Bado utabakia hauna point kwakuwa umehukumu upande mmoja na ukaacha upande mwingine. Aliyebora na asimame, you do the damage you pay for the damage. Sisi ni wanaume basi tuwe logical, hukumu kotekote lasivyo hunatafuta na watu wa haki sawa au women empowerment.Hivi kwa mtu msafi anayejitambua ambaye sio mzinzi anaweza kuoa Mwanamke ambaye hana bikra kuanza kushare uchafu na mikosi?
Kijana bila bikra endelea kukataa ndoa acha wachafu na wazinzi waoane wao kwa wao.
π€£π€£π€£au basiWewe ulowachafua unataka awaoe nani na nani ashee mikosi yako?
Wewe umeyavunja, what makes you special?Hakikisha unaoa bikra usivunje maandiko usikbali kushare mikosi na Malaya yoyote .
Kwa hiyo na wewe bikraMimi sijamchafua mtu na Kuna Malaya Hana bikra anataka ndoa eti nimtolee posa nimemtimua yupo na 21 yrs sipendi uchafu
Mamako aliolewa akiwa bikira?Hivi kwa mtu msafi anayejitambua ambaye sio mzinzi anaweza kuoa Mwanamke ambaye hana bikra kuanza kushare uchafu na mikosi?
Kijana bila bikra endelea kukataa ndoa acha wachafu na wazinzi waoane wao kwa wao.
Point nyingi ulizokuwa unataja kukataa ndoa nilizikubali, ila hapa boss umechemka. If you want nature to take it's course then let women wawe dhaifu hivyohivyo kwamaana akishindwa na majaribu kama Hawa usimlaumu, kusema kuwa akicheat usilalamike, akiwapasua kichwa ukae kimya hivyohivyo maana sio wao ni nature na hormones zinazoleta mood swings. Be careful of what you wish for. Wanaume tumeumbwa kwa taswira ya Mungu na tunajisifu kwahilo na Mungu hajawahi kumuonea mtu wala kutenda dhambi basi nature yako naiwe hivyohivyo lasivyo usihukumu kwakutumia nature maana utaanza kufyekwa wewe vibaya sana kama alivyofanywa Adam kwa Hawa.Mkuu ni asili yetu ilivyo tu tunakula malaya ila tunataka mama watoto msafi atulie nymbani.
Kwanza inapendeza ujieleze wewe mwenyewe iwapo ni mdogo hujawahi kuoa au umewahi kuoa ndio unakataza kuoa aina hiyo ya mwanamke. Sisi wenye wake 4 tunaweza kukusoma vyema na kukushauri pia.Usije ukatoa ushauri ambao kwa wengine una madhara na haufai kimaumbile.Hivi kwa mtu msafi anayejitambua ambaye sio mzinzi anaweza kuoa Mwanamke ambaye hana bikra kuanza kushare uchafu na mikosi?
Kijana bila bikra endelea kukataa ndoa acha wachafu na wazinzi waoane wao kwa wao.
Mkuu ni kweli lakni inabin tubadilike , karma haijawah kuacha kulipq akipandacho mtu ndicho akivunacho.Point nyingi ulizokuwa unataja kukataa ndoa nilizikubali, ila hapa boss umechemka. If you want nature to take it's course then let women wawe dhaifu hivyohivyo kwamaana akishindwa na majaribu kama Hawa usimlaumu, kusema kuwa akicheat usilalamike, akiwapasua kichwa ukae kimya hivyohivyo maana sio wao ni nature na hormones zinazoleta mood swings. Be careful of what you wish for. Wanaume tumeumbwa kwa taswira ya Mungu na tunajisifu kwahilo na Mungu hajawahi kumuonea mtu wala kutenda dhambi basi nature yako naiwe hivyohivyo lasivyo usihukumu kwakutumia nature maana utaanza kufyekwa wewe vibaya sana kama alivyofanywa Adam kwa Hawa.
Hiyo ndiyo main point, tubadilike. Sio mwanamke tu bali pia mwanaume lasivyo hatutakuwa tofauti na wao, mtu anayesema wanawake kuwa hivi ni kwasababu ya kupwaya kwenye uanaume wa kumsimamia mwanamke ilihali mtoto huyo wa kike alianza kulelewa na nyinyi wazazi kwanza mnaowashutumu vijana kabla ya kufika kuwa jukumu la mwanaume.Mkuu ni kweli lakni inabin tubadilike , karma haijawah kuacha kulipq akipandacho mtu ndicho akivunacho.
Ni kwel mkuuHiyo ndiyo main point, tubadilike. Sio mwanamke tu bali pia mwanaume lasivyo hatutakuwa tofauti na wao, mtu anayesema wanawake kuwa hivi ni kwasababu ya kupwaya kwenye uanaume wa kumsimamia mwanamke ilihali mtoto huyo wa kike alianza kulelewa na nyinyi wazazi kwanza mnaowashutumu vijana kabla ya kufika kuwa jukumu la mwanaume.
Sasa kama hujiamini siuachane nao silazima msemezane nao. Yaani nyani haoni...... ,ππππ wewe unamaex mia mwanamke asiwe nao wakati wewe mwenyewe ni mmoja wa maex. Yaani unakubali kushindwa kujiamini maamuzi yako kabisa na mwanamkeπππ. Halafu chief, nilishamwambia mwenzako changia hoja sio kuattack mtu, yaani very petty and childish ujue. Hunijui sikujui, hujui marital status yangu lakini unaniattack personal life yangu, kweli umekosa kabisa hoja ya msingi ya kujibuπππ. Vijana mkue aisee, hivi unapataje nguvu ya kuhukumu mwenzako na kumpunish wakati wewe mwenyewe ni mtuhumiwa, jibu hoja chief, mkue. Unawaza anguko lako kabla hata hujaweka plan yako into motion sasa hilo ni tatizo lingine la psychologia boss
Aisee!!Bikira ipi? Siku hizi unaweza zikosa zote