Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

Tuanzie hapa dadaako kabokelewa na wahuni wame mwacha msela kamwoa na una mwita shemeji maana yake ume halalisha kuwa ni mkewe acha ujinga kwenye kuoa kuna mambo mengi yana hitajika na sio bikira
 
Sifa ya Kwanza ya MKE Bora lazima umkute Bikra. Sijui Vijana WA siku hizi mmleogwa,
Hivi MKE kama hakujitunza anakuwaje MKE Bora mwenye Akili?
Mkuu waache washupaze shingo.Binafsi naelewa sana unachosema na nakifanyia kazi.Siwez kuoa mwanamke asiye na bikra
 
Labda uzae wakwako ukae nae masaa 24 hadi afikishe umri wa kuolewa ndo umuoe na bikra, napo usishangae house boy alishafanya yake. Siku hizi hadi uarabuni bikra zimekuwa adimu. Swali la nyongeza, dada zako wameolewa na bikra?,au waliowaoa warudishiwe mahari!???
Akili yako ndipo ilipo ishia...bikra ni muhimu hata kama atakuja kuchakatwa huko mbeleni hizo ni changamoto za maisha.. ila bikra ni muhimu
 
Habari ya asubuhi ndugu zangu..

Kama tunavyo fahamu leo ni siku ya wanawake duniani...

Nitoshe kusema bila ya kupepesa macho mwanamke yeyote asie bikra hafai kabisa kulipiwa mahari kamwe usifanye hivyo ewe mwanaume...hana sifa huyo mwanamke na wala mzazi wake hana haki wala heshima tukufu ya kuitisha mahari kwa binti yake asie na bikra, huyo hajatunzwa hivyo hana uhalali kabisa wa kuitisha mahari wala kutolewa mahari.

Huwezi kama mwanaume mmekaa mnaambiwa mahari milion moja au tano ya binti asie na bikra kabisa tena katembea na kila mwanaume na wewe mnachekelea tuu huo ni ujinga..

Nb.. Mahari ilipwe kwa binti alie bikra tuu... Hata kama utakuja kuchapiwa huko mbeleni ni ajali kazini na hayo ndio maisha.. ila kwa asie Bikra hakuna kulipa..kama umempenda chukua ishi nae wakikuambia kuhusu mahari wewe wazungushe tuuu hakuna kutoa

Nimemaliza nawatakia majukumu mema wanaume wenzangu..
Kama unataka mwanamke bikira hakikisha na wewe hujawahi fanya mapenzi
 
HAO WANAWAKE BIKRA NI WASUMBUFU KULIKO USUMBUFU MWENYEW

itokee upate mwanamke sahihi
Naunga hoja...

Wanawake bikra ovyo sana, tena bikra ikishatoka macho yao yanakuwaga juju juu kinoma yaani.
 
Kuna Watu wajinga Sana. Kwa hiyo Kwa Akili zako za kunguni unafikiri Bikra ndio kila kitu ndani ya Ndoa?

Uzuzu ni kipaji.
Katika ndoa cha kwanza ni mapenzi. Na hii uja kutokana na hawa wawili kama wanaridhishana. Ni mara chache kukuta ndoa ati imevurugika kwa ajili ya mali au umasikini.

Ndoa nyingi zinavunjika kutokana na uaminifu ndani. Kutokuaminiana utengeneza chuki na visasi katika familia.
Mwanamke mwenye bikra anapoolewa uwa ni ngumu kwake kujua utofauti wa wanaume.

Ni tofauti na binti alie olewa akiwa keshatolewa bikra. Yeye hujua kila aina za kufanywa, na hujua ni nani anae mridhisha. Anaweza akawa kitandani na mmewe lakini akamuwaza mwanaume mwingine tofauti alieisha kuwa nae kimapenzi.

Hapa uwa wanawake watazuga na kujiliza kuonesha anahisia kumbe hakuna chochote. Uwezi jua mwanaume au wanaume walio kuwa nae kabla walimridhisha kivipi?

Kuna watu ni washenzi sana katika mapenzi wanafanya mambo ya ajabu. Nadhani wanaume wengi mnajua mlichowafanyia wanawake ambao walikuwa mademu zenu au hata wale wa mara moja moja.

Wanawake wengine wanachokonolewa kotekote, wanalishwa mbegu za kiume, wanafanya mambo ambayo mtu ni ngumu kumfanyia mkewe.
Sasa fikiria unaoa mwanamke kama huyu, yaani atakuwa anakusanifu tu wewe hujui. Na atatoka ili kuridhisha nafsi yake. Mapenzi ni wendawazimu!

Fikiria uliyomfanyia demu ambae sasa kaolewa na jamaa. Unadhani siku mkikutana atakataa? Atakuwa anawashwa kutamani kufanya ulomfanyia.

Yaani nikifika hapa uwa naona ni heri kuoa bikra, huyu ni mgeni wa mambo na ukimpata kuwa mwaminifu kwake na kumjali ukimuonesha upendo.

