Joan lewis
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 993
- 1,463
Kama mtu huhitaji kazi au hujii anahitaji msipende kuwakatisha tamaa wanaotafuta wafanyikazi. Iko siku mtajutia Hujuma Hizi za kijinga. Nani haoni mtaani kwake Vijana wanavyokata tamaa za maisha Kwa kukosa mwelekeo?