Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Kumbe vijana Tanzania tumetoa tamko na hamsemi, mna siri nyinyi

====
Vijana Wazalendo nchini wamesema watandelea kumlinda Rais Samia kwa wivu mkubwa huku wakiwaonya baadhi ya Watanzania ambao wanafifisha juhudi za Serikali ya awamu ya sita kwa kutumia mitandao ya kijamii.
Faris Burhan akizungumza na waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam amesema kuwa wale wanaopanga kumkwamisha Rais Dkt Samia Suluhu Hassan hawataweza.
Naye Fatma Hussein ameongeza kuwa miradi mbalimbali ya kimkakati ambayo inaendelea kutekelezwa na Serikali ya awamu sita ni faida kwa Mtanzania mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla kwa sababu itaifanya Tanzania kupuga hatua zaidi kiuchumi.