Maandiko matakatifu yanasema mwanamke aachwi isipokuwa kwa zinaa. Ni kwanini Biblia imeongelea hayo kuwa mwanamke akitoka nje aachwe? Mungu anajua kwanini ndiyo maana ikawa hivyo.

Jiulize tu hata Yesu Kristo alizaliwa na Bikra Mariam, kwanini single mother asingemzaa Yesu? Au kwanini mwanamke asiye na bikra asingemzaa Yesu?

Kuna siri kubwa unapoowa mwanamke mwenye bikra. Kuna watu wakioa tu maisha yanakuwa mabaya anayumba kiuchumi, kunakuwa na ugomvi usioisha katika familia, kumbe ni mke alomuoa.
Hujui huyu mwanamke amekutana na watu wa namna gani kabla yako. Hivyo katika ulimwengu wa kiroho kazoa na maroho yasiyofaa wakati alipokutana kimwili na wanaume kadhaa, anakuwa anabeba laana au mikosi.

Mapenzi ni tendo la kiroho. Ndo maana yafaa kuwa makini unapotembea na wanawake. Jaribu tu kutoka na mwanamke mwenye bikra. Uone nini kinatokea ktk maisha yako. Harafu tembea na hawa wanawake wanaojichukulia tu uone nini kitatokea ktk maisha yako. Ni utafiti tu.

Kuoa bikra ni Bora zaidi japo kwa sasa kuzipata ni nadra!
 
Bikra zenyewe mnazitoboa kila kukicha,mnabaka wanafunzi kwa kisingizo cha embe bichi. Mnachezea mabinti za watu kwa kutaka kupata uzoefu wa mapenzi ,hizo bikra mtazisikia kwa wahenga tu
kwani waliotolewa bikra wote walibakwa? wanakubali kuchezewa kabla ya kuolewa hawafai kuwa wake. msimamo wetu ni kuoa bikra tuu.
 
Aisee kazi ipo!we unaetaka kukuta bikra je wewe UNAYO? kila kukicha mna jipya tushawaelewa hamtaki kuoa vile mnawataka kina hakika si mpige kimya kimya tu[emoji57]
 
Mwanamke anaejitukana mwenyewe sio mzima kichwani. Ila mada za kuita wanawake mal*ya, sijui hawana akili ni nyingi tena sana. Na zinaanzishwa na wanaume. So tuna haki ya kutetea. We unataka ninyamaze ili iweje? Lazima niseme. Sasa kama imekuuma kunywa maji. Ila wahusika habari wameipata
kwani wewe unaoa? inakuuma nini waoaji wakitaka bikira?
 
Nataka nikaoe Buza kwa mplange. Hivi huko bikra zinapatikana??

Naomba muongozo mkuu.
 
Aisee kazi ipo!we unaetaka kukuta bikra je wewe UNAYO? kila kukicha mna jipya tushawaelewa hamtaki kuoa vile mnawataka kina hakika si mpige kimya kimya tu[emoji57]

Tupigie kimya vipi
 
Kwa maisha sasa mwanaume kulipishwa mahari ni utapeli wa wazi wazi kabisa kwa sababu wanawake wa leo hawana sifa walizokua nazo wanawake wa jamii ya zamani kipindi ambacho uliwekwa huu utaratibu wa kutoa mahari.

Tunaposema mahari ni shukrani kwa kutunziwa mke maana yake unapewa binti akiwa bado kigoli ambae hajaguswa yaani unaenda kuizindua mbususu wewe mwenyewe maana tukisema matunzo kama kusoma, mavazi, chakula n.k hayo hata mtoto wa kiume anatakiwa kupewa pia.

Iweje nilipishwe mahari wakati sijapita peke yangu? This is unacceptable. Wakati wa ku-negotiate mahari mwanamke aweke wazi wanaume aliotembea nao na mahari igawanywe kulingana na muda ambao walikaa katika mahusiano na kila mwanaume husika.
 
Kwa maisha sasa mwanaume kulipishwa mahari ni utaperi wa wazi wazi kabisa kwa sababu wanawake wa leo hawana sifa walizokua nazo wanawake wa jamii ya zamani kipindi ambacho uliwekwa huu utaratibu wa kutoa mahari.

Tunaposema mahari ni shukrani kwa kutunziwa mke maana yake unapewa binti akiwa bado kigoli ambae hajaguswa yaani unaenda kuizindua mbususu wewe mwenyewe maana tukisema matunzo kama kusoma, mavazi, chakula n.k hayo hata mtoto wa kiume anatakiwa kupewa pia.

Iweje nilipishwe mahari wakati sijapita peke yangu? This is unacceptable. Wakati wa ku-negotiate mahari mwanamke aweze wazi wanaume aliotembea nao na mahari igawanywe kulingana na muda ambao walikaa katika mahusiano na kila mwanaume husika.
Leo ni Oktoba 10, hivyo sishangai vitu kama hivi naunganisha na siku yenu
images (48).jpeg
 
Back
Top Bottom