Vijana watajitokeza kwa wingi sana kumpigia kura Rais Samia uchaguzi Ujao, Ni uchaguzi utakaoweka Historia ya vijana kujitokeza kwa wingi kupiga kura

Mitaani watu Wana Imani na matumaini makubwa Sana na mh Rais hasa kutokana na juhudi zake kubwa anazozifanya katika kuwakwamua kiuchumi watanzania
 
Mitaani watu Wana Imani na matumaini makubwa Sana na mh Rais hasa kutokana na juhudi zake kubwa anazozifanya katika kuwakwamua kiuchumi watanzania
Mtaa wa wapi huo ?!!! Huku gizani kwenye mgao wa umeme hence watu biashara zao kudorora au huku waku wasikosogeleana kwa kupunguza kuoga ili wasinukiane kwa kukosa maji sababu ya mgao...

Kweli wametua watu ndoo kichwani !!!!
 

Kama ataona wavuvi naoniwatu haposawa
 
Hamna kijana wa kukipigia kura chama cha majizi. Mtu mwenye akili timamu hawezi kwenda kupoteza muda wake kusimama kwenye mstari kisha kura zichezewe.
Naunga mkono hoja, miaka 60 ya uhuru bado watu wanazindua matundu ya choo nikapange foleni kuwapigia kura??? huko ni ku demonstrate your own ignorance
 
2025 Rais Samia Suluhu hana mpinzani maana amefanya maendeleo mengi sana ikiwemo ajira, kutoa mikopo yenye masharti nafuu, amefanya maendeleo yanayomlenga direct mwananchi ameboresa sekta ya afya, elimu, miundombinu, maji pia amepunguza gharama za kilimo
 
Bila shaka kutakuwa na matengenezo yanayofanyika japo hamjapewa Taarifa
Hakuna matengenezo ya miezi miwili mfululizo, Leo wanakata mchana unarudi usiku, kesho wanakata usiku, Mimi binafsi simpigii kura mtu yoyote kura yangu ya mwisho ilikuwa 2020 Sina mpango wakupiga kura tena..
Najua tupo wengi sana ukitaka kuamini wengi wanawaza kama Mimi angalia idadi ya likes hapa [emoji3596]
 
Kwa hizi tozo, mgao wa maji na umeme mma gwa gwitu [emoji849]
 
Hii ngo'mbe mda wote n mama Samia mama samia yani mpka inakera sijui wanasifia nini na sisi tunao ishi huku kwamba hutuoni upuuzi wa serikal yake hebu jiangalie we mpuuzi na maneno yako hayo yakiboya boya
 
Hii ngo'mbe mda wote n mama Samia mama samia yani mpka inakera sijui wanasifia nini na sisi tunao ishi huku kwamba hutuoni upuuzi wa serikal yake hebu jiangalie we mpuuzi na maneno yako hayo yakiboya boya
Unaweza kuchangia bila matusi, Hata hivyo nimekusamehe na nitaendelea kukusamehe tu hata Kama utaendeleaa kunitukana na kuniita mbuzi au ng'ombe bado nitaendelea kuheshimu michango yako
 
yaani ni umaskini tu kuajiriwa ni utumwa sana kwa mtindo huu utajiri tutausikia redioni na kwenye tv tu vijana someni sana mpate ujuzi wa fursa za kibiashara ndo mtakuwa atajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…