Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

Wanaume mnajidharaulisha sana. Mada nyingi mnazoanzisha zinadhihirisha uwezo wenu wa kufikiri. Hiyo bikra huyo binti alijitoa mwenyewe? Mbona mada nyingi humu ni za kuwakashfu wanawake? Hivi tukianza kuwatukana wanaume mnadhani mtatuweza?

Hivi tukija na conclusion kwamba asilimia kubwa ya wanaume ni mapungasese mtabisha? Your thinking capacity is below zero
Hauna hiyo nguvu ya kutukana mwanaume Wanawake kwa Wanawake ndio mnaweza kutukanana
 
Back
Top Bottom