Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Hello friends, today I am sharing top 60 mistakes that all young entrepreneurs make.

1. No clear goal/vision.
2. Lack of focus.
3. Unwilling to admit faults.
4. Not listening. They just keep talking, talking and talking.
5. Many young entrepreneurs are so greedy.
6. Talking talking and doing nothing.
7. Spending lots of time on developing & less time on selling.
8. Not having proper business plan.
9. Impatience.
10. No Enough Money.
11. Doing it alone. Not getting support from others.
12. Waiting too long to launch.
13. Staying in control every step of the way.
14. Raising too much money too early.
15. Keeping your idea a secret.
16. Forgetting to create a brand.
17. Being afraid that someone will steal your idea.
18. Thinking that you are your customer.
19. Trying to monetize ideas rather than monetize sales.
20. Counting your eggs before they hatch.
21. Trying to serve two kinds of customers.
22. Avoiding your customers and team.
23. Ignoring Marketing.
24. Comparing yourself to other Startups.
25. Ignoring history.
26. Avoiding thinking about revenue.
27. Using your lack of funding as an excuse.
28. Just following your passion.
29. Asking people to sign NDAs before discussing your startup.
30. Lying to yourself when things are not right.
31. Believing that hiring sales people will cure your revenue problems.
32. Postponing the calculation of your cost of user acquisition.
33. Separate business and personal finances.
34. Hope for the best result, but plan for the worst.
35. Trusting your gut, rather than getting validation for your Idea.
36. Not getting your business to market fast enough.
37. Not knowing when to pivot.
38. You take too much advice or none at all.
39. Not Marketing, No Problem.
40. Putting the customer last.
41. Making the wrong decision on fundraising.
42. Making networking low priority.
43. Hiring the wrong people.
44. Trying to serve everyone.
45. Building without customer validation.
46. Shouting from the Rooftop.
47. You gable with things you can't afford to lose.
48. Too little, too late.
49. Poor employee quality.
50. Location, Location, Bad location.
51. Choosing a bad name.
52. Not Doing Market Research.
53. Imitating Other Businesses.
54. Arrogance.
55. Overspending.
56. Quitting your job too early.
57. Expecting to be successful instantly.
58. Being driven by money alone.
59. Not adapting and Not Networking.
60. Making a Service for Everyone.
good
 
Join the Most trustworthy broker!!!
Templerfx!!!!
- Easy to Deposit your investment capital by Mobile Money Transfer (M-Pesa, Airtel Money) Just less than an hour, your account will be funded.
- Easy to withdraw you money(M-Pesa, Airtel Money) less than an hour your money will be in your phone ready to get from WAKALA!!
-Quick and Easy customer services.

Very Easy to join!!!
Click on the link below open account
TemplerFX | Promo

Kwa wale Wa forex templerfx ni broker mzuri sana kwa mazingira yetu ya bongo , ni rahisi kujisajili lakini pia njia za kutuma na kupokea Pesa yako ni rahisi mno!
 
Join the Most trustworthy broker!!!
Templerfx!!!!
- Easy to Deposit your investment capital by Mobile Money Transfer (M-Pesa, Airtel Money) Just less than an hour, your account will be funded.
- Easy to withdraw you money(M-Pesa, Airtel Money) less than an hour your money will be in your phone ready to get from WAKALA!!
-Quick and Easy customer services.

Very Easy to join!!!
Click on the link below open account
TemplerFX | Promo

Kwa wale Wa forex templerfx ni broker mzuri sana kwa mazingira yetu ya bongo , ni rahisi kujisajili lakini pia njia za kutuma na kupokea Pesa yako ni rahisi mno!
[emoji102] [emoji58] [emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42]
 
Ni ukweli usiopingika Kuwa waajiriwa wote ni watumwa wa waajir wao, maisha yao yanategemea cent anazopewa mwisho wa mwez
 
wazo langu ni kuacha kazi kisha kwenda shule kusoma ujuzi wa fani niipendayo, nafikiri nitafanya vizuri kwenye ujasiriamali kupitia fan yangu, what do you think?
Utakuwa umefanya kosa kubwa mno!!.fanya hivi.Omba kwenda kusoma ukiwa kazini au kama chuo kipo karibu na maeneo ya kazi basi waweza kusoma ukiwa kazini,ukimaliza sasa unaachana nao.
 
