Mr.laravel
JF-Expert Member
- Oct 1, 2015
- 471
- 513
kozi ya environmental sciences and management inayotoleawa ardhi kwa level ya degree yupo ndugu amemaliza ila anatafuta mwanga wa kujiajiri mwenyewe. kuanza kujiajiri kwa mtaji mdogo. cpa hajapitia (nemc) naombeni msaada
Kiurahis tubaada ya hap utaingia sehem ya user only ambapo ukiingia utakut vitangazo kgd af juu kuna sehem ya kuweka number ambaz utakua ushaziona juu ya hyo sehem.
ukiingiz hizo number itaonekana kam umesoma hayo matangaz xo ndo hela zinapoingia kwenye hyo account uliyoifungua.
okay alime na kuangalia msimu sio pamoja na sokoKama ana shamba lenye rutuba nzuri ametoka kimaisha
unavifahamu vigezo vya kupata hiyo EIA Japo kwa muhktasariMwambie aende NEMC wanatoa training za certification za EIA ambapo anaweza kufanya kazi km private evaluator wa mazingira
Hiyo ndio maana halisi ya usomi ambayo wengi hawajaijua basi wameishia kututambia na marundo ya vyeti na kiingerezaHalafu kitu kingine kinachoweza kuwa ni changamoto wakati mwingine lakini, ni namna ya kuhamisha mazingira ya mwandishi wa kitabu kutoka kwao na kuyaleta katika mazingira ya kiafrika ama kitanzania ili mawazo hayo yaweze kuendena na wewe
Huyu jamaa atakuwa nafasi yake ni kubwa serikalini sio mtu wa chinichini asingepokea hiyo hela kama mstaafu kila mweziDoooh kwenye ajira, watu hawasemi ukweli wote -ahahahahaaaaa.Leo kuna jamaa ameniambia amestaafu kapewa TZS 56Milion na kila mwezi atakuwa akipewa laki 9 mpaka kufa. hata kama kanidanganya viwango hilo la huo uhakika nadhani ndio unawafanya wengi wetu waseme kama nina sehemu siiachii kazi mpka nistaafu, kwenye biashara ukipotea ndio basi ukipata safi sana, sasa kwa wakati huu ambao kila mtu analia njaa wewe una uhakika wa 30,000 kila siku? inabidi ujifikirie kuacha kazi maana nasikia mfano biashara ya taxi million 12, zinaleta 15,000 kwa siku na ugomvi na driver na kuugua kwa mwenye gari-ahahahaaaa.
Kima cha chini huwa wanapata kiasi gani kwa wastani kama kiinua mgongo baada ya kustaafu na kila mwezi anaweza kupata kiasi gani kwa mwezi, hii taarifa kuna sehemu ya kuipata iliyo wazi au tovuti.Huyu jamaa atakuwa nafasi yake ni kubwa serikalini sio mtu wa chinichini asingepokea hiyo hela kama mstaafu kila mwezi
Ur rightkwamba haiwezekani masaa 8 kazini the rest kufanya yangu?
Dah sidiss kujiajiri, ila naona you are exaggerating asee kama vile ukijiajiri ndo umetoka mazima.
Anyway yote sawa kila laheri
Umepanga kurejesha vipi huo mkopo ilhali huna mshahara na rejesho la kwanza ni mwezi huo huo wanaokupa mkopo?.Mkuu nakushukuru sana kwa kuanzisha uzi huu maalum kwa sisi tunaotaka kuacha kazi, hasa tuliopo kwenye sekta binafsi. Huku kuna manyanyaso ya kutosha...yaani ni ubabe na utemi kwa kwenda mbele. Mtu hata ukifiwa au ukawa na kikao cha harusi au familia, hupati ruhusa ya kutoka kazini.
Hapa kazini kwangu, kuna uhakika wa nyongeza ya mshahara mnano mwezi wa 8. Nasubiri mshahara upande niende benki nichukue mkopo hata wa milioni 50 niondoke hapa UTUMWANI nikajiajiri huko uraiani. Hiki kifungo cha miaka 11 kinanitosha kabisa. Kazi gani haina weekendi wala sikukuu? Kwa ujumla naichukua sana hii kazi ya shift.
Nikishachukua mkopo wangu sitajali kama nina uzoefu wa biashara au la. Nitakachofanya nitajipa takribani muda wa wiki moja nitajifungia ndani nitafakari biashara yoyote inayoweza kuniingizia kipato cha walau Tsh 20,000 kwa siku. Hata kama ni kukaanga chipsi au mihogo nitafanya ilmradi niondoke huku utumwani mwa makaburu. Kabla ya kuanza biashara yangu hiyo nitafanya business survey, ambapo nitatembea mitaani kuangalia biashara ambazo zinalipa kwa wakati huu. Hata ikibidi kujifanya kibarua wa mtu ambaye nataka kusoma biashara yake nitafanya hivyo ilmradi nipate conclusion ya ufasaha kabla sijaingia kwenye biashara husika.
Tena utafiti ngoja niuanzie hapa kwa kuwauliza wajasiriamali wenzangu (N.B: tayari najiona kama mjasiriamali mtarajiwa). Je, ndugu zangu mlionitangulia kwenye ujasiriamali, ni biashara gani ambayo nikifanya kipindi hiki cha 'vyuma kukaza' haitaniangusha? Jamani tusiwe wachoyo wa kushirikishana taarifa kwani sisi sote adui yetu ni mmoja: UMASIKINI.
Nawasilisha
Doooh kwenye ajira, watu hawasemi ukweli wote -ahahahahaaaaa.Leo kuna jamaa ameniambia amestaafu kapewa TZS 56Milion na kila mwezi atakuwa akipewa laki 9 mpaka kufa. hata kama kanidanganya viwango hilo la huo uhakika nadhani ndio unawafanya wengi wetu waseme kama nina sehemu siiachii kazi mpka nistaafu, kwenye biashara ukipotea ndio basi ukipata safi sana, sasa kwa wakati huu ambao kila mtu analia njaa wewe una uhakika wa 30,000 kila siku? inabidi ujifikirie kuacha kazi maana nasikia mfano biashara ya taxi million 12, zinaleta 15,000 kwa siku na ugomvi na driver na kuugua kwa mwenye gari-ahahahaaaa.
Of course yes, being employed is something to be looked down, bcz, through employment you can only survive and will never drive(attain a determined life)!Hakuna shida kabisa
I'm against the mindset that being employed is something to be looked down
Nitatumia kiinua mgongo changu nitakacholipwa baada ya kuacha kazi sekta binafsi.Umepanga kurejesha vipi huo mkopo ilhali huna mshahara na rejesho la kwanza ni mwezi huo huo wanaokupa mkopo?.
Mahitaji ya kila siku jeNitatumia kiinua mgongo changu nitakacholipwa baada ya kuacha kazi sekta binafsi.