Zuzu😲😲Kuna Watu wajinga Sana. Kwa hiyo Kwa Akili zako za kunguni unafikiri Bikra ndio kila kitu ndani ya Ndoa?
Uzuzu ni kipaji.
DuhMughonile!
Habari za siku nyingi Wakubwa Kwa wadogo. Mzee Bikra nimerejea.... nitaanza na hawa viumbe wakataa Ndoa.
Ninyi mnaokataa ndoa, Oeni Wanawake Bikra.
Kama kuna Mwanamke Bikra na anataka kuolewa, muoe.
MTU akikuuliza Kwa nini hauoi mwambie bado haujapata Mwanamke Bikra.
Mwanamke asiyebikra hata ukimuoa huyo sio Mkeo.
Inashangaza mtu kumuita MKE Mwanamke ambaye hakumkuta Bikra, sijui no ukichaa au ushamba.
Bikra matter's
Zuzu😲😲
Wee kaa mbari na hii post, endelea kuandika zile pumba zako ndefu zisizo na maana.
U-jobless unakusumbua
Mkuu, bikra zinatoka wakiwa darasa la tanoOeni Wanawake Bikra
Kafie Mbele, ujuaji mwingi kumbe mshamba tuu
Mfano mimi nimeshabandua 4 msinihukumu kwakuwa sikuzingua/sikuwaacha mimi, wao wenyewe ndio walizingua kwahiyo ikitokea ntampata bikra sawa, akikosekana ntaoa yeyote kikubwa aitambue nafasi yake kama mke.Vijana wachache ndio wamebahatika kuzitoa hizo Bikra. Asilimia kubwa ya Vijana hawajawahi kukutana na Wanawake Bikra.
Sasa hivi unaweza ukapata ukimwi kabla hujakutana na mwanamke bikiraBikra zimejaa mnashindwaje kuoa?
Au umeshazoea makurumbembe