Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Hakuna mwanaume hapa🤣 aunty joka jioni njema sasa unatukana mwanaume mwenzio tena. Robert Heriel njoo ujipambanie mwenyewe 🤣
Nimeshampuuza huyo. Alikunywa maji Wakati anazaliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mwanaume hapa🤣 aunty joka jioni njema sasa unatukana mwanaume mwenzio tena. Robert Heriel njoo ujipambanie mwenyewe 🤣
🤦🏽♀️🤣aah nimeamini 🤣Nimeshampuuza huyo. Alikunywa maji Wakati anazaliwa
Naona unajihami😂Walioolewa Bikra na wenye Bikra hawezi leta miguu Yao hapa, Ila mikurumbembe Uzi huu kwao ni vita.
Na humu mtajitokeza mno, nawasubiri.
Karibu sana mkuu, watu humu wanataka kujifariji tu, na huu ni ukweli mchungu kama unataka mke oa bikra.Nimerudi Rasmi, kuna Watu walianza kusahau.
😅😅😅😅 No further commentSi unaona mwandiko wake !!.
Hakika ukioa bikra lazima utakuwa na afya njema ya akili, waliooa makurumbembe watakuja kupinga.Kati ya watu 10 walioolewa wakiwa na bikra ni mmoja tu anaweza kuja kukengeuka mbele ya safari.
Ila katika watu 10 walioolewa bila bikra hao wote wana asilimia kubwa ya kuja kukengeuka uko mbele.
Asilimia kubwa ya waliooa wanawake wasio na bikra hawana furaha kabisa ikitokea amesafiri kwenda mbali wanakuwa na wasiwasi mno kuja kuchapiwa na ex wao
NB:vijana oeni bikra kwa afya ya akili na ustawi wa familia
Kati ya watu 10 walioolewa wakiwa na bikra ni mmoja tu anaweza kuja kukengeuka mbele ya safari.
Ila katika watu 10 walioolewa bila bikra hao wote wana asilimia kubwa ya kuja kukengeuka uko mbele.
Asilimia kubwa ya waliooa wanawake wasio na bikra hawana furaha kabisa ikitokea amesafiri kwenda mbali wanakuwa na wasiwasi mno kuja kuchapiwa na ex wao
NB:vijana oeni bikra kwa afya ya akili na ustawi wa familia
Na we umeoa bikra?Iko hivyo.
Subiri uone Vita humu
Sijaona sehemu ambayo mtoa mada amekosea.Huyo hariel unaemsema anawakilisha kundi la wanaume wenye akili. Mimi sio supporter wa kataa ndoa ila mada za heriel kwenye huo upande anazielezea kwa hekima hata kama tunapingana kimtazamo ila ni mtu anaejipambanua kwa hoja.
Wengi wenu mna kazi ya kutukana na kudharau wanawake ila sikulaumu sana. Ni ulipotoka na kulelewa kunakufanya uite wanawake wengine vyuma chakavu. Ulionja kutu nini?
Mkuu, we una afya njema kwakuwa ulioa bikra?Hakika ukioa bikra lazima utakuwa na afya njema ya akili, waliooa makurumbembe watakuja kupinga.
Katika ile comment niliyoku-quot, hukuweka neno "asilimia kubwa" , uliongelea wanaume in general.Ndo maana naandika asilimia kubwa. Maandishi na mawazo yako yataku group kwenye asilimia husika.
Na nyie msitongoze wanawake na kuwaomba mechi hadi muwaoeSijaona sehemu ambayo mtoa mada amekosea.
Ameshauri wasichana mjitunze adi ndoa
Kashauri pia wanaume tuoe wanawake bikra ili tuwe na amani na furaha na ndoa zidumu
NB kama ulitolewa bikra na hukuolewa nae pambana na hali yako.
Wajinga watakuja kupinga.Walawi 21:13-19
Biblia Habari Njema (BHN)
13. Kuhani mkuu aweza tu kumwoa msichana ambaye ni bikira.
14. Haruhusiwi kuoa mwanamke mjane, mwanamke asiye bikira, wala kahaba. Ni lazima aoe bikira kutoka watu wake mwenyewe
15. asije akawatia unajisi watoto wake mwenyewe. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu niliyemweka wakfu.”
Na kama mtu asipopata ndoa?Sijaona sehemu ambayo mtoa mada amekosea.
Ameshauri wasichana mjitunze adi ndoa
Kashauri pia wanaume tuoe wanawake bikra ili tuwe na amani na furaha na ndoa zidumu
NB kama ulitolewa bikra na hukuolewa nae pambana na hali yako.
Hivi tukija na conclusion kwamba asilimia kubwa ya wanaume ni mapungasese mtabisha? Your thinking capacity is below zero
Umeona hicho nilichobold? Kuna tofauti gani kati ya neno baadhi na asilimia kubwa? Mada ya ngapi hii naisoma leo inakashfu wanawake?Katika ile comment niliyoku-quot, hukuweka neno "asilimia kubwa" , uliongelea wanaume in general.
Alaf next time, tumia neno "baadhi" na sio "asilimia kubwa", maana wenye mitazamo ya aina yake wako wachache
Me nimeoa manzi niliyemtoa bikra na nina mwaka ndani ya ndoa hakuna kuwa na hofu na maex wala kulinganishwa nakula kitu na box, kitu mang'anyu😋😋😋Na nyie msitongoze wanawake na kuwaomba mechi hadi muwaoe