Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
mi niliajiriwa kwasasa nimejiajiriUkifukuzwa kazi.. sio kwamba utalisha familia maneno au hewa. Utatafuta hela kwa hali na mali ya kulisha familia. Na itakuwa ni mbinde kubwa.
Sasa NI KWA NINI USIJIANDAE KABISA BADALA YA KUSUBIRI HIYO MBINDE IJE? Ni kwa nini usiweke mambo sawa kimtaji ili kupunguza hayo matatizo? Kuacha tu kazi wakati hauna mtaji hata asilimia fulani ni KUKOSA MIPANGO. Na pasipo mipango mizuri, BIASHARA HAIFANIKIWI Mkuu.
Wakati naacha kazi nilichukulia kama dharura