Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,323
- 10,813
- Thread starter
- #41
Tunachukua kwa sababu ni sisi sisi tulio watoa hizo bikra yani ni kama tu mbwa akiamua kula mkia wake .
Bikra inatolewa na Mwanaume mmoja, huwezi kusema tunaozitoa ni Sisi, Wakati anayetoa bikra ni mmoja.
OA Mwanamke Bikra vinginevyo jiunge na hao wapuuzi wakataa Ndoa