Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Njia Gani wanayotumia kukulipa kwenye platform unazofanya kazi maana PayPal ni Shida tz
Freelancer wananilipa kwa money wire, kentar futures nao kwa money wire, guru na fevvr payoneer, kuna wengine nao nafanya nao mara moja moja wao wananilipa kwa paypal but account yangu ya paypal haijafunguliwa tz kuna mtu hayuko tz anaitoa na kuinitumia kwa njia nyingne.
 
Kuna platform mpya imezinduliwa leo ya kujiajiri. Kama unataka kujiajiri, hii platform ndo penyewe. inatwa Ajiras kuna app ya simu pia. Ni ya hapa hapa bongo.
 
Mkuu endelea tupa shule mana mtaa unatisha
Mfano utaona ela ambayo sija withdraw ya last week na clients ambabo ninafanya nao kazi mmoja wapo ndo huyo nafanya naye kazi mpaka hapa nilipo naendelea kufanya kazi zake za kuangalia na kuandika contents za video na pia naandika articles kwa ajili yake. so upande wa kulia ndo clients ambao nishafanya nao kazi .
freelancer.JPG
 
kopa amsha na ukikopa hakikisha unachukuq kiac kikubwa usiache kazi kwa m na nusu kopa hata mil 5 amsha
 
Mwl.RCT natambua uwepo wako na mchango wako hapa hasa masuala mazima yahusuyo vitabu.
Tafadhali kama hautojali naomba unisaidie soft copy ya kitabu cha Richdad Poordad kilichoandikwa na Robert Kayosaki.
Ahsante.
 
Kuna platform mpya imezinduliwa leo ya kujiajiri. Kama unataka kujiajiri, hii platform ndo penyewe. inatwa Ajiras kuna app ya simu pia. Ni ya hapa hapa bongo.
Mh!, yaani unataka kutuaminisha kua ukijiunga tu huku unapata ajira? Wakati mtandao ni wa kutangaza ujuzi ulionao ili kupata wateja wanaotaka ujuzi wako!
 
Freelancing kuna ushindani mkubwa ila ukifanikiwa kupata kazi ya kwanza tu, then kila kitu kita flow...

Nnashangaa sana watu wa IT wanazunguka na bahasha wakati huko nje kuna mapesa mengi tu ya programming, graphics nk...

Kuwa freelencer sio lazima iwe na degree au masters maana kuna watu fiverr wanapiga ela kwa kutafsiri english to swahili... Kitu ambacho hata mtu wa la saba anafanya!!
 
Mfano utaona ela ambayo sija withdraw ya last week na clients ambabo ninafanya nao kazi mmoja wapo ndo huyo nafanya naye kazi mpaka hapa nilipo naendelea kufanya kazi zake za kuangalia na kuandika contents za video na pia naandika articles kwa ajili yake. so upande wa kulia ndo clients ambao nishafanya nao kazi .View attachment 869190
Naomba nikuulize...

Ulifanyaje ukapata kazi yako ya kwanza fiverr na freelencer.com?

Nin cha kizingatia ili ufanikiwe hasa kwa sisi tunaoanza??
 
Freelancing kuna ushindani mkubwa ila ukifanikiwa kupata kazi ya kwanza tu, then kila kitu kita flow...

Nnashangaa sana watu wa IT wanazunguka na bahasha wakati huko nje kuna mapesa mengi tu ya programming, graphics nk...

Kuwa freelencer sio lazima iwe na degree au masters maana kuna watu fiverr wanapiga ela kwa kutafsiri english to swahili... Kitu ambacho hata mtu wa la saba anafanya!!
Wakati nasoma nilitaka kuuliza hili naona umeshanijibu. Nilikua najua hizi kazi nyingi ni za watu wa IT kumbe hata Mimi naweza Fanya.
 
Sio watu wa IT tu mkuu, mainjinia, lawyers, wanasaikolojia, washauri wa mambo ya mapenzi (yes, nenda fiverr utawakuta)... Kwa kifupi kila kitu unachoweza fanya hapa tz basi unaweza fanya kazi za watu huko ulaya au USA kama freelancer...

