Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Hakika mkuu,
Nidhamu inahitajika sana.

Pole sana.
 
Kiongozi unawezaje kufanikisha haya? Hebu dadavua kama hutojali.
 
Usitutie ujinga. Wew Ni MTU wa totoz na pamba kwa maana hii totoz na pamba hayo ndio mambo yaliyokuyumbisha .......na ulipo ona umeanza kuyumba kwa kufcha aibu kwa totoz na pambas ukaamua urudi ajirani ili heshima ya totoz na pambas iendelee.

Nb: huwez kupanda embe ukavuna chungwa.
 
Kuna jambo ambalo nimekuwa naliona kwa walioajiriwa huku wanafanya biashara.

Hawa watu kufanikiwa ni shughuli Pevu tena Pevu kweli sababu, mtu anaelipwa Mshahara mara nyingi anapokuwa kaanzisha biashara anakuwa na Two ways of generating Income ambapo hapo kuijua Nominal Income na Actual Income ya biashara yake inakuwa ngumu, kwa namna gani!?

Biasharani huku kaweka mtu, huku kazini yupo yeye, pesa inayopatikana huku kwenye biashara anaweza kuwa kamwambia anaeisimamia awe anamletea kiasi fulani kwa wiki au mwezi. Hili ni kosa kubwa mno! Sababu yule uliyemuweka atakukadiria tu kwa siku unaweza ikubali sh ngapi, kwa wiki atakuletea
Pili, ukitoka kwenye Ajira huwa kuna vitu unatakiwa uvijue, usiweke matarajio Makubwa ya kupata pesa ukiwa unaanza, weka Malengo Makubwa ya baadae baada ya Huduma unayoitoa Kutambulika na kukubalika kwa Jamii yako.
Tatu, swala la Matumizi unatakiwa uwe nalo macho kupita kiasi. Hapa ndipo kama hujaoa, tegemea kuwaita watoto wazuri Shemeji, swala la wewe kula Bata, lifungie Kabatini kabisa. Hapa kumbuka utaitwa majina yote na mabovu ie Bahili, Mshamba nk
Nne, Mtumainie sana Mungu, utakuwa na Nidhamu, Juhudi.
Tano, kaa ukielewa ukianza kufanya kazi zako utatumia muda mwingi kuliko uliokuwa unatumia ulipokuwa umeajiriwa na usikae ukalinganisha kipato unachokipata na Mshahara wako, mara nyingi utaanza kidogo na utakwenda unaongezeka kiuchumi. Patamu ni ukishakaa Relini vizuri, yale yoote yaliyokupita unaweza yafanya overnight.

Karibuni upande wa Pili
 
Umenena kweli mkuu!!
 
Kiongozi unawezaje kufanikisha haya? Hebu dadavua kama hutojali.
1, Nafanya kazi na watu; ili ufanikiwe usiwe mbinafsi yani ajiri watu kisha waamini alafu wewe kuwa supervisor tu kazi zote waachie but ni muhimu kuwa makini sana .

2, Kuijua biashara unayoifanya yani usifanye biashara ambayo ni ngeni kwako huwezi jua changamoto na fursa zake pia kujua faida na hasara zake hivyo ni ngumu kupigwa.

3, Kuwa na spy network yani ktk biashara zako kuwa na watu unaowatumia kukupa siri za top managers na wahusika wa fedha mienendo yao usikubali kumwamini mtu 100%

4, Tunza kumbukumbu za miaka yote ukiona kuna utofauti negative fanya maamuzi

5, Ishi na wafanyakazi wako kama ndg au marafiki itakusaidia kuongeza motisha na hari ya kujituma

6, Tumia mda effectively yani usipende kulala sana wala kufanya starehe sana kwa sisi watumishi yani free time ndio working time kwenye biashara zetu hatuna sikukuuu wala weekend.

BILA SHAKA KWA UCHACHE HUO UMENISOMA VIZURI MKUU
 
Nimewahi kuacha kazi sehemu,aisee nilipoteza ndugu na marafiki kwa halaka Sana nikabaki peke yangu na wazazi wangu tu!!!.acha kazi ili uone ni nani mtu wa Kweli kwako.
 
Umesema ulikuwa rafu,mtu wa totoz nk hapo ndio sijakuelewa imeingiliana vipi na changamoto za kuacha kuajiriwa na kujiajiri,naomba kujua hapo kwanza
 
inaitwaje hiyo platform?
 
km ulifanya kazi kwa miaka 20 kwa mshahara wa laki 5 kwa mwez.... na ukashndwa kupata ivyo vitu had unastaafu....

ni uzembe pia.
Hahaa,hapo sio kuacha kazi mzee..hapo unaelekea kustaafu.imagine wengi wanaanza kazi wakiwa na umri 28-30 asa ukijumlisha miaka 20 kazini almost atakuwa na age ya 50yrs..happ unaacha kazi ili iweje? Subiri tu umalizie hyo miaka mitano ili uweze ku staafu kwa hiari
 
Huu uzi unanihusu sana,nina miln 30 tayari huna kwangu nahilo chuo Kwa sasa.lakin nafikiria kuacha kazi naona kama ningekuwa huru ningekuwa nimeshameki zaidi ya mara 3 hayahizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WAAMBIE WASOME VITABU HAWA, WAACHE UOGA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…