Kinachotuponza ni kuacha kazi na kufanya kazi ambazo hatuna ujuzi nazo.mfano:huwezi kufungua duka la spare parts za magar wakati wewe mwenyewe hata sio fundi na wala huna uelewa wowote juu ya aina ya spare parts unazotaka kuuza.Huwezi kufungua salon ya kike/kiume wakati huna ujuzi wowote wa kunyoa,kutengeneza nywele kwa mitindo mbalimbali,aina za dawa,mafuta nk.Huwezi kuwekeza kwenye kilimo wakati huna elimu yoyote ya kilimo vinginevyo kilimo ukifanyacho hakitakuwa na tija.

USHAURI WANGU
Kwakuwa wazo lolote ndio mtaji wetu wa kwanza,basi ni vyema ukilifanyia kazi wazo hilo kwanza kwa kutafuta maarifa ya wazo hilo.maarifa haya utayapata kwa kufanya kozi fupi fupi kwenye vyuo tofauti kama vile VETA,CBE nk.

KWANINI KUTAFUTA MAARIFA?
Maarifa mapya juu ya wazo jipya yatakusaidia kuendesha shughuli yako vyema na kwa ufanisi mkubwa mfano;usimamizi,manunuzi,mahesabu,kutafuta masoko,namna ya kushindana,kuboresha,na aina ya task force utakayoweka.
 
Hakuna sababu halisi ya MTU kuacha kuajiriwa zaidi ya nafsi kuchoshwa na hali hiyo.
Rasmi nimeacha kazi 01/02/2018 nyingi ya sababu umeziainisha hapo ila naamini IPO cku nitatoboa tuu ila nashauri kwa wale waliooa na wenye watoto wasikurupuke wajipange kuliko sisi ambao "no wife no child" life ni gumu kitaa ila ukidhamiria ni rahisi kutoboa.
 
Hakuna sababu halisi ya MTU kuacha kuajiriwa zaidi ya nafsi kuchoshwa na hali hiyo.
Rasmi nimeacha kazi 01/02/2018 nyingi ya sababu umeziainisha hapo ila naamini IPO cku nitatiboa tuu ila nashauri kwa wale waliooa na wenye watoto wasikurupuke wajipange kuliko sisi ambao "no wife no child" life ni gumu kitaa ila ukidhamiria ni rahisi kutoboa.
Tupo pamoja kamanda
 
Utakuwa umefanya kosa kubwa mno!!.fanya hivi.Omba kwenda kusoma ukiwa kazini au kama chuo kipo karibu na maeneo ya kazi basi waweza kusoma ukiwa kazini,ukimaliza sasa unaachana nao.

thanks
 
Kinachotuponza ni kuacha kazi na kufanya kazi ambazo hatuna ujuzi nazo.mfano:huwezi kufungua duka la spare parts za magar wakati wewe mwenyewe hata sio fundi na wala huna uelewa wowote juu ya aina ya spare parts unazotaka kuuza.Huwezi kufungua salon ya kike/kiume wakati huna ujuzi wowote wa kunyoa,kutengeneza nywele kwa mitindo mbalimbali,aina za dawa,mafuta nk.Huwezi kuwekeza kwenye kilimo wakati huna elimu yoyote ya kilimo vinginevyo kilimo ukifanyacho hakitakuwa na tija.

