You are stupid dude. Get a life! We are trying to help each other here, then you come to spoil it with your stupid and unfounded comment. Take that crappy shit somewhere else. You fool!Fake.hauna uthubutu.
Is very upsetting when a person just tries to share his experiences and knowledge with others, and then someone like you spoil it all with derogatory comments. Jf needs to get a handle at these situations because they are chasing away a lot of knowledgeable people like me who don't want to deal with stupid poeple like you. I surround myself with greatness, and while there are some great people here at Jf, there are way more douches like you. Very disappointing.Fake.hauna uthubutu.
Hakuna tajiri mwajiriwa na hakuna tajiri msomi kupindukia!! Tajiri hutumikisha wasomi kama waajiriwa!!! Ref; Bakressa!!! Bill Gates etc!!! Ila hakuna tajiri mvivu!!!!Uzi mzuri coz hakuna tajiri mwajiriwa Bali kuna tajir anaeajir watu
RIP Mengi. Tanzania inahitaji matajiri wakubwa wa kiafrika ambao ni self-made kama Mengi. In USD, Mengi's wealth ilikuwa half a billion dollars hivi. The fact kwamba hakuna watz weusi wazawa ambao wana wealth wa half billion USD au zaidi, inaonyesha ugumu wa kufanikiwa sana katika ujasiriamali. Kwa watz kwa ujumla tuna Bakhresa na Dewji ambao wamefanikiwa sana, lakini tunahitaji black tanzanians kufanikiwa kwa kiasi cha juu in business.Hak
Hakuna tajiri mwajiriwa na hakuna tajiri msomi kupindukia!! Tajiri hutumikisha wasomi kama waajiriwa!!! Ref; Bakressa!!! Bill Gates etc!!! Ila hakuna tajiri mvivu!!!!
Elimu ni nzuri, lakini ili ikutajirishe sana ni kuitumia kuanzisha biashara fulani. Na biashara Iwe ni aina ya biashara ambayo inaweza kukua na kukua na kukua na kukua.Hak
Hakuna tajiri mwajiriwa na hakuna tajiri msomi kupindukia!! Tajiri hutumikisha wasomi kama waajiriwa!!! Ref; Bakressa!!! Bill Gates etc!!! Ila hakuna tajiri mvivu!!!!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]M
Mkuu USIDANGANYIKE.. Bila ya mtaji, hauna biashara. Narudia.. USIDANGANYIKE. Hata kama hauna hela yako binafsi, lazima uipate benki, kwa ndugu n.k. Fikiria hili.. unaanzisha biashara na tayari una wapinzani ambao wana biashara kama yako inaendelea.. kuna njia gani ya kuboresha huduma au bidhaa pasipo kuwa na mtaji? Ukifikiria utaweza bila hela..UTASHINDWA. Utakuwa na biashara yenye value ndogo, na wateja wapya kuwapata lazima uwe na biashara yenye value ambayo inaweza kushindana na zile za washindani. Na value ya biashara inaenda sambamba na mtaji ulio nao. Unafikiri utauza maneno matamu bila matendo na bidhaa na huduma bora?
MIMI NINA UJUZI SANA NA BIASHARA MKUU. Naona weee unaongelea kupitia vile vitabu vyenu vya ujasirismali mnavisomaga. Na vinawadanganya tu. Poleni sana.
Hahah! Watu wanajipangaSioni mrejesho wa alieacha kazi toka uzi uanzishwe 2017.
Ujanja ni kujiajiri kwa asilimia 90 halafu ukaajiriwa kwa asilimia 10 tu ili uwe unapata mkopo na kuufanya kama mtaji kwa kujiajiri!!!ha ha ha ukijiajiri huoti kitambi ndugu afu mikopo ya magari atapata wapi?
