Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

TUSIDANGANYANE KUACHA KAZI KWA AWAMU HII???? TRA WENYEWE WANAPUMULIWA MGONGONI ILI NAO WAWAPUMULIE WAFANYABIASHARA MGONGONI, HUKO NAKO SIO SALAMA.. BORA KUWA NA UHAKIKA NA 200K KILA MWEZI AISEE
 
TUSIDANGANYANE KUACHA KAZI KWA AWAMU HII???? TRA WENYEWE WANAPUMULIWA MGONGONI ILI NAO WAWAPUMULIE WAFANYABIASHARA MGONGONI, HUKO NAKO SIO SALAMA.. BORA KUWA NA UHAKIKA NA 200K KILA MWEZI AISEE
Hatuwezi tukawaza wote sawa.

Ndio maana pia watoto wa familia moja wanakuwa watu wazima wengine wanakuwa matajiri wengine wanabaki masikini

Ndio maana wale uliosoma nao shule/chuo kimoja mpo tofauti

Ndio maana wastaafu wengine wanafulia mpaka unawahurumia lakini wengine wapo vizuri, japo wote walifanya kazi moja kwa mazingira yanayofanana

Kwa hiyo ni uchaguzi wa kila mtu
 
NIMECHAGUA KUBAKI KIBARUANI, BIASHARA ATAFANYA MKE WANGU
 
TUSIDANGANYANE KUACHA KAZI KWA AWAMU HII???? TRA WENYEWE WANAPUMULIWA MGONGONI ILI NAO WAWAPUMULIE WAFANYABIASHARA MGONGONI, HUKO NAKO SIO SALAMA.. BORA KUWA NA UHAKIKA NA 200K KILA MWEZI AISEE
Sio kwa uoga huo the baba 200k. Hiyo kazi ni ya kwako? Kama ni ya mtu mwingine hapana aisee.
 
Kwa wale walioajiriwa,changamoto kubwa waliyonayo ni usimamizi, na hili ndilo linawarudisha nyuma.Na wengi kwa walioajiriwa wanaweza kuwa wanafikiria kuanzisha biashara ambazo haziitaji usimamizi mkubwa,mfano nyumba za upangaji n.k.kutokana na hali hiyo mtu anajikuta anaajiriwa mpaka mwisho wa uhai wake.
Nyumba za kupanga mtaji wote huo unatoa wapi
 
Kujiajiri ni wazi kabisa unapata uhuru wako uliokamili kabisa kwa sababu nyingi sana.
1. Kuweza kufanya kazi/biashara ambayo ni moja ya vitu unavyovipenda sana hapa namaanisha hobby ya mtu husika. Kufanya biashara ambayo ni hobby utafanya bila kinyongo na kwa kujituma sana.
2. Kufanya biashara yako unaweza amua kiwango cha faida kulingana na mtaji wako kwa kujituma zaidi na hivyo kuongeza kipato cha kila siku na mwezi.
3. Kufikia malengo /ndoto zako ulizojiwekea kwa muda mrefu sanaa.
Ukiacha na faida nyingi pia kuna changamoto nyingi sana ambazo zinafanya tunashindwa kufikia malengo yetu. Mfano ukosefu wa elimu ya ujasiriamali, kutoatenganisha biashara na mfanyabiashara. Vitu ambavyo hufanya biashara nyingi kufa mapema na kushindwa kufikia malengo.
Kabla hatujafanya maamuzi ya biashara ya kufanya basi tufanye uchunguzi juu ya biashara tunayotaka kufanya, kujua soko letu, kuhakikisha biashara yetu haiingiliani na mambo yetu binafsi kama familia na marafiki.
 
Jamani mimi nakubaliana na Biashara kuwa bora zaidi kuriko ajira,na kwangu mimi ni Mara 100 kuwa na biashara inayonipa 500,000 kwa mwezi kwa uhakika kuliko kupewa mshahara wa 1m kwa mwezi.

Lakini sasa habari ya kuacha kazi kujiajili hasa kipindi hiki ambacho kundi la wafanya biashara wanafunga na kuamua kurudi kijijini na wafanyakazi ndio wanaotamba mjini hapa.

Ulipie frame,lessen,kodi na nauri au pango la nyumba ni shiiiiida wakuu.

Tusiache kazi kwa panic tutajuta

Ikumbukwe kama unaweza kufanya kazi kwenye ajira kwa makini bado una muda wa kufatilia biashara mpaka isimame vinginevyo utashinda kwenye biashara yako unapiga miayo
 
Kujiajiri ndio njia pekee ya kujikwamua kiuchumi katika mazingira yetu (sijui nchi za wenzetu ikoje). Kuajiriwa ni utumwa mamboleo na ni unyonywaji.
Ni vizuri wanyonge wakitumia ajira kama sehemu ya kutaftia kianzio ili baadae wafungue miradi yao ya kuwakwamua.
Wahenga walisema mtumikie kafiri upate mradi wako. Sio umtumikie kafiri maisha yako yote.
Hata hivyo sio kila mtu anaweza kujiajiri kuna watu wameumbwa kuwa watumishi wa wengine na mtu wa aina hiyo hata akipata mtaji kamwe hawezi kupata ujasiri wa kuanzisha mradi wake yeye ni tegemezi wa ajira maisha yake yote amepoteza hapa anatafta pengine ilimradi tuu hawezi kufanya kazi yake mwenyewe.
 
Ecosystem
 
umechagua chaguo jema kila binadamu ana mwisho wke wa kufikiri kuna wengine wanafikiri tofauti japo kila kitu kinalipa ila fanya kile moyo wako unachokipenda
NIMECHAGUA KUBAKI KIBARUANI, BIASHARA ATAFANYA MKE WANGU
 
Jiungeni na Upwork aqmqni ilikuwq ikijulikana kama oDesk ziko professional sana zaidi ya freelancer japo kuwa verified inataka uwe na profile imeshiba maana hawataki tena watu wabanane kugombea kazi ila ni nzuri sana nilisistiza freelancer kwa sababu ni rahisi kila mtu kujiunga.
 
Jiungeni na Upwork kwa jina lingine ni fiverr iko professional sana zaidi ya freelancer japo kuwa verified inataka uwe na profile imeshiba maana hawataki tena watu wabanane kugombea kazi ila ni nzuri sana nilisistiza freelancer kwa sababu ni rahisi kila mtu kujiunga.
Thanks,kwa darasa huru
 
Kuna trancription platform nilijiunga wanalipa vizuri karibia $3 kwa nusu dakika lakini kila mara nilikuwa ninahenyeka maana jinsi watu wanavyozungumza ninashindwa kungámua maneno mengi wanayoongea.
Na pia kuna format maalumu ya kutumia kutranscribe ilikuwa inanitoa knockout file moja nahangaika nalo mpaka akili inasizi. nilifanya kazi mwezi tu nika quit ila kwa mtu anayeweza kule rahisi kutengeneza ela maana kwa siku anaweza transcribe hata audios zake 10-15 akaondoka na $30-50
Emb naomba kuijua hii mkuu!!
 
Back
Top Bottom