USHAURI WANGU
Kwakuwa wazo lolote ndio mtaji wetu wa kwanza,basi ni vyema ukilifanyia kazi wazo hilo kwanza kwa kutafuta maarifa ya wazo hilo.maarifa haya utayapata kwa kufanya kozi fupi fupi kwenye vyuo tofauti kama vile VETA,CBE nk.

KWANINI KUTAFUTA MAARIFA?
Maarifa mapya juu ya wazo jipya yatakusaidia kuendesha shughuli yako vyema na kwa ufanisi mkubwa mfano;usimamizi,manunuzi,mahesabu,kutafuta masoko,namna ya kushindana,kuboresha,na aina ya task force utakayoweka.
Yaani hapa umenikumbusha miaka kama kumi iliyopita, maana kuna mzee mmoja anafanya biashara ya duka la mahitaji ya nyumbani na pia ana mashine za kusaga na kukoboa, pia kwa sasa amejiongeza anasaga vyakula vya mifugo. Nilipomwambia wazo langu la kwenda kusomea kilimo ili niwe na utaalamu na shughuli ya biashara ya kilimo, aliniambia haina haja sababu yeye anao rafiki zake wanafanya biashara hii, mwenye mtaji mkubwa ndiye anayepata faida kubwa hivyo niwe tu na mtaji mkubwa sina haja ya kupoteza muda wangu kusomea kilimo. Leo natambua umuhimu wa kuwa na ujuzi wa biashara ninayotaka kuifanya!!!
 
ujasiriamali-6.jpg

MOJA ya dhana potofu miongoni mwa vijana wengi ni kutafuta elimu kwa lengo la kuajiriwa. Pengine hiyo inatokana na mfumo dhaifu wa elimu katika nchi zetu, haijengei mwanafunzi mazingira ya ‘kusoma ili kuelimika’ bali ‘kusoma ili kujibu maswali ya mitihani kwa ufasaha!’

Vijana wengi kuanzia ngazi ya elimu ya msingi, sekondari na hata vyuo vikuu, wamekuwa wakihaha kutafuta ajira serikalini mara baada ya kuhitimu masomo yao, badala ya kuitumia elimu waliyoipata kujiajiri wenyewe.

Ikumbukwe kuwa mfumo wetu wa elimu nchini unazalisha vijana wengi kila mwaka wanaoingia katika soko la ajira.

Wengi ni watu wanaotafuta kuajiriwa, huku wachache wanaochagua kujitosa katika shughuli za ujasiriamali wakikumbana na vikwazo vingi ikiwemo wazazi wasioamini katika ujasiriamali, ukosefu wa mitaji, mrundikano wa kodi na masoko yenye ushindani yasiyotoa fursa sawa kwa biashara zinazoanza kukua.

Ni kwa mantiki hiyo, basi baadhi ya wadau wa elimu wameona umuhimu wa kufundisha elimu ya ujasiriamali kuanzia ngazi ya sekondari hadi vyuoni, lengo likiwa ni kuwaandaa vijana wa kike na wa kiume kuitumia elimu hiyo kujiajiri wenyewe badala ya kubaki wakitegemea tu ajira kutoka serikalini.

Hii ni kutokana na ukweli kuwa Tanzania ni moja ya nchi sita katika Jumuiya ya Afrika Mashariki ikiwa na utajiri mkubwa wa rasilimali zaidi ya nchi nyingine katika jumuiya hiyo, lakini pamoja na utajiri huu wa nchi bado sehemu kubwa ya watu ni masikini wanaoishi kwa kipato cha sh. 2,000 kwa siku huku vijana wengi wakiwa hawana ajira za uhakika.

Aidha, shughuli kuu za kiuchumi ambazo ni kilimo, uvuvi, ufugaji, uchimbaji wa madini na biashara ndogondogo zimekuwa zikifanyika kwa kutumia zana duni na mazingira yasiyo rafiki.

Tanzania inasifika kuwa moja ya nchi zenye amani na utulivu mazingira ambayo yanatoa fursa pana ya uwekezaji kiuchumi.