Mkuu, haya mawazo yako ni kama, yalikuwa kichwani mwangu. Anyways Mimi ndio nimeingia kwenye ajira lakini tayari nina experiences ya bro zangu ambao wanna shule nzuri( MBA & PHD) lakini hawakuwa na hela kihivo na mmoja pamoja na salary niliyokuwa naiona nzuri lakini alikuwa anapambana Sana mtaani and of course mambo yake yakawa atleast super. Hapa ndipo nilipofikia hitimisho kuwa kupata fedha kupitia utumishi wa Umma ni ngumu. Kwakweli kutoka happy nilijiwekea malengo kuwa haitakuja itokee mimi na mke wangu wote tuwe watumwa, nakaapa lazima nitafute mwanamke ambaye ni street based but with brain, namshukuru Mungu a got one and Kuna kaproject karogo nimemkabidhi tayari, kana mwezi mmoja, huwezi amini she is a good Manager Kuna vitu nilikuwa naviona Kama kakosea yeye akawa ananiambia wewe subiri utaona. Hivi ninavyokuandika kila siku naona mabadiliko. Kiukweli maisha ya kishule shule yanatufanya tushindwe kuwa good street fighters. Mimi Wilaya niliyopo Matajiri wote waliishia la Saba lakini hao ndip wanasukuma V8 na standard 7 zao!Yani hapando penyewe. Hakika mm binadsi hili jambo liko moyoni hadi napata njozi juu ya hili jambo.
Mm sitaki kumsemea mtu mawazo yake ila itakuwa vema zaidi kwamba wakati unapanga kujiajiri basi kwa kiasi icho kidogo ulichonacho pengine ni milioni 1 au 5 basi anza biashara yako na nadhani hasa kama unamwenza inakuwa raisi zaidi maana mtasaidiana kwenye usimamizi na hii ni kama mwenza wako yuko positive na anafikiria maisha yenu baadae. Ukisema uwache kazi then ujikite kwenye biashara yako itakuwia vigumu . maana tukumbuke kuna interim period hapa kati ambayo pengine ni miezi 6 mpaka 12 mpaka 24 ambapo biashara yako inatakiwa kukaa mpaka kustablelize kulingana na changamoto mbalimbali na kuwezi kupenetrate kwenye soko husika na kuzoeleka. Sasa katika kipindi hiki pengine option ya kuvumilia utumwa ni sahihi maana kile kidogo utachokua unatumikia kwa wakati ule kitakuwa kinaziba myanya fulani kwenye biashara yako na kufanya mambo mengine.
Pia kama umejiwekea miaka 3 ijayo uwache kazi ujiajiri nadhani ukianza kupitia changamoto za biashara ndani ya icho kipindi bado ukiwa katika ajira inakuwa ni vema sana. Ila pia kama unategemea kujiajiri alafu bado upo single itaitaji kujitoa asilimia 100 maana uko peke yako na huna msaidizi na kila unapowazo kutoka unafikiria mtu wa kumwamini walau amasidiane utampata wapi maana hata ndugu wanaibiana sikuhizi na huwezi chukua mtu baki akusaidie. Hii ni changamoto binafsi nilikuwa nayo yani personal conflict kwasababu palikuwa hakuna mtu nliekuwa nikimwamini na ikanifanya nitamani sana nipate mwanamke ambae mawazo na mtazamo wake wa kimaisha haujatofautiana sana na wangu ndipo alipojitokeza nikasema MAZBUTI! hayawi hayawi sasa lita wezekana. Trust me, its not easy to trust a fellow man but its easier to trust a woman who you sleep with everyday and your share your lives perspectives but unless you trust that woman you are good to go na especially if she has shown initiaves on that and has put ideas on the table too.
HII NI STRATEGY YANGU, JE YAKO NI IPI? ni mtazamo wangu.
Nakupinga, Nina Nyumba zaidi ya moja pia, but unataka kuniambia pia ahakikishe watoto wake washamaliza shule?Sio kukutisha mkuu huo ndio ukweli.
Bahati mbaya au nzuri Mimi nimeacha kazi mwaka huu kitu ambacho nimekiona kuhusu hela ya kula hainisumbui na naishi kwenye nyumba yangu.
Ila ingekuwa nimepanga kichwa kingepasuka
io kwa serekali hii ya ujamaa. I think something is wrong dom but I don't know exectly. I just have a feeling maana upo right sana na hii pyramid tuliyopo ni mbaya. Hii eco system yetu ni kama ua serengeti ni ww mwenyewe kuchagua je ww ni simba au swala kaa vibaya uwe swala uliwe bora uwe mkorofi kama mbogo kwa maana hustle in the system then ili uwe strong kama simba kwenye jambo unalofanya binafsiRIP Mengi. Tanzania inahitaji matajiri wakubwa wa kiafrika ambao ni self-made kama Mengi. In USD, Mengi's wealth ilikuwa half a billion dollars hivi. The fact kwamba hakuna watz weusi wazawa ambao wana wealth wa half billion USD au zaidi, inaonyesha ugumu wa kufanikiwa sana katika ujasiriamali. Kwa watz kwa ujumla tuna Bakhresa na Dewji ambao wamefanikiwa sana, lakini tunahitaji black tanzanians kufanikiwa kwa kiasi cha juu in business.
