Sasa kama hujiamini siuachane nao silazima msemezane nao. Yaani nyani haoni...... ,😂😂😂😂 wewe unamaex mia mwanamke asiwe nao wakati wewe mwenyewe ni mmoja wa maex. Yaani unakubali kushindwa kujiamini maamuzi yako kabisa na mwanamke😂😂😂. Halafu chief, nilishamwambia mwenzako changia hoja sio kuattack mtu, yaani very petty and childish ujue. Hunijui sikujui, hujui marital status yangu lakini unaniattack personal life yangu, kweli umekosa kabisa hoja ya msingi ya kujibu😂😂😂. Vijana mkue aisee, hivi unapataje nguvu ya kuhukumu mwenzako na kumpunish wakati wewe mwenyewe ni mtuhumiwa, jibu hoja chief, mkue. Unawaza anguko lako kabla hata hujaweka plan yako into motion sasa hilo ni tatizo lingine la psychologia boss