CHA MSINGI TU, UWE MWAMINIFU NA UWE NA UJUZI KWENYE UNACHOFANYA!!

Google fiverr.com, freelencer.com pitia categories zao uone...
 
Naomba nikuulize...

Ulifanyaje ukapata kazi yako ya kwanza fiverr na freelencer.com?

Nin cha kizingatia ili ufanikiwe hasa kwa sisi tunaoanza??
fiverr kwa sasa kukubariwa kazi kweli kweli wana screen sana watu, nilitengeneza profile na ku upload kazi nyingi, pia niliweka skills nyingi mult talented maana kwa sasa wanahitaji mtu mwenye vitu unique.
Freelancer ni rahisi kuna context na kubid, nilianza kwa kufanya context maana unakuta mtu ana kazi nyote mnafanya anachagua yupi kafanya poa ndiye anamlipa nilifanya kazi zaidi ya 10 ndipo nikajafanikiwa ila context niliachana nayo.
Nikahamia kwenye kubid nikawa ninabid na na weka bei ya chini kabisa kuliko wote ili nifanye kazi nipate reviews nzuri maana inakuongezea status. Nakumbuka kazi ya kwanza niliyopata trhough bidding ilikuwa kuandika blog content kwa rate ya 1.5$ kwa kila maneno 500, ilikuwa chini sana lakini niliandika hizo articles.
From there nimekuwa napendelea zaid kuandika articles nimepata clients watatu ambao ni permanent so kwa week ninaandika zaidi ya article 25 na rate zao ni zuri japo wanatofautiana ila kati yao mmoja analipa $7 kwa kila article moja ya maneno 500, huku wengine wawili kati yao ni ku rewrite wananipa link narudia yaliyopo ili kucheat copyscape.
pia kila siku uwa ninabid simple tags kama za kutengeneza logo na small articles.
 
fiverr kwa sasa kukubariwa kazi kweli kweli wana screen sana watu, nilitengeneza profile na ku upload kazi nyingi, pia niliweka skills nyingi mult talented maana kwa sasa wanahitaji mtu mwenye vitu unique.
Freelancer ni rahisi kuna context na kubid, nilianza kwa kufanya context maana unakuta mtu ana kazi nyote mnafanya anachagua yupi kafanya poa ndiye anamlipa nilifanya kazi zaidi ya 10 ndipo nikajafanikiwa ila context niliachana nayo.
Nikahamia kwenye kubid nikawa ninabid na na weka bei ya chini kabisa kuliko wote ili nifanye kazi nipate reviews nzuri maana inakuongezea status. Nakumbuka kazi ya kwanza niliyopata trhough bidding ilikuwa kuandika blog content kwa rate ya 1.5$ kwa kila maneno 500, ilikuwa chini sana lakini niliandika hizo articles.
From there nimekuwa napendelea zaid kuandika articles nimepata clients watatu ambao ni permanent so kwa week ninaandika zaidi ya article 25, wawili kati yao ni ku rewrite wananipa link narudia yaliyopo ili kucheat copyscape.
pia kila siku uwa ninabid simple tags kama za kutengeneza logo na small articles.
Nilikua sijui hii context aisee!! Mimi najua bid tu. Hii context inakuaje? Kazi zake nazipatia wapi au kazi zake wanalist kama bid?
 
Sio watu wa IT tu mkuu, mainjinia, lawyers, wanasaikolojia, washauri wa mambo ya mapenzi (yes, nenda fiverr utawakuta)... Kwa kifupi kila kitu unachoweza fanya hapa tz basi unaweza fanya kazi za watu huko ulaya au USA kama freelancer...

CHA MSINGI TU, UWE MWAMINIFU NA UWE NA UJUZI KWENYE UNACHOFANYA!!

Google fiverr.com, freelencer.com pitia categories zao uone...
Nashukuru kwa maelezo mkuu. Nitapitia huko nikiwa na swali nitakua nakuchek
 
Back
Top Bottom