Ndo maana ni vema ukajicjanga ukiwa umeajiriwa na kisha kuanza biashata huku incomr yako kazini ikiwa inakisupport ww na sometimes ikiwa ina finance biashata mpaka itakapo stabilized ila pia kumbuka izo gharama zoye ni investment na biznez lazma uwakikishe ina break even na pesa yako yote irudi na faida sio kuacha kazi na kuitegemea biashara kwa kila kitu. Na kama una mwanamke yeye atasaidia pia hata kupunguza makali ya maisha kwa kukusupport sasa hawa wengi wao ni vilaza dada zng nisameheni wangi wenu wanawafanya hata nyie wachache mnazeekea home maana wametutenda sanaM
Mkuu USIDANGANYIKE.. Bila ya mtaji, hauna biashara. Narudia.. USIDANGANYIKE. Hata kama hauna hela yako binafsi, lazima uipate benki, kwa ndugu n.k. Fikiria hili.. unaanzisha biashara na tayari una wapinzani ambao wana biashara kama yako inaendelea.. kuna njia gani ya kuboresha huduma au bidhaa pasipo kuwa na mtaji? Ukifikiria utaweza bila hela..UTASHINDWA. Utakuwa na biashara yenye value ndogo, na wateja wapya kuwapata lazima uwe na biashara yenye value ambayo inaweza kushindana na zile za washindani. Na value ya biashara inaenda sambamba na mtaji ulio nao. Unafikiri utauza maneno matamu bila matendo na bidhaa na huduma bora?
MIMI NINA UJUZI SANA NA BIASHARA MKUU. Naona weee unaongelea kupitia vile vitabu vyenu vya ujasirismali mnavisomaga. Na vinawadanganya tu. Poleni sana.
Very good points brother. Kweli kwa Tanzania kuwa na partner in joint venture inakuwa shida sababu watu wengi sio waaminifu. Business partner anakuangusha badala ya kukuinua mfanikiwe pamoja. Na hata wafanyakazi pia ni wezi wezi wengine na hapo ndio inabidi uwe mkorofi sometimes kama unavyosema ili mambo yanyooke. Otherwise inakuwa hasara tu. Thanks for sharing kaka. Points safi sana.S
io kwa serekali hii ya ujamaa. I think something is wrong dom but I don't know exectly. I just have a feeling maana upo right sana na hii pyramid tuliyopo ni mbaya. Hii eco system yetu ni kama ua serengeti ni ww mwenyewe kuchagua je ww ni simba au swala kaa vibaya uwe swala uliwe bora uwe mkorofi kama mbogo kwa maana hustle in the system then ili uwe strong kama simba kwenye jambo unalofanya binafsi
Mkuu Wolfpack ni kweli bila risk biashara haianzi. Ndio maana watu matajiri wenye mabiashara makubwa marekani kama kina Warren Buffet hutaka kufanya ubia kupunguza risk.Kweli kabisa. Ila were there is risk, there is success. Pia tumekuwa ni watu wa kupenda kusikiliza mawazo ya watu wengine tu na baadae hatufanyi research. Kujirizisha kuwa sasa kuwa research yng hii,hapa nipo tayari naelewa hii bishara. Pia je uyo biashara unayofanya je una passion ya kuifanya au ndo yale kwamba changamoto kidogo umefunga biashara na kufanya ingine. Msimamo ni kitu muhimu sana na pesa ya bishara ni ya biashara sio inatoka nakununua mahitaji mengine. Ila pia kumbuka kwenye biashara unatakiwa kujilipa sio unakuwa mtumwa wa biashara yako.
Wengi tunafanyia pesa kazi na sio kwamba pesa zinatufanyia kazi.
Mkuu Jambo la kulipia ada lina utofauti kdogo na ishu ya kula au kulala.Nakupinga, Nina Nyumba zaidi ya moja pia, but unataka kuniambia pia ahakikishe watoto wake washamaliza shule?
Hembu tafakari Kama anawatoto wa3 then kila muhula anatakiwa alipe karibu 3m kwa ajili ya Ada za watoto, je utamwambia hela ya kula tu ndo haitamsumbua?
