Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Endeleeni kututukanaHauna hiyo nguvu ya kutukana mwanaume Wanawake kwa Wanawake ndio mnaweza kutukanana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleeni kututukanaHauna hiyo nguvu ya kutukana mwanaume Wanawake kwa Wanawake ndio mnaweza kutukanana
Ndo maana naandika asilimia kubwa. Maandishi na mawazo yako yataku group kwenye asilimia husika.Hebu tutake radhi mrembo. Yani mawazo ya mtu mmoja ndio yadhalilishe wanaume wote? Hapana!. Kama ni kudhalilika,nasi anajidhalilisha mwenyewe, binafsi siwezi kuingia kwenye lawama za ujumla 😅😅
Kazidisha ujinga mkuu@Blessed ukijibu kwa hoja bila kuweka hisia ataona mapungufu ya uzi wake
Ndo maana naandika asilimia kubwa. Maandishi na mawazo yako yataku group kwenye asilimia husika.
Naunga mkono hoja 100%Mughonile!
Habari za siku nyingi Wakubwa Kwa wadogo. Mzee Bikra nimerejea.... nitaanza na hawa viumbe wakataa Ndoa.
Ninyi mnaokataa ndoa, Oeni Wanawake Bikra.
Kama kuna Mwanamke Bikra na anataka kuolewa, muoe.
MTU akikuuliza Kwa nini hauoi mwambie bado haujapata Mwanamke Bikra.
Mwanamke asiyebikra hata ukimuoa huyo sio Mkeo.
Inashangaza mtu kumuita MKE Mwanamke ambaye hakumkuta Bikra, sijui no ukichaa au ushamba.
Bikra matter's
Kazidisha ujinga mkuu
Huyo hariel unaemsema anawakilisha kundi la wanaume wenye akili. Mimi sio supporter wa kataa ndoa ila mada za heriel kwenye huo upande anazielezea kwa hekima hata kama tunapingana kimtazamo ila ni mtu anaejipambanua kwa hoja.Endelea kujifariji na hadithi zako kama huyo mpuuzi sijui Hariel,
Ni upuuzi kuoa Mwanamke asiye na Bikra.
Punga ni hao wanaookota marukumbembe yaliyochakaa Wakati kuna vyuma vipya
We unapangia mwanaume rijali aoe mwanamke wa namna gani unajiona mzima? Nibishane na mke mwenza weye saizi huo mda naupata wapi. Jibishie mwenyeweWalioolewa Bikra na wenye Bikra hawezi leta miguu Yao hapa, Ila mikurumbembe Uzi huu kwao ni vita.
Na humu mtajitokeza mno, nawasubiri.
Basi nenda wakakuoe wewe maana unaonekana umejitunza sana.Unataka niwaambie waoe mikurumbembe?
Dunia inavioja
Huyo hariel unaemsema anawakilisha kundi la wanaume wenye akili. Mimi sio supporter wa kataa ndoa ila mada za heriel kwenye huo upande anazielezea kwa hekima hata kama tunapingana kimtazamo ila ni mtu anaejipambanua kwa hoja.
Wengi wenu mna kazi ya kutukana na kudharau wanawake ila sikulaumu sana. Ni ulipotoka na kulelewa kunakufanya uite wanawake wengine vyuma chakavu. Ulionja kutu nini?
Do u also wanna get paid, bitch ?Utajua mwenyewe
Walawi 21:13-19
Biblia Habari Njema (BHN)
13. Kuhani mkuu aweza tu kumwoa msichana ambaye ni bikira.
14. Haruhusiwi kuoa mwanamke mjane, mwanamke asiye bikira, wala kahaba. Ni lazima aoe bikira kutoka watu wake mwenyewe
15. asije akawatia unajisi watoto wake mwenyewe. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu niliyemweka wakfu.”
Hakuna mwanaume hapa🤣 aunty joka jioni njema sasa unatukana mwanaume mwenzio tena. Robert Heriel njoo ujipambanie mwenyewe 🤣Wewe na huyo Hariel ni wapuuzi tuu.
ATI hekima😲😲
Kwa hiyo mkipata Watu wakuwachana ukweli mchungu mnawaona wanadharau, subirini hao jobless wafanye hiyo kazi ya kuwaperemba,
Hakuna mwanaume hapa🤣 aunty joka jioni njema sasa unatukana mwanaume mwenzio tena. Robert Heriel njoo ujipambanie mwenyewe 🤣
Huyo ni mwehu maisha yamemchapa stress anamalizia kwa wanawake.We unapangia mwanaume rijali aoe mwanamke wa namna gani unajiona mzima? Nibishane na mke mwenza weye saizi huo mda naupata wapi. Jibishie mwenyewe