ForeverMore
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 812
- 1,939
Tanzania kupata ajira imekuwa shida sana. Na kwa mambo yanavyoenda, itazidi kuwa ngumu. Maana sasa hivi hakuna ajira, wadogo zetu wanaonufaika na elimu bure wakiaanza ingia mtaani itakuwaje?
Ukweli ni kwamba Serikali haitoweza kutengeneza idadi ya ajira tunazo hitaji, sisi kama raia inabidi tutafute fursa mbadala. Fursa ambazo kwa macho ya kawaida hatuzioni. Na wengi wetu, hata fursa ukitajiwa, unaidharau au kuino haifai. Wengine ni mpaka uone watu wanapiga hela ndo unashtuka.
Mfano: Kabla ya Uber kuanza, mtu angekuambia ana aidia ya kuanzisha kitu kama uber, ungemwelewa? Ukizingatia kuwa tuna Bodaboda, Daladala, Mwendokasi, Taxi na Bajaji. Kiukweli asilimia kubwa tunge mwona mjinga. Hata kama ni mshikaji wako, ungesema kafeli kichizi. Ona sasa Uber ilipo.
Na sababu pekee Uber imekubali, ni kuwa waalinzishi wana mfuko mrefu wa kuitangaza kwenye Tv na maredio. Bila hivyo, ingawa idea ni nzuri wengi tungeona haiofanya kazi bila hata kuijaribu.
Tanzania hapa, tuna watu wapo vizuri kichwani, wana idea mpya na zinaweza kutunufaisha wengi. Tatizo hawana kipato cha kuitangaza. Na hata wakijaribu kuitangaza kwenye facebook, instagram na humu kwenye Jamii forums, wengi tuna zizarau na kuona hazito lipa. Bila kuzijalibu, kuuliza inavoanya kazi au angalau kumsaidia kushare tangazo lake.
Kuna watu humu wapo kwenye vitengo vizuri sana. Tuna watangazaji, waandishi wa habari, watu wenye followers kibao kwenye social media, lakini hamffanyi chochote kumsaidia.
Hata kama unataka akulipe kumfanyia hiyo kitu, mcheki PM, maana awezi kujua kuwe wewe upo kwenye nafasi unayoweza msaidia. Ingia PM yake, salimianeni fresh, muulize kuhusu idea yake na kwa nini anadhani itafanya kazi. Ikibidi, pigianeni simu, pangeni mkutane na kadhalika.
Fikiria kuwa, idia yako ikipata waandishi habari wa 5 tu humu ndani, wakasema wata kusaidia kuongelea idea yako kwenye gazeti, redio, taarifa ya habari au kukutaja tu kwenye twitter yake yeke followers wengi, inaweza ikawa ndo mwanzo wa wewe kutoka.
Nimetoa mfano wa uber kwa kuwa kuna idea flani nataka kuitaja hapa. Idia ambayo, kuna watu wataanza kusema ni utapeli au haitofanya kazi ama haita nisaidia.
Idea hiyo ni ishu ya freelancing. Freelancing ina maana ni ajira ya kujitegemea za muda mfupi mfupi. Mfano. Dj au MC anafanya freelancing, yaani anaitwa kwenye sherehe, anafanya kazi anapokea chake anasepa. Anaitwa sehemu nyingine na nyingine na nyingine.
Sisi kama Watanzania, kana kazi nyingi tunaweza kuzifanya kama freelancing. Shida ni kuwa;
1. Hatujui au tuna zi dharau kwamba haiwezekani kama ilivyo wazo la Uber.
2. Platform au sehemu ambayo, itarahisisha kupata wateja kwa kazi utakayo amua kufanya freelancing.
Wengi humu, tunaujua mtandao wa www.kupatana.com. Huu mtandao, siyo kwamba watu walikuwa hawauzi viwanja, simu, tv na magari kabla ya mtandao kuwepo, huu mtandao umerahisisha, yaani ukiingia pale, utapata chohote unachohitaji.
Vivyo vivyo, kuna mtandao huu wa www.ajiras.com. Huu mtandao ni ajili ya freelancing. Yaani, kama unavyosema nauza simu kwenye kupatana, unaweza sema na choma nyama au natengeneza logo, website, au ni mwandishi kwenye huu mtandao wa ajiras.com. Kinachotokea, watu wanao hitaji hiyo huduma, wanakupata pale na kuu ajiri uwafanyie kazi. Watu kama Djs, MC, watu wa mapambo, wapiga picha, wasusi, wapaka ina, tatoo, wachoraji (kama wakina Masoud Kipanya), wachimba visima, wapima viwanja na kadhalika. Wote wanaweza kujiunga na kuonyeza kazi wanazoweza kuzifanya.
Tatizo ni kama nilivyosema hapo juu, wengi bado tunaidharau, waanzilishi ni vijana hawana mtaji wa kutosha kusema kuitangaza saaana kwenye TV na radio. Maana unakuta unaambiwa kutangaza laki 4 au 6 kwa mara moja.
Sisi kama wana Jamii Forum,
1. Tutumie hii fursa kujiajiri.
2. Kama upo kwenye nafasi flani, maana naamini kuna mpaka viongozi humu, angalieni mnaweza fanya nini kuisogeza hii project.
Pia kuna watu wenye Online TV, angalia basi kinachoweza kufanyika.
Mnaweza comment, kunifuata PM au kuwasiana kwa njia ya info@ajiras.com au 0717 686 155.
Kama unamjua mtu anayewaza fanya lolote, tafadhali mtag hapa aje kuona.
Mimi naanza kuwa tag wachache ninaowajua. Mtanisamehe kwa kuwa tag bila idhini yenu na kwa maelezo kuwa marefu sana GuDume AdvocateFi rikiboy Victoire tindo Pascal Mayalla Bishop Hiluka Mshana Jr Geza Ulole joto la jiwe Tony254 MK254
Asanteni.
NB: Mimi ni mmoja wa wamiliki wa huu mtandao, isije onekana kama najaribu kuficha.