Joan lewis JF-Expert Member Joined Jan 3, 2019 Posts 993 Reaction score 1,463 Jan 18, 2025 #41 Kama mtu huhitaji kazi au hujii anahitaji msipende kuwakatisha tamaa wanaotafuta wafanyikazi. Iko siku mtajutia Hujuma Hizi za kijinga. Nani haoni mtaani kwake Vijana wanavyokata tamaa za maisha Kwa kukosa mwelekeo?
Kama mtu huhitaji kazi au hujii anahitaji msipende kuwakatisha tamaa wanaotafuta wafanyikazi. Iko siku mtajutia Hujuma Hizi za kijinga. Nani haoni mtaani kwake Vijana wanavyokata tamaa za maisha Kwa kukosa mwelekeo?
Shooter Again JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 5,603 Reaction score 9,263 Jan 18, 2025 #42 Linda mwenyewe Mali zako hamna mtu wa kukesha
masanjuo Senior Member Joined Oct 10, 2016 Posts 186 Reaction score 310 Jan 21, 2025 #43 Kha apa kwakufa gafla apa doh