Baadhi ya vijana wa ki TZ ukitaka kuwaonyesha njia za kujikwamua kimaisha, ni sawa na kutaka kujitwisha furushi la uharo. ila wa TZ ndio hapo wanapoonekana upendo wao, huwezi kuta vijana wa nchi nyingine wanapeana fursa ya kujikwamua na maisha. Nawasihi wa TZ wenzagu tupeane moyo, tupongeze watu Kama huyu mtoa mada, ili wajitokeze wengi tuweze kufanya kazi na nje ya nchi wakati tupo nchini kwetu. wa Nigeria wamekua wajanja kupitia hizi links. ila wao wamegeuka matapeli which is bad for business. Kwa hiyo ukipewa fursa acha kuperuzi kwenye mipasho ya taarabu, bali zama kwenye hizo links uzifuatilie kwa kuumiza kichwa hasa na kwa kuwa ubongo unachambua lazima utapata mwanga. God bless you all.