Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Nauza LG g5 na Google nexus 6p ,

NEXUS 6P SPECS.
Google Nexus 6p
Clean as New
Ram 3 Gb
Internal 32 gb
Battery 3450 mAh
Well functioning fingerprint sensor
Usb Type C
Camera kali sana (portrait mode, nightsight,4k videos)
Simu kubwa
Second hand imported
bei 310,000
nipo Sinza
piga or text 0682521021 if interested

LG G5 SPECS.
LG G5
Well functioning fingerprint sensor
Second hand imported
Ram 4 gb
Usb Type C
internal 32 gb
Rear duo camera 16+8 mp
front 8 mp
bei 280,000View attachment 1219944
IMG_20190930_082628.jpeg
MVIMG_20190929_204347.jpeg
 
Kuna kipindi mtu unaanza mpaka kutamani mishahara ya laki 5..JPM kaja na majanga mengi sana...
Mimi nilijiajiri...Lakini sitasahau hii miaka 4 ya JPM,yaani mpaka wife ananishauri nichukue mavyeti nianze kuomba kazi tena.Kazi yenyewe sijui utaomba wapi Taasisi na Kampuni zinafungwa kila uchwao.
 
Kujiajiri sio lazima utumie hyo fani yako bali ni ubunifu wako tu wa kujifunza vitu mbalimbali.
Unaposema kujiajiri kwa kutumia hyo fani ni kwa kujipanga sana maana yake utahitajika usajili kampuni uwe contractor au consultant na kuanza kutafuta tender Kama unavyowaona contractors wa civil engineering.
Kwa hyo sio Jambo la mchezo mchezo kwamba umetoka chuo tu na kukurupuka.
Pambana kivingine, hata mimi niliyosoma siyo ninayoyafanya, elimu yetu bana dah!!!
 
changamoto ninayopitia ni ugeni kwenye biashara
udogo wa mtaji ambapo inapelekea gharama za uzalishaji/uendeshaji kuwa kubwa.

kukabiliana na maneno ya kejeli kutoka kwa ambao hawajasoma na hawan hela, wao wanaamini mimi sikutakiwa kufanya hii biashara ninayoifanya ila ilibidi niwe nimeajiriwa. nashukuru nimeweza kuishinda hii, nasonga na biashara yangu.
 
Hamna kazi ngumu kama kijana msomi kuishi kijijini, haki utapata tabu sana. Na jamii ya kijijini haitakuelewa kabisa.

Ni wazi mfumo wa maisha ya kijijini haupo tayari kupokea wasomi wa karne hii. Bado vijiji vinaujinga mwingi wa miaka ya 70s (samahanini wakubwa) utegemezi unaojificha nyuma ya ujamaa
 
Sana tusemeje? Am EIA evaluator at the moment 😁😁😁😁😁
 
Maoni yenu wanajukwaaa juu ya kuajiriwa au kujiajiri, ni faida zipi na changamoto zipi katika kila upande.
Nawasilisha kwenu kwa uchambuzi
 
bro information is POWER askwambie mtu ...kuna mtu ana degree ya programming na yuko vzur sana kwny kazi lakn sasa kama hana information about freelencer unafkiri ataacha kuzunguka na vyet kuomba ajra?

issue za hela zko nyingi sana shda ni kutokuwa na taarifa ili kuzjua hzo issue
Freelancing kuna ushindani mkubwa ila ukifanikiwa kupata kazi ya kwanza tu, then kila kitu kita flow...

Nnashangaa sana watu wa IT wanazunguka na bahasha wakati huko nje kuna mapesa mengi tu ya programming, graphics nk...