Tusitishane maisha Ni kupambana katika kila hali, other things will never remain constant
Kweli kabisa kaka. Ni muhimu at least kupata mtu mwenye uelewa wa hali ya juu ndio akufanyie kazi. Mfano kama bajaji, ni muhimu kupata dereva kwanza ambaye ni mchapa kazi sana, pili ambaye ni mwaminifu sana, na tatu ambaye haweki hela mbele. Shida kijana wa namna hiyo ni vigumu. Wengi ni waswahili na wameweka hela mbele.Mkuu Wolfpack ni kweli bila risk biashara haianzi. Ndio maana watu matajiri wenye mabiashara makubwa marekani kama kina Warren Buffet hutaka kufanya ubia kupunguza risk.
Hili naona kwa Tz, wanaoliweza ni ndugu zetu wa Kilimanjaro na wakinga. Na sijui kwanini watu hawapendi kufanya hata research na kwa Tz unaweza kumuliza mtu info ya biashara akakupa bure bila gharama au kama hapa jf. Na tatizo linguine kubwa ambalo linatufanya wa TZ wengi wakafeli lakini hayo makabila 2 yanaliweza ni supervision, kiukweli 75% ya wafanyakazi na supervisors ukimuajiri anataka matatizo ayamalize kwa mkupuo kabla hata mtaji haijarudshwa hata kama mmeuchukua bank haujarudi. Mfano biashara ya Bajaj nadhani mtaji hauzidi 10M sasa driver ukimpa aiendeshe anataka yeye pesa ya kwanza kukusanya kwa siku atoe 15,000 yake, wewe mwenye biashara upate 10,000 za mwisho kama zikibaki, kama hazikubaki basi akudanganye ndio maana wachaga wakaona bora wampee akusanye mfano 15M Bajaj iwe ya driver hapo Kiswahili kinakuwa hamna na hii ni kwa biashara nyingi, tuzidi kumuomba na Mungu na kuwashukuru wanaotoa mawazo endelevu.Ila jamani walimu wetu tuwasaidie wanafunzi kusoma vitabu na wanafunzi tujifunze kujisomea vitabu, hamna njia nzuri ya kujifunza kama kusoma vitabu , nawashukuru waliotoa vitabu humu. Kwa wastani mtu ukifanya mazoezi ya kawaida unaweza kusoma karatasi za vitabu mpaka karatasi 200 kwa siku bila kuleta shida kwenye ratiba yako kila siku.
Mkuu sijidanganyi wala sidanganyi katika vitu ambavyo wengi tunafeli ni kutaka kufanya kama walio fanikiwaM
Mkuu USIDANGANYIKE.. Bila ya mtaji, hauna biashara. Narudia.. USIDANGANYIKE. Hata kama hauna hela yako binafsi, lazima uipate benki, kwa ndugu n.k. Fikiria hili.. unaanzisha biashara na tayari una wapinzani ambao wana biashara kama yako inaendelea.. kuna njia gani ya kuboresha huduma au bidhaa pasipo kuwa na mtaji? Ukifikiria utaweza bila hela..UTASHINDWA. Utakuwa na biashara yenye value ndogo, na wateja wapya kuwapata lazima uwe na biashara yenye value ambayo inaweza kushindana na zile za washindani. Na value ya biashara inaenda sambamba na mtaji ulio nao. Unafikiri utauza maneno matamu bila matendo na bidhaa na huduma bora?
MIMI NINA UJUZI SANA NA BIASHARA MKUU. Naona weee unaongelea kupitia vile vitabu vyenu vya ujasirismali mnavisomaga. Na vinawadanganya tu. Poleni sana.
Wazo ni muhimu sana na ubunifu (creativity ni muhimu sana) lakini bado unahitaji capital ya kugeuza wazo ili liwe investment nzuri. Hapo ndio mimi na wewe hatuelewani. Najua vitabu vingi vinakuambia hivyo.. sasa watu wangapi wenye mawazo na ubunifu wamefanikiwa bila mtaji? NAOMBA UNIPE MIFANO HAI.Mkuu sijidanganyi wala sidanganyi katika vitu ambavyo wengi tunafeli ni kutaka kufanya kama walio fanikiwa
Ukitaka kufanya kitu amua kwa umakini zaidi sio kwa kushindana na mwingne
Mtaji wa uhakika ni wazo na ubunifu
Pesa ni matokeo ya hayo hapo mawili