Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

Watanipata wapi vijana wenyewe mabega yashavunjwa

Nani atafute Kurumbembe. Ninyi tunajua mmejaa kila Kona, Wanawake wasio na Bikra hakuna anayewatafuta Kwa sababu mpo kama udongo usio na rutuba.
Ukiwa na Bikra ndio unatafutwa kama Masihi ya dhahabu na kupatikana ni shughuli.

Sasa wewe na Yule aliyepo pale Sinza meeda mnatofauti ipi?
 
Wanawake mabikira utawakuta peponi tena 70 kwa idadi yao, kwa nn uhangaike kutafuta bikira mmoja tu ktk nchi ya Dr SSH?

Kama una wazimu endelea kusaka aliye bikira 😁😁

Kumbe peponi napo Mikurumbembe haitakiwi? Wapo Wanawake Bikra wenye uanamke wao
 
Unadhani kila mtu anaishi kama mkeo? Wengine tuna heshima zetu. Au unaona jf ni kama danguro
 
Unadhani kila mtu anaishi kama mkeo? Wengine tuna heshima zetu. Au unaona jf ni kama danguro

Heshima ya ukurumbembe ndio naisikia Leo Kutoka Kwako. Maria Mama wayesu heshima yake alikutwa na Bikra, na Wanawake wengine wengi walioolewa wakiwa na Bikra wanaheshima, lakini tangu lini Kurumbembe likapewa heshima?

Uliwahi sikia danguro la Wanawake Bikra? Mikurumbembe ndio inamadanguro
 
Anioe mara ngapi sasa🤣🤣🤣 hivi we unajielewa kweli

Sasa si ndio pungasese Kwa Sababu kaoa Kurumbembe. Hakuna mwanaume anayejitambua atakayemuita Mwanamke MKE ambaye hakumkuta Bikra. Hiyo haipo.
 
Acha kutetea Upumbavu mtoa Mada yupo sahihi huwezi kuoa mzinzi ambaye Hana bikra labda awe kafiwa na mme wake tofauti na hapo ni ujinga kuoa Malaya walioshindwa kujitunza na kugawa uchi Kama Njugu.
 
Acha kutetea Upumbavu mtoa Mada yupo sahihi huwezi kuoa mzinzi ambaye Hana bikra labda awe kafiwa na mme wake tofauti na hapo ni ujinga kuoa Malaya walioshindwa kujitunza na kugawa uchi Kama Njugu.
Shukuru Mungu nimetoka kusali ningekupa neno moja ungeenda kumuomba msamaha mama yako? Kwanza yeye alikutwa bikra?
 
Shukuru Mungu nimetoka kusali ningekupa neno moja ungeenda kumuomba msamaha mama yako? Kwanza yeye alikutwa bikra?
Jamani bikra sio dhambi mtoa maada Yuko sahihi ndoa nyingi zinachangamoto kwasababu ya haya maagano ya wanawake waliyopewa kwasababu kiimani mwanaume akitembea na mwanamke humpa nafsi yake xo imagine wanamke ametembea na wanaume 50+ na hajatubu Bado kwa mungu wake na wewe unakuja kuoa kweli mtadumu hapo sio rahisi lazima uchapiwe tu
 
HUU NI UKWELI KWA SEHEMU KUBWA

NILIOWABIKIRI WANANITAFUTA JAMANI WANANITAFUTA

Ninahesabu wale ni wake zangu
 
Kwanini umuongelee mwanamke tu?? Kwani mwanaume unvyotembea na wanawake 50 hujiwekei hayo maagano? Nyie kwenye ngono mmehalalishwa na nani kufanya na watu wengi? Mwanaume unavyotembea na wanawake wengi unajiunganisha nao kiroho vile vile msituchanganye
 
Unaongelea kuhusu bikra wakati watu wanaoa wenye watoto na maisha yanasonga
 
Naweza nikasema hivi.Hili ndio tatizo Kubwa la wanawake wengi ambao walishatolewa bikra zao.
Wanawake ambao hawana Bikra hata ukiwa nae kwenye mahusiano ataanza kukulinganisha na yule aliyekuwa nae Mwanzo kwa kila kitu.
Unaweza ukafanya hivi yeye akaanza kuwa na vinyongo na hasira zisizo na maaana Huku akijisemea ya kuwa yule wa mwanzo alikuwa hamfanyii hivi.
Hiyo ndio changamoto Kubwa ya wanawake wengi wasio Kuwa na Bikra.Na hii hata kama Kuna wanawake wengine waiepuke sana hii tabia.

Ila wanawake ambao Wana bikra ni wanawake ambao kweli ukiwa nae anatulia na kukuheshimu hakuna mahala pa kukulinganisha na mtu Wala mavinyingo au mahasira ya Ovyo wanakuwa hawana.

Huo ni mtazamo wangu,na hata nikiwa kwenye mahusiano na mtu nikijua Fika sijamkta Bikra lazima niishi nae kwa tahadhari ikiwemo umakini Mkubwa wa kutambua tabia Zake vyema.Akianza dharau na kunilinganisha na atokako basi mapema sana namktaa.Ni heshima sana kumpata mwanamke na kukusikiliza siku zote na kukuheshimu hii ni nzuri sana.Ila Hawa wazoefu ni kweli Wana changamoto zao.
 
This is pointless, wewe bikra tuwatoe wenyewe halafu tuje tuwalaumu. This is illogical, atokee mwanaume asiyelala na mwanamke hata mmoja maishani mwake ndio anaqualification za kudai hicho kitu. Otherwise its nonsense. Ngono ilikatazwa kwakila jinsia kabla ya ndoa kwaupande wa vitabu vya dini na kwenye mila na desturi zetu. Wewe ninani wakumuhukumu mwenzako. Let's be logical like real men, sio kuwa petty as children. Kama mmekosa pesa za kuwatunza wake zenu semeni otherwise this point is stupidity, leteni point zakueleweka kwanini hamtaki kuoa.
 
Bora useme wewe labda wataelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…