Kuwa freelencer sio lazima iwe na degree au masters maana kuna watu fiverr wanapiga ela kwa kutafsiri english to swahili... Kitu ambacho hata mtu wa la saba anafanya!!
 
anaweza supply tani/kg ngapi per one route?
hapa nilipo kahawa ni nyingi tu, na kuna mzee nafahamiana naye anavibali hadi vya kusafirisha nje, nawza mtumia can you check me DM Tuyajengee mkuu
 
Kuacha kazi ni jambo gumu sana, mtu umezoea kila mwisho wa mwezi pesa inaingia kwa uhakika, ila kiuhalisia kukomaa na ajira Ni ugonjwa wa akili kwa maana share holder wote hua hawatosheki na faida kila mwaka mnapo achieve budget kuna wapa alarm Kua kuna uwezekano wa kupata zaidi wataongeza budget, hii inafanya nguvu uliyoweka mwaka uliopita utahitaji kuweka hata mara mbili yake mwaka unaofuata na wakiona hufikii malengo wanawaza namna ya kukureplace wachukue nguvu mpya, kwa haraka haraka tulio ajiliwa tujiulize swali hili itakuaje kazi unayoipenda kweny maisha yako ikafika mahala ukaona umefika na huwezi kuacha kazi Ikatokea wenye kampuni wakaamua kufunga na kuamua ku invest kweny biashara nyingine utafanyaje? Au imetokea mkataba wako ghafla umekua terminated? Kuajiliwa kuna fanya unakua unanyenyekea sana, unajipendekeza sana inafika mahala boss wako ameongea hata kitu cha kawaida unajichekesha tuu, kama huo sio ugonjwa wa akili ni nin? Kua na elimu hakuna maana ufanye kazi za ofsini, maana yake ni kuweza ku survive katika mazingira yoyote yale kwa Kua mbunifu, unakuta mtu amemaliza chuo miaka zaidi ya 2 anahangaika tu na mabahasha hafanyi kazi hata ya karanga kisa yeye msomi akae ofsini tu na mpaka hela ya vitafunwa apewe na dada zake nyumbani huu sio ugonjwa wa akili? Vijana tufikirie kujiajili tuache kuumwa huu ugonjwa wa akili.
Hapo kujichekesha kwa boss nimecheka hadi mbavu[emoji23][emoji23][emoji23]

Hali hii hunikuta Sana, but kutokana sijazoea kujipendekeza huwa namute while my fellow staffs full kujichekesha...kuajiriwa kusikie tuu
 
Hata mm nmegundua mkuu.
Yaani watu wa mtaani hawana presha kabisa ya maisha.
Nashangaa mm nimeacha kazi nikaingia mtaani halaf miez mitatu tu naanza kupata stress ya maisha.
Kiufupi walio makazini wanajifariji tu kuvaa T-shirts za makampuni siku za mei mosi lkn hawana maisha.
[emoji16][emoji16][emoji23]
 
Pamoja na kwamba ajira limekuwa tatizo kwa wahitimu wengi wa vyuo vikuu nchini, lakini pia elimu wanayopata haiwezi kuwafanya wajiajiri. Huu ni ukweli usiopingika katika nchi sasa hivi. Kupeleka vijana wengi wahitimu wa vyuo vikuu ambao mwisho wa siku hawawezi kupata ajira na vilevile kujiajiri.

Elimu ya Chuo Kikuu itolewe kwa wachache watakaofaulu vizuri sana na wajengwe kuweza kushindana kwenye soko la ajira la ndani na nje .Kiuhalisia tunafundisha watu wawe mameneja na maboss zaidi kuliko watu wanaotakiwa.

Infact kundi kubwa la vijana wapewe mafunzo ya elimu ya kati wakawe watendaji. Uchumi wa viwanda unahitaji jeshi kubwa litakalotoka kwenye technical training colleges, manufacturing needs technicians i.e. plumbers, carpenters, electricians, masons, artisans etc.

Huku ndio Wizara ya elimu na wadau husika ingeweka mazingira wezeshi ya kuvutia ili vijana wengi wavutiwe kuingia huku kwa kuwapa mikopo ya elimu na vifaa nk kama wanavyoitoa elimu ya juu.

Ni kujidanganya wenyewe kama tunazalisha wahitimu wa vyuo vikuu wengi, ambao tunaendelea kutumia pesa za kodi kutoa mikopo mwishowe wanashidwa kuwa productive.
 
Back
Top Bottom