Je kijana uliyeko nyumbani na shuleni umejiandaaje?

Chanzo: Nipashe
 
Kwanza lazima tukubali kubadilika kifikra,kimtazamo na hata kimatendo pia,.lazima vijana tutambue hili;serikali yoyote haitokuja kuajiri kila kijana au mwanafunzi anayehitimu masomo yake, hata itokee sekta binafsi ziingilie kati bado tatizo halitokwisha,labda kupunguza tuu lakini sio kutatua,nasema hivyo ili kijana ujijue upo kundi lipi, la kuajiriwa ama kuto ajiriwa...ukiajiriwa sawa utakuwa umebahatika lakini je,usipoajiriwa??itakuwaje?? utamudu vipi hali ya maisha ambayo inapanda kila baada ya muda fulani,??..hapo sasa ndio tunapohitaji kujitafakari kwa makini kuwa maisha si kuajiriwa pekeake,.elimu uliyonayo ni MTAJI tosha wa kukufanya ufanye mambo mengine muhimu na pengine kujiajiri na hata kuisaidia serikali sasa kwa wewe kutoa fursa za ajira.

Mfumo wetu wa elimu pia unachangia kuwafanya vijana wengi wasiwaze tofauti na kuajiriwa,tunaona kwamba hakuna maisha bila kuajiriwa iwe na mtu binafsi ama serikali,.hii imetuathiri sana vijana na kujikuta tunalalamika na kushindwa kufikia malengo yetu tuliyojiwekea.

"msingi wowote wa maendeleo ni kazi" hatuwezi kuendelea bila kufanya kazi,kama umekosa kuajiriwa "JIAJIRI" ili upate msingi wa maendeleo yako.
 
Tunaotaka tutoke hii Jela Tushauriane humu, je tukusanye mtaji sasa bila kufanya ujasiriamali na tutakapoacha tu kazi ndio tuanze rasmi ujasiriamali? Ama tuanze sasa hivi kufanya kazi na ujasiriamali ili tu-taste ladha ya ujasiriamali kabla hatujaacha kazi? (Ila hata mambo yakiwa magumu kwenye ujasiriamali kipindi tupo kazini na tunafanya ujasiriamali, kuendelea na kazi sio option). Kubaki Jela haiwezi kuwa option kisa kuna dona na maharage ya bure, bora kuwa uraiani ule mlo mmoja wa maharage na ugali kwa mwaka mmoja ili uje kula asali na maziwa kwa miaka mingi ijayo.
nadhani kama upo jela pambana kukusanya mtaji meanwhile anzisha ujasiriamari mdogo uendenao mpaka pale utakapoamua kuondoka jela
usitamani kukaa jela zaidi ya miaka mitano iwe pungufu ya mitano
Hivi ni jela gani hiyo mnayoizungumzia? Mimi mbona nafurahia Ajira yangu na mambo yanaenda vizuri tu na malengo yanatimia?

Au mnafanya Kazi msizozipenda?
 
Ni ukweli usiopingika Kuwa waajiriwa wote ni watumwa wa waajir wao, maisha yao yanategemea cent anazopewa mwisho wa mwez
Nakuuliza swali na ninaomba ujibu bila kuzungukazunguka.

Mtu anapokuwa Rais wa nchi anakuwa ni Mwajiriwa au anakuwa Amejiajiri?
 
Hivi ni jela gani hiyo mnayoizungumzia? Mimi mbona nafurahia Ajira yangu na mambo yanaenda vizuri tu na malengo yanatimia?

Au mnafanya Kazi msizozipenda?
We bado upo kwenye comfort zone mkuu. Yaan ukipata huo mshahara wako,unakula,unavaa,unalipia kodi.. Unajiona umemaliza kila kitu. Na pengine umejiwekea malengo madogo saana.
Embu jaribu kutoka kwenye comfort zone af ulete mrejesho hapa.
 
Back
Top Bottom