai andika article fulani, ay umewai kumanage blog etcsample ya kazi zipi boss kwa mfano mie ambaye sijawahi fanya kazi yoyote itakuwaje sasa?
TayariNitafrahi pia ukinitumia mkuu
ShukranTayari
Bado hujanitumia mkuuTayari
Kujiajiri ni lazima uwe na mtaji na istoshe kabla hujaacha kaz mbinu niliyotumia nilianza biashara kabla ya kuacha kaz baada ya kuona biashara inanilipa kuliko ajira ndiyo nikaamua kuacha kazHabari za mdau huu
Kwa wale ambao waliwahi kuacha kazi serikalini au taasisi na kuamua kujiajiri tupeni mbinu, mliwezaje, mlikuwa na mtaji kabla ya maamuzi??
Je kuna hasara gani za kuacha kazi serikalini na kuamua kujiajiri?
Tupeni exiperience ya mafanikio nje ya ajira
E-myth na the millionaire next door unasoft copyVitabu vingine vizuri ni E-Myth kinaongelea kuhusu kuanzisha MFUMO WA BIASHARA ambao ndio kiini cha mafanikio kwenye biashara. Kingine ni 21 Secrets of Self Made Millionaires, kuna Richest Man in Babylon, pia kipo The millionaire Next Door, Get Rich Your Own Way n.k
Ukivisoma hivyo huwezi kubaki kama ulivyokuwa mwanzo
Binadamu tunatofautiana,watu wote hawawezi kuwa ma-risk takers,ndio maana kuna masikini na matajiri,watumwa na mabwanyenye.Kuajiriwa kuna mwisho,na mara nyingi mwisho wake huwa sio mzuri.Kuna biashara nyingi sana za kufanya zinazohitaji mitaji midogo mfano;tafuta wamama wajane kama watano hivi,wafungulie genge kila mmoja;na kwa kila mmoja wekeza laki 2.Baada ya hapo anza kukusanya mapato.
Unadhani wanaacha basi? Wanatuloweka tuBiashara haijawahi kua rahisi kiasi hicho aisee.
nlikua namuibia muda mwajiri kwenye kilimo kiliponipa hela nkajenga kiliponipa hela tena nkaaaza kufanya biashara zilipobambq nkaacha usiache kama huna plan BHabari za mdau huu
Kwa wale ambao waliwahi kuacha kazi serikalini au taasisi na kuamua kujiajiri tupeni mbinu, mliwezaje, mlikuwa na mtaji kabla ya maamuzi??
Je kuna hasara gani za kuacha kazi serikalini na kuamua kujiajiri?
Tupeni exiperience ya mafanikio nje ya ajira
Nisha draw ela mara nyingi sana na ijumaa iliyopita nimedraw tena ela nyingine na mwisho wa week nita draw tena na mpaka nimeandika hapa nimeanza fanya hii kazi toka mwaka 2013 mpaka leo ninaendelea. Ningekuwa na lengo la kutaka kupata chrap money ningeweka link ya watu kujiunga via referal link kule ili kila atakayejiunga akafanya kazi nipewe percent atakapolipwa lakini sijafanya hivyo maana siko hapa kupata ela via referal links.We umeshawah kudraw izo hela toka umejiunga... mana amna hela inaweza kupatkana kirahisi ivo maisha
Huhitaji kuwa na elimu kubwa mambo mengi ninayofanya huko siyo niliyosoma mkuu. nafanya article rewriting,na pia nafanya graphic designing wakati mimi nimesoma economics mambo mengine unayaelewa ukiwa katika kazi mfano mimi masuala ya article nimeyajua nikiwa kazini tayari hapo uwa nina employ platform za kuchek grammar na panctuation na pia plagiarism maana lazima unayemwandikia article ataipitisha copyscape premium kuangalia kama umeiba sehemumkuu..nimeipenda hii lakini nahisi ni kwa watu wenye elimu kubwa...sasa wale wengine....