Kuna Watu wajinga Sana. Kwa hiyo Kwa Akili zako za kunguni unafikiri Bikra ndio kila kitu ndani ya Ndoa?
Uzuzu ni kipaji.
Katika ndoa cha kwanza ni mapenzi. Na hii uja kutokana na hawa wawili kama wanaridhishana. Ni mara chache kukuta ndoa ati imevurugika kwa ajili ya mali au umasikini.
Ndoa nyingi zinavunjika kutokana na uaminifu ndani. Kutokuaminiana utengeneza chuki na visasi katika familia.
Mwanamke mwenye bikra anapoolewa uwa ni ngumu kwake kujua utofauti wa wanaume.
Ni tofauti na binti alie olewa akiwa keshatolewa bikra. Yeye hujua kila aina za kufanywa, na hujua ni nani anae mridhisha. Anaweza akawa kitandani na mmewe lakini akamuwaza mwanaume mwingine tofauti alieisha kuwa nae kimapenzi.
Hapa uwa wanawake watazuga na kujiliza kuonesha anahisia kumbe hakuna chochote. Uwezi jua mwanaume au wanaume walio kuwa nae kabla walimridhisha kivipi?
Kuna watu ni washenzi sana katika mapenzi wanafanya mambo ya ajabu. Nadhani wanaume wengi mnajua mlichowafanyia wanawake ambao walikuwa mademu zenu au hata wale wa mara moja moja.
Wanawake wengine wanachokonolewa kotekote, wanalishwa mbegu za kiume, wanafanya mambo ambayo mtu ni ngumu kumfanyia mkewe.
Sasa fikiria unaoa mwanamke kama huyu, yaani atakuwa anakusanifu tu wewe hujui. Na atatoka ili kuridhisha nafsi yake. Mapenzi ni wendawazimu!
Fikiria uliyomfanyia demu ambae sasa kaolewa na jamaa. Unadhani siku mkikutana atakataa? Atakuwa anawashwa kutamani kufanya ulomfanyia.
Yaani nikifika hapa uwa naona ni heri kuoa bikra, huyu ni mgeni wa mambo na ukimpata kuwa mwaminifu kwake na kumjali ukimuonesha upendo.
Maandiko matakatifu yanasema mwanamke aachwi isipokuwa kwa zinaa. Ni kwanini Biblia imeongelea hayo kuwa mwanamke akitoka nje aachwe? Mungu anajua kwanini ndiyo maana ikawa hivyo.
Jiulize tu hata Yesu Kristo alizaliwa na Bikra Mariam, kwanini single mother asingemzaa Yesu? Au kwanini mwanamke asiye na bikra asingemzaa Yesu?
Kuna siri kubwa unapoowa mwanamke mwenye bikra. Kuna watu wakioa tu maisha yanakuwa mabaya anayumba kiuchumi, kunakuwa na ugomvi usioisha katika familia, kumbe ni mke alomuoa.
Hujui huyu mwanamke amekutana na watu wa namna gani kabla yako. Hivyo katika ulimwengu wa kiroho kazoa na maroho yasiyofaa wakati alipokutana kimwili na wanaume kadhaa, anakuwa anabeba laana au mikosi.
Mapenzi ni tendo la kiroho. Ndo maana yafaa kuwa makini unapotembea na wanawake. Jaribu tu kutoka na mwanamke mwenye bikra. Uone nini kinatokea ktk maisha yako. Harafu tembea na hawa wanawake wanaojichukulia tu uone nini kitatokea ktk maisha yako. Ni utafiti tu.
Kuoa bikra ni Bora zaidi japo kwa sasa kuzipata ni nadra!