Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Sure mkuu ni kazi nzuri sana sometimes mimi uwa nakuwa busy kuliko mtu anayeenda ofisini week hizi mbili uwa ninalala saa saba ninaamka saa kumi na mbili unakuta nina kazi nyingi na zote zinahitajika fasta.
 
Kuna watu wengine ni Matomaso yaani hawaamini hata vitu vilivyo wazi kabisa. Pia wabongo tuachane na mentallity ya kutaka kupata pesa haraka haraka. Katika uhalisia wa maisha hakuna pesa halali ya haraka haraka. Jenga kwanza system ya uhakika ya kupata pesa. Tusiingie kwenye haya mambo na mentallity za kupata hela haraka haraka tutaishia kuwa dissappointed!
 
Mkuu, wewe ukiclick sehemu ya ku bid kuna kitu kinasema describe your proposal, je ni kila kazi unayobid lazima uandike? Mbona kule chini kwa waliobid tayari mbona sioni hzo statement ila kwangu naiona?
 
Mkuu, wewe ukiclick sehemu ya ku bid kuna kitu kinasema describe your proposal, je ni kila kazi unayobid lazima uandike? Mbona kule chini kwa waliobid tayari mbona sioni hzo statement ila kwangu naiona?
Huzioni kwasababu client ndiye anabidi azione wewe kama bider hazikuhusu ndiyo maana huzioni mfano wa hizo proposal angalia hizi picha.
 
Dah kumbe nimetoka kuangalia huko kumbe mitaji IPO

Thanks mkuu

Ngoja tuwaso.e zaid naona mathematics mpk chemical,mechanical nk NILDHAN NI WATU WA IT TU
 
Mkuu nahitaji Sana kujua hii mambo nimehangaika na kina gotranscript, naomba mkuu kwa-muda ufunguke zaidi
Mkuu gotranscript wanashida yeyote? Nipe changamoto ulizokutana nazo huko.
 
Hiyo transcription platform inaitwaje mkuu!
 
Sure mkuu ni kazi nzuri sana sometimes mimi uwa nakuwa busy kuliko mtu anayeenda ofisini week hizi mbili uwa ninalala saa saba ninaamka saa kumi na mbili unakuta nina kazi nyingi na zote zinahitajika fasta.
Habari mkuu, labda kwa faida ya wengine!

Ni njia gani ulitumia kupata mteja wako wa kwanza? ilichukua muda gani? je nini kifanyike ili mtu asiye na uzoefu apate tenda?
 
Mkuu Just tengeneza uoneshe ujuzi wako, na elimu yako, sample ya kazi zako ulizowai kufanya, videos, reports etc, zaidi check PM yako nimekutumia sample
Helloo mkuu,naomba nikushuru kwa uzi huu ila pia na Mimi naomba nitumiwe sample PM......
 
Unatukumbusha forex
Usiishi kwa kukariri kwamba pesa inatengenezwa kwa njia moja hata forex ni njia ya kutengeneza pesa pia sema watu mtajitosa kwenye mambo pasipo kuchukua muda kufanya research na kujiridhisha na kuelewa ni kitu gani kinafanyika hakuna easy money hata forex siyo easy money inabidi ufuatilie mambo ukitaka easy money unaliwa.
 
Baadhi ya vijana wa ki TZ ukitaka kuwaonyesha njia za kujikwamua kimaisha, ni sawa na kutaka kujitwisha furushi la uharo. ila wa TZ ndio hapo wanapoonekana upendo wao, huwezi kuta vijana wa nchi nyingine wanapeana fursa ya kujikwamua na maisha. Nawasihi wa TZ wenzagu tupeane moyo, tupongeze watu Kama huyu mtoa mada, ili wajitokeze wengi tuweze kufanya kazi na nje ya nchi wakati tupo nchini kwetu. wa Nigeria wamekua wajanja kupitia hizi links. ila wao wamegeuka matapeli which is bad for business. Kwa hiyo ukipewa fursa acha kuperuzi kwenye mipasho ya taarabu, bali zama kwenye hizo links uzifuatilie kwa kuumiza kichwa hasa na kwa kuwa ubongo unachambua lazima utapata mwanga. God bless you all.
 
Ni kweli kabisa unachosema. Tatizo la vijana wengi (siyo wote) wa kitanzania ni wavivu wa kutafuta maarifa au fursa hasa hizi za kwenye mitandao. Wako tayari kushinda kwenye facebook, whatsapp, instagram na kadhalika lakini ukimpa fursa kama hii hata kufuatilia tuu ili aijue inafanyaje kazi anataka wewe uliyempa fursa ndiye tena umspoon feed kama vile yeye hajui kusoma na kuandika. Pia kuna hii mentallity iliyojengeka kwamba mambo ya kwenye mitandao ni utapeli. Ni kweli kwamba kwenye mitandao kuna utapeli lakini pia kwenye mitandao kuna fursa nyingi tu ila kwa kuwa ni wavivu wa kusoma na kufuatilia mambo tunakimbilia kukariri tu kwamba kwenye mitandao kuna utapeli.

Na pia kama mtu hupendi fursa fulani basi ni busara kunyamaza na kuendelea na shughuli zako nyingine kuliko kujifanya unajua wakati hujui hata nini unachokisema! SIYO KILA FURSA NI SAHIHI KWA KILA MTU!
 
That's it...
 
Mkuu watu wa nchi nyingine wanasaidiana sana inapokuja swala la kupeana ideas za kimaisha. Kuna forum moja nilijiunga 5 years ago imenisadia sna kwenye swala la kupeana ideas. Wabongo ndiyo wachoyo hatupendi kuona tunatoboa wote kimaisha
 
Mkuu watu wa nchi nyingine wanasaidiana sana inapokuja swala la kupeana ideas za kimaisha. Kuna forum moja nilijiunga 5 years ago imenisadia sna kwenye swala la kupeana ideas. Wabongo ndiyo wachoyo hatupendi kuona tunatoboa wote kimaisha
Hongera mkuu
 
Kwanini nyinyi wacahche mlioanza kujisajili msikutane mkaeleweshana physically naona hii bora zaidi. Kuna skill nyingi sana za kupeana ktk kusaidiana. Au mambo ya usiri yatawasumbua? Ukiamua kufanya jambo ulufanye kwa nguvu zako zote.
Hii inaonekana ni real deal unafanya kazi unapata malipo nimeipenda sana hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…