Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

Basi mpunguze kututupia zigo la lawama wadada. Unakuta mtu anavimba hapa na huko kala vitoto kibao alafu badae anakuja ooh nataka bikra, bikra hiyo itoke wapi? Wataendelea kupata wa kufanana nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi kwenye swala la bikra siwezi mtupia lawama zote mwanamke.

Mwenye lawama hapa kubwa ni sisi wanaume, sababu mara nyingi wanaotolewa bikira bado wanakuwa wadogo hata kujitambua bado.
 
Binafsi kwenye swala la bikra siwezi mtupia lawama zote mwanamke.

Mwenye lawama hapa kubwa ni sisi wanaume, sababu mara nyingi wanaotolewa bikira bado wanakuwa wadogo hata kujitambua bado.
Kama hajitambuhi huyo alikosa malezi mema na hafai kuwa mke, mbona kuna wasichana wamejitunza na hawakukubali kudanganywa kizembe.
 
Back
Top Bottom