BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,534
- 11,011
update vip mkuu, ulisha quit job?Kama utakuwa hujavipata, Nikumbushe weekend nikutumie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
update vip mkuu, ulisha quit job?Kama utakuwa hujavipata, Nikumbushe weekend nikutumie
Mkuu ukisoma uzi, first post utapata majibu. Nimejiwekea time frame.Any way kukurahisishia kazi bado sijaacha, lakini naendelea na plan zangu ndogo ndogo zitakazofanikisha my grand plan.update vip mkuu, ulisha quit job?
Hatuwezi tukawaza wote sawa.TUSIDANGANYANE KUACHA KAZI KWA AWAMU HII???? TRA WENYEWE WANAPUMULIWA MGONGONI ILI NAO WAWAPUMULIE WAFANYABIASHARA MGONGONI, HUKO NAKO SIO SALAMA.. BORA KUWA NA UHAKIKA NA 200K KILA MWEZI AISEE
NIMECHAGUA KUBAKI KIBARUANI, BIASHARA ATAFANYA MKE WANGUHatuwezi tukawaza wote sawa.
Ndio maana pia watoto wa familia moja wanakuwa watu wazima wengine wanakuwa matajiri wengine wanabaki masikini
Ndio maana wale uliosoma nao shule/chuo kimoja mpo tofauti
Ndio maana wastaafu wengine wanafulia mpaka unawahurumia lakini wengine wapo vizuri, japo wote walifanya kazi moja kwa mazingira yanayofanana
Kwa hiyo ni uchaguzi wa kila mtu
Sawa mkuuNIMECHAGUA KUBAKI KIBARUANI, BIASHARA ATAFANYA MKE WANGU
Sio kwa uoga huo the baba 200k. Hiyo kazi ni ya kwako? Kama ni ya mtu mwingine hapana aisee.TUSIDANGANYANE KUACHA KAZI KWA AWAMU HII???? TRA WENYEWE WANAPUMULIWA MGONGONI ILI NAO WAWAPUMULIE WAFANYABIASHARA MGONGONI, HUKO NAKO SIO SALAMA.. BORA KUWA NA UHAKIKA NA 200K KILA MWEZI AISEE
Ulizaliwa na hiyo kazi?Kwa attitude hii nakushauri mrembo usithubutu kuacha kazi
Nyumba za kupanga mtaji wote huo unatoa wapiKwa wale walioajiriwa,changamoto kubwa waliyonayo ni usimamizi, na hili ndilo linawarudisha nyuma.Na wengi kwa walioajiriwa wanaweza kuwa wanafikiria kuanzisha biashara ambazo haziitaji usimamizi mkubwa,mfano nyumba za upangaji n.k.kutokana na hali hiyo mtu anajikuta anaajiriwa mpaka mwisho wa uhai wake.
EcosystemKujiajiri ndio njia pekee ya kujikwamua kiuchumi katika mazingira yetu (sijui nchi za wenzetu ikoje). Kuajiriwa ni utumwa mamboleo na ni unyonywaji.
Ni vizuri wanyonge wakitumia ajira kama sehemu ya kutaftia kianzio ili baadae wafungue miradi yao ya kuwakwamua.
Wahenga walisema mtumikie kafiri upate mradi wako. Sio umtumikie kafiri maisha yako yote.
Hata hivyo sio kila mtu anaweza kujiajiri kuna watu wameumbwa kuwa watumishi wa wengine na mtu wa aina hiyo hata akipata mtaji kamwe hawezi kupata ujasiri wa kuanzisha mradi wake yeye ni tegemezi wa ajira maisha yake yote amepoteza hapa anatafta pengine ilimradi tuu hawezi kufanya kazi yake mwenyewe.
NIMECHAGUA KUBAKI KIBARUANI, BIASHARA ATAFANYA MKE WANGU
Thanks,kwa darasa huruJiungeni na Upwork kwa jina lingine ni fiverr iko professional sana zaidi ya freelancer japo kuwa verified inataka uwe na profile imeshiba maana hawataki tena watu wabanane kugombea kazi ila ni nzuri sana nilisistiza freelancer kwa sababu ni rahisi kila mtu kujiunga.
Emb naomba kuijua hii mkuu!!Kuna trancription platform nilijiunga wanalipa vizuri karibia $3 kwa nusu dakika lakini kila mara nilikuwa ninahenyeka maana jinsi watu wanavyozungumza ninashindwa kungámua maneno mengi wanayoongea.
Na pia kuna format maalumu ya kutumia kutranscribe ilikuwa inanitoa knockout file moja nahangaika nalo mpaka akili inasizi. nilifanya kazi mwezi tu nika quit ila kwa mtu anayeweza kule rahisi kutengeneza ela maana kwa siku anaweza transcribe hata audios zake 10-15 akaondoka na $30-50