Pre GE2025 Vijana Wazalendo Tanzania: Sisi ni waumini wa Demokrasia, tutachukua hatua kumlinda Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Kumbe vijana Tanzania tumetoa tamko na hamsemi, mna siri nyinyi:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:

====

Vijana Wazalendo nchini wamesema watandelea kumlinda Rais Samia kwa wivu mkubwa huku wakiwaonya baadhi ya Watanzania ambao wanafifisha juhudi za Serikali ya awamu ya sita kwa kutumia mitandao ya kijamii.

Faris Burhan akizungumza na waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam amesema kuwa wale wanaopanga kumkwamisha Rais Dkt Samia Suluhu Hassan hawataweza.

Naye Fatma Hussein ameongeza kuwa miradi mbalimbali ya kimkakati ambayo inaendelea kutekelezwa na Serikali ya awamu sita ni faida kwa Mtanzania mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla kwa sababu itaifanya Tanzania kupuga hatua zaidi kiuchumi.
 
View attachment 3149217

Vijana Wazalendo nchini wamesema watandelea kumlinda Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu kwa wivu mkubwa huku wakiwaonya baadhi ya Watanzania ambao wanafifisha juhudi za Serikali ya awamu ya sita kwa kutumia mitandao ya kijamii.

Magaidi wanajitangaza hadharani, kuna sheria inayowaruhusu kusema au kufanya wanayoyakusudia kuyafanya?
 
Ukiacha uchu wa madaraka ndani ya CCM mh Mama Samia amewafanyia nini kibaya mpaka anasakamwa?
 
Wakuu,

Kumbe vijana Tanzania tumetoa tamko na hamsemi, mna siri nyinyi:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:

====

View attachment 3149217

Vijana Wazalendo nchini wamesema watandelea kumlinda Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu kwa wivu mkubwa huku wakiwaonya baadhi ya Watanzania ambao wanafifisha juhudi za Serikali ya awamu ya sita kwa kutumia mitandao ya kijamii.

Faris Burhan akizungumza na waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam amesema kuwa wale wanaopanga kumkwamisha Rais Dkt Samia Suluhu Hassan hawataweza.

Naye Fatma Hussein ameongeza kuwa miradi mbalimbali ya kimkakati ambayo inaendelea kutekelezwa na Serikali ya awamu sita ni faida kwa Mtanzania mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla kwa sababu itaifanya Tanzania kupuga hatua zaidi kiuchumi.
Hao sio vijana ila ni kundi la watu wasio na Akili na hawajui wanachokilinda.
 
Wakuu,

Kumbe vijana Tanzania tumetoa tamko na hamsemi, mna siri nyinyi:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:

====

View attachment 3149217

Vijana Wazalendo nchini wamesema watandelea kumlinda Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu kwa wivu mkubwa huku wakiwaonya baadhi ya Watanzania ambao wanafifisha juhudi za Serikali ya awamu ya sita kwa kutumia mitandao ya kijamii.

Faris Burhan akizungumza na waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam amesema kuwa wale wanaopanga kumkwamisha Rais Dkt Samia Suluhu Hassan hawataweza.

Naye Fatma Hussein ameongeza kuwa miradi mbalimbali ya kimkakati ambayo inaendelea kutekelezwa na Serikali ya awamu sita ni faida kwa Mtanzania mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla kwa sababu itaifanya Tanzania kupuga hatua zaidi kiuchumi.
vibaraka wamepoteana 🐒
 
kwani nani anataka kumdhuru raisi wetu
 
Wakuu,

Kumbe vijana Tanzania tumetoa tamko na hamsemi, mna siri nyinyi:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:

====

View attachment 3149217

Vijana Wazalendo nchini wamesema watandelea kumlinda Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu kwa wivu mkubwa huku wakiwaonya baadhi ya Watanzania ambao wanafifisha juhudi za Serikali ya awamu ya sita kwa kutumia mitandao ya kijamii.

Faris Burhan akizungumza na waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam amesema kuwa wale wanaopanga kumkwamisha Rais Dkt Samia Suluhu Hassan hawataweza.

Naye Fatma Hussein ameongeza kuwa miradi mbalimbali ya kimkakati ambayo inaendelea kutekelezwa na Serikali ya awamu sita ni faida kwa Mtanzania mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla kwa sababu itaifanya Tanzania kupuga hatua zaidi kiuchumi.
Magaidi wanajitangaza hadharani, kuna sheria inayowaruhusu kusema au kufanya wanayoyakusudia kuyafanya?
 
Attachments

  • 5808629-57f86e47f2e7305376bcccf74fb56df4.mp4
    2.1 MB
  • 5810871-156c33252d331784831e630b50148deb.mp4
    2 MB
  • 5811523-6041f5af6e2b5c7600d07027005d6658.mp4
    3.7 MB
  • 5808626-bde51487c15170759ed7838e0c83538c.mp4
    339 KB
Kwani nani anataka kupindua demokrasia nchini!!?
Nani anataka kupindua serikali halali ya kidemokrasia iliyopo!!?

Semeni ukweli!!
 
Wakuu,

Kumbe vijana Tanzania tumetoa tamko na hamsemi, mna siri nyinyi:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:

====

View attachment 3149217

Vijana Wazalendo nchini wamesema watandelea kumlinda Rais Samia kwa wivu mkubwa huku wakiwaonya baadhi ya Watanzania ambao wanafifisha juhudi za Serikali ya awamu ya sita kwa kutumia mitandao ya kijamii.

Faris Burhan akizungumza na waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam amesema kuwa wale wanaopanga kumkwamisha Rais Dkt Samia Suluhu Hassan hawataweza.

Naye Fatma Hussein ameongeza kuwa miradi mbalimbali ya kimkakati ambayo inaendelea kutekelezwa na Serikali ya awamu sita ni faida kwa Mtanzania mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla kwa sababu itaifanya Tanzania kupuga hatua zaidi kiuchumi.
Mbona wanaongea kama kikundi flani hivi cha Hamas, wanachoongea hapo ni kazi ya JPM tu.., hakuna jipya..
 
Vijana wapumbavu hao, wanauwezo gani wa kumlinda raisi? kwani si kuna kundi la waganga walisema watamlinda hawa vijana wameona ulinzi umelega lega?
 
Hivi vikundi vya UVCCM siviungi mkono. CCM ijitahidi kuwa-control. Vikundi kama hivi vilichangia kumng'oa madarakani Edgar Lungu ingawa alifanya maendeleo kibao. UVCCM, UWT na taasisi nyingine za chama zinatosha.
 
Vijana Wazalendo nchini wamesema watandelea kumlinda Rais Samia kwa wivu mkubwa huku wakiwaonya baadhi ya Watanzania ambao wanafifisha juhudi za Serikali ya awamu ya sita kwa kutumia mitandao ya kijamii.
Hawa ni tofauti na machawa au ni walewale?
Fanyeni kazi kwa bidii mjilishe wenyewe acheni blah blah kwani hata Raisi anataka wachapa kazi.
 
Back
Top Bottom